MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
well done comrade 👊Kwa mnyukano unaoendelea ndani ya chama kinachoongozwa na adui wa demokrasia Tundu Lissu ni wazi kuwa laana mbalimbali za kupuuza ushauri uliwahi kutolewa na wabobezi wa siasa za nchi hii nikiwemo mimi, Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah zinawatafuna kwa sasa.
Mwaka 2021 nilitahadharisha kuwa bado Mbowe ni kiongozi sahihi wa CHADEMA kwa wakati huu ila wasio na busara wakadhihaki. Bado Mbowe ni Kiongozi sahihi kwenye hizi nyakati za mwisho wa uhai wa CHADEMA
Komredi Mwashambwa na Tlaatlah nao wakashauri sana wakati wa uchaguzi wao wa ndani ila wakapuuzwa. Kwa sasa CHADEMA iko kwenye mgawanyiko mkubwa. Kuna wanaosapoti sera za Lissu ila zaidi ya 80% ya wanachama hawako tayari kuburuzwa.
Ninashauri Lissu na Heche wajiuzulu kabla hawajakiua chama.
Tuondolee upumbavu wako hapa na huyo taahira mwenzako LucasKwa mnyukano unaoendelea ndani ya chama kinachoongozwa na adui wa demokrasia Tundu Lissu ni wazi kuwa laana mbalimbali za kupuuza ushauri uliwahi kutolewa na wabobezi wa siasa za nchi hii nikiwemo mimi, Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah zinawatafuna kwa sasa.
Mwaka 2021 nilitahadharisha kuwa bado Mbowe ni kiongozi sahihi wa CHADEMA kwa wakati huu ila wasio na busara wakadhihaki. Bado Mbowe ni Kiongozi sahihi kwenye hizi nyakati za mwisho wa uhai wa CHADEMA
Komredi Mwashambwa na Tlaatlah nao wakashauri sana wakati wa uchaguzi wao wa ndani ila wakapuuzwa. Kwa sasa CHADEMA iko kwenye mgawanyiko mkubwa. Kuna wanaosapoti sera za Lissu ila zaidi ya 80% ya wanachama hawako tayari kuburuzwa.
Ninashauri Lissu na Heche wajiuzulu kabla hawajakiua chama.
CHADEMA kwa sasa kwisha habari yao. Mihemuko na ukurupukaji imewaponza.Ni kichaa peke yake ndio anaweza kufuata ushauri wa chawa
CHADEMA kwa sasa kimebakia kama gari lililokatika breki na kuzima taa katikati ya giza totoro. Chama kimepoteza na kimekosa Dira na muelekeo kabisa.Tuondolee upumbavu wako hapa na huyo taahira mwenzako Lucas
CCM bila mbeleko ya bunduki na mabomu ya polisi ni wepesi kama TLP tu.CHADEMA kwa sasa kimebakia kama gari lililokatika breki na kuzima taa katikati ya giza totoro. Chama kimepoteza na kimekosa Dira na muelekeo kabisa.
Kwa hiyo unaogopa sana Bunduki?CCM bila mbeleko ya bunduki na mabomu ya polisi ni wepesi kama TLP tu.
wewe lucas mbwashwambwa alishawahi kukushauri nini ukafuata?Kwa mnyukano unaoendelea ndani ya chama kinachoongozwa na adui wa demokrasia Tundu Lissu ni wazi kuwa laana mbalimbali za kupuuza ushauri uliwahi kutolewa na wabobezi wa siasa za nchi hii nikiwemo mimi, Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah zinawatafuna kwa sasa.