Dhambi hii inaenda kuandikwa Kwa wino wa Chuma

Mjinga wewe
 
Mwanadamu hajawahi acha shida zake NI kuongeza mbinu tu.
Chanzo kikuu cha shida,achana na matokeo!!! Shida chimbuko lake ndo umeliongelea,tuanze kujua ,tumeangukia wapi?
 
Nijibu hoja zangu uxnikimbie,
 
Hawezi kushindwa, akishindwa ni kama ilivyokuwa kwa TICTS, anaondoka yeye wsnakuja DP World. Akiondoka DP World watakuja webgibe au wale wsle kivingine.

Kazi za. Bandari nu highky organised. Ooerators wsnajulikana Financers wanajulikana.

CONGO inabidI ifunguke, bandari moja haitoshi, Congo ni kubwa sana. Mali za kuingia na kutoka Congo ni nyingi sana. Bandari ya Dar itakuwa busy 24/7 bandari ya Mombasa pia itakuwa busy sana. Itabidi ya Bagamoyo ijengwe haraka. Haya ni kwa huku mashariki, kwa magharibi Tsysri AD Ports wanajenga bandari kubwa Congo. Hao. Ni Abu Dhabi Ports, siai hapa ni Dubai Ports. Mombasa itakuja tu kampuni. Nyingine. Lkimi. Ndiyo hawahawa wamoja. Bagamoyo anapewa mwengine lakini ndiyo hawahawa.

Dollar million 500 ni kwa ajili ya TEHAMA tu.

Biashara itayofanyika hapa hata kuwekeza wao tutakuwa hakuna umuhimu, bamdari itaingiza pesa nyingi sana.
 
Nimekuelewa, sasa fanya kitu utakumbukwa kama mzalendo wa Nchi hii!
 
Hivi umeelewa hoja au unakurupuka kujibu ngoja nikuulize tena ?
-Vipi ishu ya bandari kupanda thamani?
-Vipi ishu ya mbia wetu kushindwa kulekeleza yalipo kwenye mkataba na bado akaendelea kuwepo, kwasababu mkataba unambeba?
-Hivi unahisi kwa matrilion yanayoibiwa kwa mwaka Tanzania tunashindwa kuendeleza bandari, mfano DP world wanawekeza dola million 500 ambayo nisawa kwa mwanzo je linganisha na pesa zilizoibiwa mwaka jana 2,zaidi ya trillion 2?
-Kama hatuna wataaalamu je chuo cha bandari na maprofesor wake wanafanya kazi gani?
-Kwanini tusilete wataaalamu na technologia changamfu na basic tukabaki na bandari?
-Kwanini tuuze bandari bila ukomo na kuziwepo room ya kujitoa kwasababu wanadamu hubadilika wakitubadilikia tutamlaumu nani?
-Kwanini wenye nchi wasisikilizwe wananchi kwani bandari ni ishu ya kifamilia?
-Kwani kama sisi ni kizazi cha kijinga tumeshinda kufanya kwa uadilifu,kwanini tusiviifadhi kwa vizazi vijavyo kwa sababu katikati ya wajinga yamkini akawepo mwelevu hata mmoja,kwani nyerere asingeviifadhi wewe ungevikuta?
-Watoto wetu watafaidi nini?watajivunia na nini? Kama tunaangalia leo tu?
-Trillion 26 ya mwaka 2023? Ni dawa kithamani na trillion 26 za mwaka 2070?2100 ? 3000?
- unaonaje tukatoa rangi ya njano,kijani,na blue kwenye bendera ya taifa ukabaki nyeusi kwasababu migodi tumeuza,misitu tumeuza na ardhi ,na Bahari na maziwa ndo tunauza hivyo yani,
Mwisho wewe unalipwa shi ngapi? Kuteteza huu ufuska?
##Jibu hoja usijibu maoni binafsi na matamanio yako?
Pili wasishindwe Kwanini?kuna majanga(natural disaster),pia kuna uchumi kuyumba wa nchi husika? Vpi unaangalia mbele ama au wewe ndo 🕒100 mwenyewe ,tusikute tunashinda ana na SÀLIMIA huku ??😅😅
 
Kama unaoma sijaelewa uliza swali lako.
 
Kama unaoma sijaelewa uliza swali lako.
Siumizi swali naonesha hoja,jibu hoja moja baada ya nyingine,kuhusu ishu ya Congo kwani bandari ingebaki tukanunua technologia ,au tukauza tenda kwa miaka 50 isingefunguka,?
Kwani tunawapa bandari au wanatusidia kuendesha kwa sababu taifa halina vipaombele kwa sasa,wakati tunajitafuta
Unaonaje Tanzania bendera yetu ukabaki na rangi nyeusi tu,maana rangi zote hazifai kubaki kwenye bendera,
Maamuma anasaini ndoa ambayo hata mkatana mikono na miguu mtabaki kwenye ndoa ata mkitengana nyumba mbali kwenye ndoa,labda nikufungue jambo nimeambatanisha na clip ya mmoja ya Wanasheria hapo juu hebu iyangalie,
#Bibi usikurupuke kujibu hiki kichwa kingine sawa
 
Hatuwezi. We are not efficient.
 
Hatuwezi. We are not efficient.
Hujibu hoja ,unaanza kulalamika?
Una uhakika hatuwezi?au huwezi wewe
-unaonaje tukodishe kwa miaka 50? Kwa faida ya vizazi vijavyo ambavyo maarifa yatakuwa yamekuwa kuliko kuuza milele
-Unaonaje tununue technologia na tuwape kampuni binafsi?
-Tukishindwa vyote unaonaje tuviache hadi tutakapo kuwa tayari hata nyerere alifanya hivyo?kuliko kuviuza milele
 
Wewe nakufahamu, na haya ndo madhara ya udini.

All in all waarabu walituweza weusi..
Akili umetupa kule...
Umepoteana.
 
Huyo namjua, ni mdini sana kupitiliza kwa kuzidiwa.
 
Wewe nakufahamu, na haya ndo madhara ya udini.

All in all waarabu walituweza weusi..
Akili umetupa kule...
Umepoteana.
Umedanganywa sana mpaka. Umekuwa na Islamophobia.


Huna shemeji wa Kiarabu wewe?
 
Mapungufu ya huo mkataba ni yapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…