Dhambi ya Zinaa, Ngono, Uzinzi na Uasherati

Kuzini ni dhambi. Ila ushoga na usagaji ni haki za binadamu.
 
Wacha kujilisha upuuzi mkuu, ngono ni muhimu katika maisha ya binadamu na ndiyo maana hata Mohammed alikuwa anabaka wake za watu enzi zake, unataka kutuambia naye kaenda motoni? Mfalme Daudi alibaka mke wa mtu na mitume kibao walikuwa waesharati nao pia wako motoni?

Unazungumzia masuala ya Walawi, sisi ni watanzania...hao Walawi wanatuhusu nini sisi? Usizungumzie masuala ya Biblia tafadhali, kile kitabu kina madhambi na maovu mengi ambayo kama kweli umesoma Biblia lazima utakuwa umekutana nayo, never believe in that book.
 
Najua mwili unakudanganya.Tambua Mungu anaangalia mwisho wako. Je muda unakata roho unakuwa upande wake au wa shetani?Km hao mitume walifanya dhambi na wakatubu kabla hawajafa basi watakuwa mbinguni kinyume chake ni motoni. Si unajua kisa cha Sauli ambaye licha ya kutesa na kuua watu wengi mwisho aligeuka na kuwa muhubiri mkubwa ambae ndio Paul!
 
Hivi hamnaga jukwaa la mahubiri humu[emoji848]
 
Mkuu usiwe mpuuzi kihivyo...hivi vitabu ni hadithi tu, never take them seriously la sivyo utajikuta alosto. Kwa akili yako, unataka kutuambia tunaweza kuua watu na kubaka au kuwafanya chochote kibaya ila siku ya kufa tukitubu Mungu anatusamehe? Mkuu uwe unafikiria hivi vitabu si vya kuviamini hata kidogo. Wewe Kamgomoli umeshaua watu wangapi mpaka hivi sasa?😀
 
Hivi na wale ambao uchumba umeidhinishwa, kubarikiwa na kutangazwa mbele ya kanisa, hawaruhusiwi kugonganisha vikojoleo hadi wafunge ndoa
 
Kwahiyo KATERERO ni dhambi? Wazungu ndio waasisi wa dhambi, hawaijui katerero.
 
Naomba ufafanuzi namba 16
Sijui km utaelewa lakini ngoja nijitahidi. Iko hv.Mpango wa Mungu ni tendo la ndoa kufanyika kwa lengo la uzazi na kuondoa tamaa ya mwili lakini kwa utaratibu aliouweka.Biblia inasema tuwe na kiasi kwa kila jambo yaani hata km umeoa Mungu anataka tufanye tendo kwa utaratibu wake sio vurugu/ovyo ovyo km wanyama. Ndio maana japo chakula unakitafta wewe kwa guvu zako lakini Mungu amekataza ulafi.
Warumi 13:13
"Kama ilivyohusika na mchana na tuenende kwa adabu; si kwa ulafi na ulevi, si kwa ufisadi na uasherati, si kwa ugomvi na wivu".

Sasa kondom ni mpango wa shetani kuidhinisha ufanyaji wa ngono ovyo ovyo km wanyama. Kwani mtu akitumia kondom anajiona atakwepa aibu ya mimba na magonjwa ya zinaa. Vilevile kondom ni mpango wa shetani kuangamiza watoto kwani " manii"nyingi huishia kutupwa jalalani badala ya kutumika kupata watoto. Siku ya mwisho Mungu atakuhoji kwa hizo mbegu ulizozitumia vibaya.

Kuna vitu lazima uwe makini navyo sana hata km havijatajwa moja kwa moja katika Biblia mfano:-
1. Kuvuta sigara
2.Kucheza kamari( Betting)
3.Kuangalia picha za utupu.
4. Kusikiliza Mziki wa kidunia( secular music) .Hizi ndo dhambi ambazo tunafanya pasipo kujua na kufanya bila kujua haiondoi kosa
 
Aposto kuna ushuhuda mwingine hapa [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…