Haujamuelewa Mh. Rais. Yeye kasema baraza la madiwani linalounda halmashauri ya jiji halijachaguliwa na wananchi. Japokuwa madiwani wamechaguliwa na wananchi kuingia kwenye mabaraza ya manispaa zao.... Askofu usikurupuke
Anatoka Mbeya , tunamfahamu kuanzia babu wa babu yake , wathubutu kumvua uraia waone motoHivi huyu askofu ni mzaliwa wa mkoa gani haswa?
Maana kama anatoka sehemu za mipakani naona afadhali aandae orodha ya kuanzia mababu wa mababu na akumbuke vizuri yalipo makaburi yao.
Dhambi ni mbaya sana. Utaweweseka hata ukiwa usingizini bila kujitambua. Mkuu kaweweseka. Hakudhamilia kutamka hivyo. Yamemtoka yaliyomo ndani mwake bila kujifahamu.Inabidi kuopiga kelel kumwambia Jiwe kuwa yeye si Rais maana hakuchaguliwa na watu, yeye hana tofauti na Idd Amin aliyepindua serikali halali ya Obote au huyu wa Myanmar
Min Aung Hlaing
View attachment 1711398
The Tatmadaw proclaimed a year-long state of emergency and declared power had been vested in Commander-in-Chief of Defence Services Min Aung Hlaing. It declared the results of the November 2020 general election invalid and stated its intent to hold a new election at the end of the state of emergency.
Time for gossiping is long a time gone. Everyone understands the need for a new constitution and free electoral commission. It is time for action!!!!Tume huru ni hitaji muhimu la Taifa. Kampeni ya kuidai ni muhimu.
Maandamano yanaweza kuwa sehemu ya kampeni hiyo.
Maaskofu waliovaa majoho wanaweza, na wanapaswa, kuwa sehemu ya maandamano hayo.
Lkn maandamano hayawezi, na hayapaswi, kuwa hatua ya kwanza.
Hatua ya kwani ni, na inapaswa kuwa, kujibu swali lifuatalo na kuhakikisha waandamanaji watarajiwa wanaelewa jawabu kwa swali:
TUME HURU INAYOTAKIWA TANZANIA NI KITU GANI NA SIO KITU GANI?
Nadharia kabla ya utekelezaji ni muhimu sana kwa kuwa itatuwezesha kufanya tathmini baada ya kutenda.
Anasema madiwani wa Dar es Salaam hawakuchaguliwa na watu. Walichaguliwa na nani?Kimsingi haya maagizo ya kuvuruga uchaguzi ni yake kwa 100%, lakini anajikuta kwenye wakati mgumu maana anaona kabisa amekipotezea chama chake mvuto, na kwenye box la kura hawapati matokeo aliyotegemea, na watu hawataki kupiga kura tena, na sababu hasa ni yeye.
Sasa wewe mtu 1 kati ya watu mil 60 una impact gani?Sio kwamba nipo kisha nitaoondoka baada ya mfupi, nipo sana hutaki kunywa sumu. Ufaidike na ccm au usifaidike is non of my business. Ni kweli hakuna mbadala wa ccm kwa mujibu wa mahaba yako, ila kwangu mimi ccm ni chama outdated fullstop.
'Askofu' unashindwaje kufahamu jambo dogo na dhahiri kabisa kuhusu alilolimaanisha Rais Magufuli kuwa Uongozi wa Jiji la Dar es salaam uliovunjwa,haukutokana na kuchaguliwa na wananchi wa jiji hilo. Kwa vile Jiji lile halikuwa na ardhi, wala watu, kwani ardhi na watu walikuwepo na kuwajibika kwenye Halmashauri za manispaa za Ilala, Ubungo, Kinondoni, Temeke na Kigamboni.DHAMIRI YAMLAZIMISHA RAIS MAGUFULI KUKIRI UHARIBIFU KATIKA UCHAGUZI WA OKTOBA 2020!
