Dhambi ya uzinzi ni mbaya sana

Dhambi ya uzinzi ni mbaya sana

neno ni upanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2022
Posts
494
Reaction score
1,656
Moja ya dhambi mbaya kwenye maandiko matakatifu itakayowafanya watu wengi waikose mbingu na kwenda motoni ni dhambi ya uzinzi na uasherati licha ya kuwa dhambi zote zina toba ila hii dhambi ya uzinzi toba yake ina procedure nyingi inaiñclude watu wengi ili uweze kusamehewa pamoja na hilo mtu aliyezoea dhambi hii mwisho wake ni aibu! Hizi ni sifa mbaya za dhambi hii
1: inakupa addiction
2: haina utoshelevu
3: inaaleta umaskini
4: inaleta aibu na kudharauliwa
5: itakupotezea heshima ndani ya muda mfupi
6: ni dhambi yenye majuto
7: inapunguźa siku za kuishi kwa mtu maana inahusisha maagano
8: mwisho wa dhambi hii ni kutupwa motoni milele

Suluhu: dhambi hii haiogopi elimu ya mtu, cheo cha mtu, dini ya mtu! Heshima ya mtu nk hii dhambi inamuogopa mtu aliyeokoka au kumpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wake na kuamua kuishi maisha ya utakatifu, mtu wa jinsi hiyo ndiye mwenye uwezo wa kuishinda hii dhambi!
 
Umeshahau, inamaliza nguvu za kiroho
 
Kuna wajinga watakuja kupinga hii mada Ila ina ukweli Kwa asilimia 100 %
 
Hamjaacha tu tabia yakumpangia Mungu.Kuonjana sio dhambi.endelea kushikiwa akili na waliokuletea dini.
 
Toba ya dhambi ya uzinzi ni sawa na toba ya dhambi nyingine tu.
Hizo procedures nyingine zimetungwa na wahuni wanaojiita watumishi wa Mungu ili kujipa utukufu na kupiga hela.
 
Moja ya dhambi mbaya kwenye maandiko matakatifu itakayowafanya watu wengi waikose mbingu na kwenda motoni ni dhambi ya uzinzi na uasherati licha ya kuwa dhambi zote zina toba ila hii dhambi ya uzinzi toba yake ina procedure nyingi inaiñclude watu wengi ili uweze kusamehewa pamoja na hilo mtu aliyezoea dhambi hii mwisho wake ni aibu! Hizi ni sifa mbaya za dhambi hii
1: inakupa addiction
2: haina utoshelevu
3: inaaleta umaskini
4: inaleta aibu na kudharauliwa
5: itakupotezea heshima ndani ya muda mfupi
6: ni dhambi yenye majuto
7: inapunguźa siku za kuishi kwa mtu maana inahusisha maagano
8: mwisho wa dhambi hii ni kutupwa motoni milele

Suluhu: dhambi hii haiogopi elimu ya mtu, cheo cha mtu, dini ya mtu! Heshima ya mtu nk hii dhambi inamuogopa mtu aliyeokoka au kumpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wake na kuamua kuishi maisha ya utakatifu, mtu wa jinsi hiyo ndiye mwenye uwezo wa kuishinda hii dhambi!
You are very right..

Hata hivyo, kibiblia mchakato wa mtu yeyote kusamehewa dhambi yake yoyote ni mmoja tu na ni rahisi kabisa..

Neno la Mungu - Biblia inasema, yeyote amwendeaye Mungu kwa jambo au ombi lolote iwe ni toba ya dhambi yoyote, basi sharti kuu ni moja tu - IMANI - yaani mtu huyo aamini kuwa, yule amwendeaye yupo, ana nguvu, uwezo, mtakatifu, ana upendo na huwapa thawabu wote wamtafutao kama mtume Paulo anavyosema katika waraka wake kwa Waebrania;

‭Waebrania 11:6 SUV
"...Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao..."

