Hawezi kushindwa, akishindwa ni kama ilivyokuwa kwa TICTS, anaondoka yeye wsnakuja DP World. Akiondoka DP World watakuja webgibe au wale wsle kivingine.
Kazi za. Bandari nu highky organised. Ooerators wsnajulikana Financers wanajulikana.
CONGO inabidI ifunguke, bandari moja haitoshi, Congo ni kubwa sana. Mali za kuingia na kutoka Congo ni nyingi sana. Bandari ya Dar itakuwa busy 24/7 bandari ya Mombasa pia itakuwa busy sana. Itabidi ya Bagamoyo ijengwe haraka. Haya ni kwa huku mashariki, kwa magharibi Tsysri AD Ports wanajenga bandari kubwa Congo. Hao. Ni Abu Dhabi Ports, siai hapa ni Dubai Ports. Mombasa itakuja tu kampuni. Nyingine. Lkimi. Ndiyo hawahawa wamoja. Bagamoyo anapewa mwengine lakini ndiyo hawahawa.
Dollar million 500 ni kwa ajili ya TEHAMA tu.
Biashara itayofanyika hapa hata kuwekeza wao tutakuwa hakuna umuhimu, bamdari itaingiza pesa nyingi sana.
Hivi umeelewa hoja au unakurupuka kujibu ngoja nikuulize tena ?
-Vipi ishu ya bandari kupanda thamani?
-Vipi ishu ya mbia wetu kushindwa kulekeleza yalipo kwenye mkataba na bado akaendelea kuwepo, kwasababu mkataba unambeba?
-Hivi unahisi kwa matrilion yanayoibiwa kwa mwaka Tanzania tunashindwa kuendeleza bandari, mfano DP world wanawekeza dola million 500 ambayo nisawa kwa mwanzo je linganisha na pesa zilizoibiwa mwaka jana 2,zaidi ya trillion 2?
-Kama hatuna wataaalamu je chuo cha bandari na maprofesor wake wanafanya kazi gani?
-Kwanini tusilete wataaalamu na technologia changamfu na basic tukabaki na bandari?
-Kwanini tuuze bandari bila ukomo na kuziwepo room ya kujitoa kwasababu wanadamu hubadilika wakitubadilikia tutamlaumu nani?
-Kwanini wenye nchi wasisikilizwe wananchi kwani bandari ni ishu ya kifamilia?
-Kwani kama sisi ni kizazi cha kijinga tumeshinda kufanya kwa uadilifu,kwanini tusiviifadhi kwa vizazi vijavyo kwa sababu katikati ya wajinga yamkini akawepo mwelevu hata mmoja,kwani nyerere asingeviifadhi wewe ungevikuta?
-Watoto wetu watafaidi nini?watajivunia na nini? Kama tunaangalia leo tu?
-Trillion 26 ya mwaka 2023? Ni dawa kithamani na trillion 26 za mwaka 2070?2100 ? 3000?
- unaonaje tukatoa rangi ya njano,kijani,na blue kwenye bendera ya taifa ukabaki nyeusi kwasababu migodi tumeuza,misitu tumeuza na ardhi ,na Bahari na maziwa ndo tunauza hivyo yani,
Mwisho wewe unalipwa shi ngapi? Kuteteza huu ufuska?
##Jibu hoja usijibu maoni binafsi na matamanio yako?
Pili wasishindwe Kwanini?kuna majanga(natural disaster),pia kuna uchumi kuyumba wa nchi husika? Vpi unaangalia mbele ama au wewe ndo 🕒100 mwenyewe ,tusikute tunashinda ana na SÀLIMIA huku ??😅😅