Dhana nzima ya Futari na Daku

Okay Kwa timetable hii INA maana watakuwa wamecheki Hali ya anga ikoje na kujua kuzama Kwa jua kunakuwaje
Yes na hata ukitazama vizuri bado watakua wanakula daku na kufuturu kwa muda husika kama nchi nyingine tu isipokua saa ndio zinatofautiana na ndio maana muda wa iftar na daku havikosani sana kwa miji yote

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
vitu vizuri Duniani vipo vingi, ila vichache ni ivi.
1. Nidhamu_ kuwa sawa kiuhalisia na kuepuka makosa ya kawaida yanayokwepeka. mfano mtu kafunga yeye na wewe hupati madhara. kukaa kimya si dhambi.

2. Heshima_ kuwathamini wengine kwenye hisia zako. jichukulie wewe na yule au uyu.

3. Ujuzi_ utambuzi wa mambo na kufanya manbo kiufanisi.


# Mungu tubariki sana kizazi hiki.
 
💪💪
 
... kuna mwamba hapo kasema sometimes wale wa far north ambako baadhi ya misimu Jua linakua on masaa mengi huwa wanatumia muda wa Saudi Arabia kuwa-guide muda wa kufunga, kufuturu, na kula daku hata kama Jua linawaka. That's another school of thought, nimeelewa.
 
Huo utaratibu wa kucharazana viboko umeuona kwenye Qur'an au umeupata wapi? Hakuna Mambo ya namna hio kwenye kitabu chetu labda jamii yenu huko
 
Hata kwangu Mimi hili ni jipya lkn ndio mambo ya elimu hayo
 
Kuna sehemu nimekiongelea kitabu chenu mkuu?
Huo utaratibu wa kucharazana viboko umeuona kwenye Qur'an au umeupata wapi? Hakuna Mambo ya namna hio kwenye kitabu chetu labda jamii yenu huko
 
Sawa mohaamad ni mwanume yule vipi Yesu kaoa mwanamke yoyote au ndio sio ....

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Chief kama ulivyosema ukitoka nje ya mstari nikuweke Sawa,naona hapa sio Sawa kidogo.

Natambua unajua Yesu kwetu Sisi ni Mtume na kipenz chetu kwahiyo tuendelee kumpenda siku zote
 
Hata kwangu Mimi hili ni jipya lkn ndio mambo ya elimu hayo
Kuna maeneo ya north kule jua lina chuka karibu saa 22 hivyo karibu siku nzima kuna watu uwezo wa kufunga kufikia hivyo hawana wao wamepewa udhuru huo lakin si kwamba ndio kwa wote wa miji hiyo wafanye hivyo

Mfano 2013 katika mji wa LULEA ilitokea hiyo na ilikua mwezi 7 na kiukweli katika mwezi 6 na 7 wa mwaka katika miji hiyo ndio hali hua hivyo

Hata miji ya uturuki nayo hua wanawahi kidogo kufungua kama majira yatabadilika

Nadhani hapo kidogo utakua umenipata

Ila si kwamba kila ramadhani hapana ni baadhi ya ramadhani katika miaka baadhi



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Asante chief Kwa elimu hii hakika nimepata faida kubwa

Shukrani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…