passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
- Thread starter
- #21
Toa maoni yako mkuu.Kumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa maoni yako mkuu.Kumbe
KWANI DINI NI NINI? MKUUDhambi sio mtazamo. Mtazamo upo kwenye taratibu za kijamii ila Dhambi ni Dhambi katika mfumo wa kidini. Biblia ikisema usiue, Muumini yoyote wa Kikristo awapo popote pale hapaswi kuua. Huwezi ukawa mkristo kisha ukasema kwa mtazamo wangu kuua sio dhambi.
HAKUNA MTAZAMO BINAFSI KATIKA DHAMBI.
🚮Kweli kabisa dhambi ni mtazamo Tu, wa jamii husika kutokana na tamaduni zao.
Mfano Roman Catholic Church wanakataza ndoa za wake wengi wanasema ni unyanyasaji wa kijinsia Kwa mwanamke,
Lakini wanakubali ndoa za jinsia moja.
Huku Afrika 👆 wakisema ni kinyuma na maadili za Ki Afrika
Mkuu kuna Dini hawali nyama ya ng'ombe coz kwao ni mungu,