da mkuu yaani umeielezea vizuri sana michadema imeshapata lakuongea wiki nzima itaongea wakati hakuwa na maana wanayofikiri waoHaujamuelewa Mh. Rais. Yeye kasema baraza la madiwani linalounda halmashauri ya jiji halijachaguliwa na wananchi. Japokuwa madiwani wamechaguliwa na wananchi kuingia kwenye mabaraza ya manispaa zao.... Askofu usikurupuke
Haujamuelewa Mh. Rais. Yeye kasema baraza la madiwani linalounda halmashauri ya jiji halijachaguliwa na wananchi. Japokuwa madiwani wamechaguliwa na wananchi kuingia kwenye mabaraza ya manispaa zao.... Askofu usikurupukeKule waliko haribu kama Mtwara baada ya kuwapoka korosho zao, walipitisha madiwani na wabunge bila kupingwa.
No, I'm not here all the time, na wala sio mnufaika wa ccm, wala siasa bongo, ila ww sasa mzee, every topic abt siasa, uko una complain, I'm telling you, unapoteza muda wako, alternative ya ccm Tz, mbado sana.
Kama alivyo John Baptist na Mzee Mgaya 😂😂😂Kuna siku isiyo na jina utaitwa BAK mwamakula, bisha
Sio mnufaika wa CCM lakini unaitetea CCM na maovu yake!!!No, I'm not here all the time, na wala sio mnufaika wa ccm, wala siasa bongo, ila ww sasa mzee, every topic abt siasa, uko una complain, I'm telling you, unapoteza muda wako, alternative ya ccm Tz, mbado sana.
Sehemu zote hapakuwa na tofauti. Maana walishaamua kubaki peke yao.Kule waliko haribu kama Mtwara baada ya kuwapoka korosho zao, walipitisha madiwani na wabunge bila kupingwa.
With due respect kwa Askofu Mwamakula, nafikiri ame mis conceive alichosema Rais. Pengine ni kweli hakukuwa na uchaguzi mwaka 2020 bali uchafuzi lakini Rais hakuwa na maana hii.DHAMIRI YAMLAZIMISHA RAIS MAGUFULI KUKIRI UHARIBIFU KATIKA UCHAGUZI WA OKTOBA 2020!
Nilipokuwa nahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, nililazimika kumueleza mmoja wa maofisa waliokuwa wananihoji nikasema kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 haukuwa Huru na wala haukuwa wa Haki. Aliponiuliza kama nilikuwa na ushahidi nilimjibu kuwa ndio ninao ushahidi!
Kama Madiwani waliopatikana katika Uchaguzi ule wamekataliwa na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama chao kwa kuwaambia hadharani na ametamka kwa ujasiri kuwa hawakuchaguliwa na watu, je walichaguuliwa na nani? Jibu hapa rahisi na la wazi nalo ni kuwa walichaguliwa na Tume ya Uchaguzi! Tunaweza kusema kuwa kwa maneno na kauli ya Rais Magufuli, Tume ya Taifa ya Uchaguzi haikutenda Haki na haijawa Huru machoni pa Watanzania na hata machoni pake yeye mwenyewe. Kama Madiwani wale hawakuchaguliwa na watu, sahihi kabisa pia kuwa Wabunge, na Rais nao hawakuchaguliwa na watu kwa kuwa wote walipatikana katika Uchaguzi mmoja uliosimamiwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo ndiyo inayolalamikiwa!
Tunawaalika Watanzania wote kujitokeza na kushiriki kwa kikamilifu katika kampeni za kuhamasisha umma wa Watanzania kuhusu umuhimu na uhitaji wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya! Nitakuwa nikingoza kampeni hizo katika nchi nzima nikiwa nimevalia majoho ya Kiaskofu!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfutate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Ni utawala wa kimabavu uliojaa unafki tupu. Just imagine wateule wote wanaongozwa na hofu ya kupoteza vibarua vyao.Si unafiki ni utawala wa mabavu, hatuna demokrasia Tanzania. Hatuna haki ya kuchagua viongozi tunao waamini na kuwapenda.
