Dhambi ya kupuuza ushauri wa Lucas Mwashambwa itawatafuna sana CHADEMA.


Wabenuaji wa kisiasa . Toa laana zako
 
Wewe ni kinyeko pro max
 
CHADEMA ya sasa inapiga na kumjeruhi wanawake.
 
Mwashamba yule mwehu na mpuuzi? Be serious basi!
 
Nyie hata shekhe amewalaani kwa uchawa wenu
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu. CCM hii haina tofauti na Bokoharam.
Umepatia sana! Majinga sana, yanasema uchaguzi utakuwa huru wao ni tume? Na tume yenyewe imeteuliwa na mgombea pia! Huu ni ulimbukeni!
 
Chadema cham dume
 
Kwa sasa wana CHADEMA waja jutia na kububujikwa na machozi ya huzuni Utafikiri wamepakwa pilipili kichaa machoni kwa uamuzi wao wa kukurupuka na Mihemuko ya kumchagua Lissu.
Usiyemtaka ndio huyo amechaguliwa japo inauma ila stahamili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…