Dhana kwamba jasusi lazima awe “mtu safi” ndiyo inaua ujasusi wa Afrika

Kwa uzi huu itoshe kusema una uelewa finyu kuhusu masuala ya ujasusi au majasusi.
 
Kabisa lkn Africa wanataka vigezo km vya askari polis
 
Africa hamna ujasusi , huo ujasusi wanafanya wapi na kwa mantiki ipi? Bara lote maskini halafu jasusi anatokea wapi sasa??

Maendeleo zero, viongozi zero na huduma zote muhimu zero.

Yaani jasusi atokee bara la giza? Kujifanya na sisi tuna vyombo vya kijasusi ni kuiga tu kwa watasha.
Africa ni bara la giza kila kitu ni giza.
 
Mambo ya ujasusi tuwaachie wa Russia, wa Korea , wamarekani na wachina .. wao wapo kwenye ligi yao ya kipekee. Ujasusi huku kwetu nado sana japo wanajikokota
 
Sasa naona wengi hapa mnawazungumzia PSU.
Kwanza fanyeni kuelewa Ujasusi ni nini ndio mje na hizo mambo😀

Ushawahi kusikia neno jasusi kwa FBI? neno hili utalikuta CIA tu.
Sasa akili mkichwa
 
Sasa naona wengi hapa mnawazungumzia PSU.
Kwanza fanyeni kuelewa Ujasusi ni nini ndio mje na hizo mambo😀

Ushawahi kujiuliza kwanini neno jasusi kwa FBI? neno hili utalikuta CIA tu.
Sasa akili mkichwa
Spies come in many shapes..... Sema unalosema upo sahihi ... watu wanachanganya Jasusi ni wale wavaa suti wanaolinda viongozi... Kitu ambacho sio kweli.
 
Nje ya mada mkuu, Lissu kupona lile shambulio la risasi ni kwamba waliopewa kazi hawana uwezo?
Premises ZA swali lako zilitakiwa SASA zikupe JIBU LA UHAKIKA KABISA KUWA wale HAWAKUWA majasusi
 
Reactions: Lax
Premises ZA swali lako zilitakiwa SASA zikupe JIBU LA UHAKIKA KABISA KUWA wale HAWAKUWA majasusi
wanaweza wakawa pia mkuu, tuna watu incompetent wengi tu kwenye sekta tofauti
 
wanaweza wakawa pia mkuu, tuna watu incompetent wengi tu kwenye sekta tofauti
HAKIPO incompetence AMBAYO INAWEZA kupeleleke MTU professional kumimina MVUA YA risasi NA BADO AKAWA ameshindwa KUTEKELEZA AZMA YAKE. ZAIDI NI KUWA Professional HAIWEZI KWENDA KUTEKELEZA mission PASIPO KUWA NA plan B. Waliohusika NA TUKIO HILO HAWAKUWA NA plan B KWA SABABU BAADA TL kuacha KUSHUKA KWENYE GARI, walitaharuki. WAO WALIOKWENDA KWENYE ENEO LA TUKIO WAKIWA NA plan MOJA TU KWAMBA TL angeshuka KWENYE GARI

Vijana mnatakiwa KUWA NA UWEZO WA kuyaangalia MATUKIO haya KWA HICHO LA TATU, KWA SABABU NCHI inahujumiwa mkiwa mko macho LAKINI hamuoni. NCHI yenu NI HII, HAKUNA nyingine
 
wanaweza wakawa pia mkuu, tuna watu incompetent wengi tu kwenye sekta tofauti
HAIPO incompetence AMBAYO INAWEZA kupelelekea MTU professional kumimina MVUA YA risasi NA BADO AKAWA ameshindwa KUTEKELEZA AZMA YAKE. ZAIDI NI KUWA Professional HAIWEZI KWENDA KUTEKELEZA mission PASIPO KUWA NA plan B. Waliohusika NA TUKIO HILO HAWAKUWA NA plan B KWA SABABU BAADA ya TL kuacha KUSHUKA KWENYE GARI, walitaharuki. WAO WALIOKWENDA KWENYE ENEO LA TUKIO WAKIWA NA plan MOJA TU KWAMBA TL angeshuka KWENYE GARI

Vijana mnatakiwa KUWA NA UWEZO WA kuyaangalia MATUKIO haya KWA JICHO LA TATU, KWA SABABU NCHI inahujumiwa mkiwa mko macho LAKINI hamuoni. NCHI yenu NI HII, HAKUNA nyingine

Mnatakiwa muyaone MATUKIO KWA USAHIHI NA HIKI KITU NI LAZIMA WALA SIYO option.
 
Mnatakiwa muyaone MATUKIO KWA USAHIHI NA HIKI KITU NI LAZIMA WALA SIYO option.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…