Kuna tofauti ya "kusamehewa dhambi" na "neema ya kuondolewa kwa athari au matokeo ya dhambi ambayo mtu aliitenda"

Dhambi ya mtu husamehewa mara moja tunapomwendea kwa imani kuomba atusamehe (toba).

Dhambi ni issue ya kiroho. Hivyo baada ya ukiri wa kukosea (kutenda dhambi) na kuomba msaada wa Mungu, cha kwanza Mungu anachofanya ni kuiponya na kuiokoa roho ya mtu huyo.

Lakini athari au matokeo ya dhambi iliyofanywa kabla ya toba na msamaha huonekana au hujionesha ktk mwili na maisha ya mtu ya kila siku (ndiyo hayo uliyoyaorodhesha ktk thread yako)..

Ili mwili uokolewe na athari au matokeo ya dhambi, basi mtu huyu anahitaji kupitia kwenye spiritual therapy ambayo msingi wake ni mafundisho ya Neno la Mungu ili aanze kuishi maisha mapya tofauti na yale ya dhambi aliyokuwa anaishi mwanzo.

Kwa kuwa atakuwa tayari yupo upande wa Mungu ktk Yesu Kristo, neema ya kumbadilisha na kuuponya mwili wake itakuwa pamoja naye.

‭Zaburi 31:1 SUV
"...Nimekukimbilia Wewe, BWANA, Nisiaibike milele. Kwa haki yako uniponye.."

Kwa hiyo kwa kadiri mtu aliyetubu na kusamehewa dhambi zake anavyozidi kukaa na kupokea mafundisho sahihi ya Neno la Mungu, hatua kwa hatua matokeo (athari) ya dhambi alizofanya hapo kabla na ile ya asili - ya Adamu zitaanza kushindwa..

Mungu ataanza kuondoa aibu iliyoletwa na dhambi, kukataliwa, magonjwa, dharau au kudharauliwa nk na ghafla utaanza kuchukia na kutopenda kabisa maisha ya dhambi; kama alikuwa kahaba atauchukia na kuuacha, alikuwa mlevi basi ataacha tabia hiyo nk nk..

Yesu Kristo anasema:

‭Yohana 14:23 SUV‬
"...Yesu akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake.."
 
Moja ya dhambi mbaya kwenye maandiko matakatifu itakayowafanya watu wengi waikose mbingu na kwenda motoni ni dhambi ya uzinzi na uasherati licha ya kuwa dhambi zote zina toba ila hii dhambi ya uzinzi toba yake ina procedure nyingi inaiñclude watu wengi ili uweze kusamehewa pamoja na hilo mtu aliyezoea dhambi hii mwisho wake ni aibu! Hizi ni sifa mbaya za dhambi hii
1: inakupa addiction
2: haina utoshelevu
3: inaaleta umaskini
4: inaleta aibu na kudharauliwa
5: itakupotezea heshima ndani ya muda mfupi
6: ni dhambi yenye majuto
7: inapunguźa siku za kuishi kwa mtu maana inahusisha maagano
8: mwisho wa dhambi hii ni kutupwa motoni milele

Suluhu: dhambi hii haiogopi elimu ya mtu, cheo cha mtu, dini ya mtu! Heshima ya mtu nk hii dhambi inamuogopa mtu aliyeokoka au kumpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wake na kuamua kuishi maisha ya utakatifu, mtu wa jinsi hiyo ndiye mwenye uwezo wa kuishinda hii dhambi!
1-8 naunga mkono hoja.
Paragraph ya mwisho mkuu,ungeweka vzr mwenye hofu ya Mungu
Maana walio okoka pia baadhi wanafanya sio Kwa kupenda baadhi sbb hawajafunguliwa kutoka kwenye hivyo vifungo ,maagano etc ...

Paragraph ya 1 ,ht hii inasamehewa hapohapo unapotubu
Lakini.....kurudisha ile Hali ya utakatifu ,uwepo,nguvu za Mungu , anointing etc ndo inachikua Muda ......
 
Back
Top Bottom