Wao wazanzibari, sisi watanganyika, dhambi hii itawatafuna MILELE.
Je ni kweli kauli hii bado inaishi au imeshakuwa overtaken by time and modern development
Hilda Newton: Nimeona video ya Watanganyika wakizuiwa kuingia kazini huko Zanzibar, limetoka agizo kwamba kama mtu hana ID ya Zanzibar haruhusiwi kuajiriwa au kufanyakazi ya kibarua huko Zanzibar.
Ndugu zetu wanatuchukia sana tena wazi wazi bila kificho sijui tumewakosea nini?