Nilipokuwa nahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, nililazimika kumueleza mmoja wa maofisa waliokuwa wananihoji nikasema kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 haukuwa Huru na wala haukuwa wa Haki. Aliponiuliza kama nilikuwa na ushahidi nilimjibu kuwa ndio ninao ushahidi!
Kama Madiwani waliopatikana katika Uchaguzi ule wamekataliwa na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama chao kwa kuwaambia hadharani na ametamka kwa ujasiri kuwa hawakuchaguliwa na watu, je walichaguuliwa na nani? Jibu hapa rahisi na la wazi nalo ni kuwa walichaguliwa na Tume ya Uchaguzi!
Tunaweza kusema kuwa kwa maneno na kauli ya Rais Magufuli, Tume ya Taifa ya Uchaguzi haikutenda Haki na haijawa Huru machoni pa Watanzania na hata machoni pake yeye mwenyewe. Kama Madiwani wale hawakuchaguliwa na watu, sahihi kabisa pia kuwa Wabunge, na Rais nao hawakuchaguliwa na watu kwa kuwa wote walipatikana katika Uchaguzi mmoja uliosimamiwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo ndiyo inayolalamikiwa!
Tunawaalika Watanzania wote kujitokeza na kushiriki kwa kikamilifu katika kampeni za kuhamasisha umma wa Watanzania kuhusu umuhimu na uhitaji wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Nitakuwa nikingoza kampeni hizo katika nchi nzima nikiwa nimevalia majoho ya Kiaskofu!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfutate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Sasa wewe mtu 1 kati ya watu mil 60 una impact gani?
Huyo Mwamakula an matatizo ya akili.DHAMIRI YAMLAZIMISHA RAIS MAGUFULI KUKIRI UHARIBIFU KATIKA UCHAGUZI WA OKTOBA 2020!
Nilipokuwa nahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, nililazimika kumueleza mmoja wa maofisa waliokuwa wananihoji nikasema kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 haukuwa Huru na wala haukuwa wa Haki. Aliponiuliza kama nilikuwa na ushahidi nilimjibu kuwa ndio ninao ushahidi!
Kama Madiwani waliopatikana katika Uchaguzi ule wamekataliwa na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama chao kwa kuwaambia hadharani na ametamka kwa ujasiri kuwa hawakuchaguliwa na watu, je walichaguuliwa na nani? Jibu hapa rahisi na la wazi nalo ni kuwa walichaguliwa na Tume ya Uchaguzi!
Tunaweza kusema kuwa kwa maneno na kauli ya Rais Magufuli, Tume ya Taifa ya Uchaguzi haikutenda Haki na haijawa Huru machoni pa Watanzania na hata machoni pake yeye mwenyewe. Kama Madiwani wale hawakuchaguliwa na watu, sahihi kabisa pia kuwa Wabunge, na Rais nao hawakuchaguliwa na watu kwa kuwa wote walipatikana katika Uchaguzi mmoja uliosimamiwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo ndiyo inayolalamikiwa!
Tunawaalika Watanzania wote kujitokeza na kushiriki kwa kikamilifu katika kampeni za kuhamasisha umma wa Watanzania kuhusu umuhimu na uhitaji wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Nitakuwa nikingoza kampeni hizo katika nchi nzima nikiwa nimevalia majoho ya Kiaskofu!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfutate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Kwa kifupi sana maombi ya siku 3 yana anza kutoa matokeo chanya bila shakaDHAMIRI YAMLAZIMISHA RAIS MAGUFULI KUKIRI UHARIBIFU KATIKA UCHAGUZI WA OKTOBA 2020!
Nilipokuwa nahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, nililazimika kumueleza mmoja wa maofisa waliokuwa wananihoji nikasema kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 haukuwa Huru na wala haukuwa wa Haki. Aliponiuliza kama nilikuwa na ushahidi nilimjibu kuwa ndio ninao ushahidi!
