MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kwa mnyukano unaoendelea ndani ya chama kinachoongozwa na adui wa demokrasia Tundu Lissu ni wazi kuwa laana mbalimbali za kupuuza ushauri uliwahi kutolewa na wabobezi wa siasa za nchi hii nikiwemo mimi, Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah zinawatafuna kwa sasa.
Mwaka 2021 nilitahadharisha kuwa bado Mbowe ni kiongozi sahihi wa CHADEMA kwa wakati huu ila wasio na busara wakadhihaki. Bado Mbowe ni Kiongozi sahihi kwenye hizi nyakati za mwisho wa uhai wa CHADEMA
Komredi Mwashambwa na Tlaatlah nao wakashauri sana wakati wa uchaguzi wao wa ndani ila wakapuuzwa. Kwa sasa CHADEMA iko kwenye mgawanyiko mkubwa. Kuna wanaosapoti sera za Lissu ila zaidi ya 80% ya wanachama hawako tayari kuburuzwa.
Ninashauri Lissu na Heche wajiuzulu kabla hawajakiua chama.