Ndiyo maana kuna sehemu hadi sasa utakuta zina shida ya maji,barabara ,uhaba wa madarasa lkn bado wanaipigia kura hiyo maboga mbogaKule waliko haribu kama Mtwara baada ya kuwapoka korosho zao, walipitisha madiwani na wabunge bila kupingwa.
Siyo unafiki sema ni ufinyu wa elimu ya uraia ambayo ingeplekea watu kujitambuaNi unafiki uliokithiri.
Hapo umesahau kuwataja mashekhe au wao siyo jamii ya watanzania wanao hitaji hiyo tume huru ya uchaguzi?Tume huru ni hitaji muhimu la Taifa. Kampeni ya kuidai ni muhimu.
Maandamano yanaweza kuwa sehemu ya kampeni hiyo.
Maaskofu waliovaa majoho wanaweza, na wanapaswa, kuwa sehemu ya maandamano hayo.
Lkn maandamano hayawezi, na hayapaswi, kuwa hatua ya kwanza.
Hatua ya kwani ni, na inapaswa kuwa, kujibu swali lifuatalo na kuhakikisha waandamanaji watarajiwa wanaelewa jawabu kwa swali:
TUME HURU INAYOTAKIWA TANZANIA NI KITU GANI NA SIO KITU GANI?
Nadharia kabla ya utekelezaji ni muhimu sana kwa kuwa itatuwezesha kufanya tathmini baada ya kutenda.
Daaaaa hapo ajiandae kuwafahamu wale woote wakaazi wa Kasumulo,aende tena kule Tunduma awajue kabisa wazee wa kule maana lazima ataulizwa utaifa wakeNi Mwenyeji wa Mbeya Mkuu.
Ndiyo maana tunasema kuwa Mungu hamfichi mnafiki,sasa wameanza kujitaja walivyo tutenda kwenye uchaguziUnafiki wa jiwe Mkuu kujiona yeye alishinda uchaguzi ambao alipora ushindi wakati huo huo kuona madiwani hawakuchaguliwa na Watanzania.
Eti amekipotezea chama chake mvuto, nyie majamaa bhana [emoji23], hivi kuna kipindi ccm ilikuwa na nguvu kushinda sasa?Kimsingi haya maagizo ya kuvuruga uchaguzi ni yake kwa 100%, lakini anajikuta kwenye wakati mgumu maana anaona kabisa amekipotezea chama chake mvuto, na kwenye box la kura hawapati matokeo aliyotegemea, na watu hawataki kupiga kura tena, na sababu hasa ni yeye.
Eti amekipotezea chama chake mvuto, nyie majamaa bhana [emoji23], hivi kuna kipindi ccm ilikuwa na nguvu kushinda sasa?
Same Blah blah blah since genesis of multipartism in Tz, common phrases now. You're wasting your time.Ccm haina nguvu yoyote sasa, bali mwenyekiti wake kupitia kofia ya urais ana kiburi cha madaraka. Ccm ina nguvu huku inashinda uchaguzi kwa kuingiza mabox fake ya kura vituoni? Rejea sasa hivi wapiga kura wengi wamepuuza box la Kura, maana kuna uhayawani mwingi wa wazi, na sababu hasa ni matumizi mabaya ya madaraka ya urais ya mwenyekiti wa ccm. Kama ccm hii ni imara, basi tukubaliane Iddy Amini huko Uganda alikuwa rais imara.
Same Blah blah blah since genesis of multipartism in Tz, common phrases now. You're wasting your time.
No, I'm not here all the time, na wala sio mnufaika wa ccm, wala siasa bongo, ila ww sasa mzee, every topic abt siasa, uko una complain, I'm telling you, unapoteza muda wako, alternative ya ccm Tz, mbado sana.The way you are wasting yours.
Uongo Mwamakula ni mmalawiNi Mwenyeji wa Mbeya Mkuu.
yaani hapo mmepata neno lakuongea wapinzani uchwara yaani katika aliyoongea yoote ya muhimu hamjayaona mmeona hilo tu yaani mtu ukikosa akili unakuwa na shida sana mwacheni apige kazi hata hiyo stand hamtoi hata asante jpm mtakalia majungu tuKule waliko haribu kama Mtwara baada ya kuwapoka korosho zao, walipitisha madiwani na wabunge bila kupingwa.
Sio kweli, sio kwa kauli ya jana . HujamuelewaMwisho wa ubaya aibu!
Hatimaye Jiwe akiri kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki, badala yake ulikuwa UCHAFUZI wa hali ya juu!