Nilichokigundua, jamaa sio kigeugeu. Kuna baadhi ya vitu anafanya bila hiari yake, yani anajikuta tu vimeshamtoka.Tatizo huyu bwana ni kigeugeu yaani mbele za camera huwa anaropoka kuwaumiza waliojitoa kufuata alichokitaka/maagizo yake alafu kwenye audience anawaanika.NYUMA YA PAZIA HUWA NI YEYE AMBAE ANAAGIZA VYOTE HIVYO
acha longolongo na ww. unajifanya much know, ni kweli halmashauri ya jiji la dar, haina eneo na haina madiwani, wamejipachika tu, sasa huelewi nn, unasema tuliiba votes, ulituona tumeiba... achaneni na ujinga huoDHAMIRI YAMLAZIMISHA RAIS MAGUFULI KUKIRI UHARIBIFU KATIKA UCHAGUZI WA OKTOBA 2020!
Nilipokuwa nahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, nililazimika kumueleza mmoja wa maofisa waliokuwa wananihoji nikasema kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 haukuwa Huru na wala haukuwa wa Haki. Aliponiuliza kama nilikuwa na ushahidi nilimjibu kuwa ndio ninao ushahidi!
Kama Madiwani waliopatikana katika Uchaguzi ule wamekataliwa na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama chao kwa kuwaambia hadharani na ametamka kwa ujasiri kuwa hawakuchaguliwa na watu, je walichaguuliwa na nani? Jibu hapa rahisi na la wazi nalo ni kuwa walichaguliwa na Tume ya Uchaguzi!
Tunaweza kusema kuwa kwa maneno na kauli ya Rais Magufuli, Tume ya Taifa ya Uchaguzi haikutenda Haki na haijawa Huru machoni pa Watanzania na hata machoni pake yeye mwenyewe. Kama Madiwani wale hawakuchaguliwa na watu, sahihi kabisa pia kuwa Wabunge, na Rais nao hawakuchaguliwa na watu kwa kuwa wote walipatikana katika Uchaguzi mmoja uliosimamiwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo ndiyo inayolalamikiwa!
Tunawaalika Watanzania wote kujitokeza na kushiriki kwa kikamilifu katika kampeni za kuhamasisha umma wa Watanzania kuhusu umuhimu na uhitaji wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya! Nitakuwa nikingoza kampeni hizo katika nchi nzima nikiwa nimevalia majoho ya Kiaskofu!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfutate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Umeelewa kilicho andikwa? Wanao connect dots mbona wanaelewa vizuri, rejea yaliotokea 2 weeks ago kumuhusu askofu utaelewaDu! Rais aseme Jana wewe polisi uliwajibu kauli ya Rais wiki iliyopita!
Du utapata soko kweli 😛 😛Uza ubongo huo dogo maana unakaa nao kwa hasara.
je walichaguuliwa na nani?DHAMIRI YAMLAZIMISHA RAIS MAGUFULI KUKIRI UHARIBIFU KATIKA UCHAGUZI WA OKTOBA 2020!
Nilipokuwa nahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, nililazimika kumueleza mmoja wa maofisa waliokuwa wananihoji nikasema kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 haukuwa Huru na wala haukuwa wa Haki. Aliponiuliza kama nilikuwa na ushahidi nilimjibu kuwa ndio ninao ushahidi!
Kama Madiwani waliopatikana katika Uchaguzi ule wamekataliwa na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama chao kwa kuwaambia hadharani na ametamka kwa ujasiri kuwa hawakuchaguliwa na watu, je walichaguuliwa na nani? Jibu hapa rahisi na la wazi nalo ni kuwa walichaguliwa na Tume ya Uchaguzi!
Tunaweza kusema kuwa kwa maneno na kauli ya Rais Magufuli, Tume ya Taifa ya Uchaguzi haikutenda Haki na haijawa Huru machoni pa Watanzania na hata machoni pake yeye mwenyewe. Kama Madiwani wale hawakuchaguliwa na watu, sahihi kabisa pia kuwa Wabunge, na Rais nao hawakuchaguliwa na watu kwa kuwa wote walipatikana katika Uchaguzi mmoja uliosimamiwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo ndiyo inayolalamikiwa!
Tunawaalika Watanzania wote kujitokeza na kushiriki kwa kikamilifu katika kampeni za kuhamasisha umma wa Watanzania kuhusu umuhimu na uhitaji wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Nitakuwa nikingoza kampeni hizo katika nchi nzima nikiwa nimevalia majoho ya Kiaskofu!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfutate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
acha longolongo na ww. unajifanya much know, ni kweli halmashauri ya jiji la dar, haina eneo na haina madiwani, wamejipachika tu, sasa huelewi nn, unasema tuliiba votes, ulituona tumeiba... achaneni na ujinga huo