professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Utahangaika mpaka akili itakukaaa sawa umesema funga tumeiga nikakwambia wapi mayahudi wamefunga ramadhani badala ya kujibu hoja kwanza unaongeza maswali ili ujifiche sioKati ya ile funga aliyoiga kwa wayahudi na funga ya ramadhani ipi ukifunga unasemehewa dhambi za mda mrefu? Weka na rejea
Funga ya ramadhani ndani yake kuna usiku bora kuliko miezi elfu moja
Hapo huo usiku mmoja tu
97:3. Laylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app