Kama Madiwani waliopatikana katika Uchaguzi ule wamekataliwa na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama chao kwa kuwaambia hadharani na ametamka kwa ujasiri kuwa hawakuchaguliwa na watu, je walichaguuliwa na nani? Jibu hapa rahisi na la wazi nalo ni kuwa walichaguliwa na Tume ya Uchaguzi!
Tunaweza kusema kuwa kwa maneno na kauli ya Rais Magufuli, Tume ya Taifa ya Uchaguzi haikutenda Haki na haijawa Huru machoni pa Watanzania na hata machoni pake yeye mwenyewe. Kama Madiwani wale hawakuchaguliwa na watu, sahihi kabisa pia kuwa Wabunge, na Rais nao hawakuchaguliwa na watu kwa kuwa wote walipatikana katika Uchaguzi mmoja uliosimamiwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo ndiyo inayolalamikiwa!
Tunawaalika Watanzania wote kujitokeza na kushiriki kwa kikamilifu katika kampeni za kuhamasisha umma wa Watanzania kuhusu umuhimu na uhitaji wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Nitakuwa nikingoza kampeni hizo katika nchi nzima nikiwa nimevalia majoho ya Kiaskofu!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfutate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Hadhira imegoma kumshangilia mpiga ngoma nae ajiuliza kunani? Mbona siku zote mwanipayusha!Kimsingi haya maagizo ya kuvuruga uchaguzi ni yake kwa 100%, lakini anajikuta kwenye wakati mgumu maana anaona kabisa amekipotezea chama chake mvuto, na kwenye box la kura hawapati matokeo aliyotegemea, na watu hawataki kupiga kura tena, na sababu hasa ni yeye.
Mwama - kulaNi Mwenyeji wa Mbeya Mkuu.
Tume huru si jambo la hiari tena bali ni LAZIMA nipo na baba Askofu bega kwa bega kwenye hili.DHAMIRI YAMLAZIMISHA RAIS MAGUFULI KUKIRI UHARIBIFU KATIKA UCHAGUZI WA OKTOBA 2020!
Nilipokuwa nahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, nililazimika kumueleza mmoja wa maofisa waliokuwa wananihoji nikasema kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 haukuwa Huru na wala haukuwa wa Haki. Aliponiuliza kama nilikuwa na ushahidi nilimjibu kuwa ndio ninao ushahidi!
Kama Madiwani waliopatikana katika Uchaguzi ule wamekataliwa na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama chao kwa kuwaambia hadharani na ametamka kwa ujasiri kuwa hawakuchaguliwa na watu, je walichaguuliwa na nani? Jibu hapa rahisi na la wazi nalo ni kuwa walichaguliwa na Tume ya Uchaguzi!
Tunaweza kusema kuwa kwa maneno na kauli ya Rais Magufuli, Tume ya Taifa ya Uchaguzi haikutenda Haki na haijawa Huru machoni pa Watanzania na hata machoni pake yeye mwenyewe. Kama Madiwani wale hawakuchaguliwa na watu, sahihi kabisa pia kuwa Wabunge, na Rais nao hawakuchaguliwa na watu kwa kuwa wote walipatikana katika Uchaguzi mmoja uliosimamiwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo ndiyo inayolalamikiwa!
Tunawaalika Watanzania wote kujitokeza na kushiriki kwa kikamilifu katika kampeni za kuhamasisha umma wa Watanzania kuhusu umuhimu na uhitaji wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Nitakuwa nikingoza kampeni hizo katika nchi nzima nikiwa nimevalia majoho ya Kiaskofu!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfutate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Anapenda kujitenga na uovu aliouagiza yeye ufanywe kwa kuwatoa kafara wa chini yake mbele ya wananchi wale wanyonge.Ninaanza kuamini kuwa kuna mtu ana file kwenye ile hospital ya taifa ya maswala ya ubongo.
Huyo ni chuma mzee baba, anasimamia ukweli wa aliyokulia, aliyofundishwa na anayoishi na kuyaona. Watu wa Mbeya hawaogopi vitisho....Hivi huyu askofu ni mzaliwa wa mkoa gani haswa?