Dhana nzima ya Futari na Daku

Dhana nzima ya Futari na Daku

kiarabu kina mchango mkubwa kwenye lugha ya kiwahili ukionga maneno 100 basi 80 ya kiarabu basi usiwe unaongea kiswahili
Swali hali kukulenga wewe, mbaya zaidi umeandika sentensi ya kijinga.
 
😆😆😆
Daku ni chakula ambacho huliwa usiku Sana na inashauriwa kuanzia saa nane, tisa mpaka saa kumi usiku, lakini hii nayo ni ibada pia, kwa maana ni bora zaidi kuchelewa kula Daku kama ambavyo ni bora zaidi kuwahi kufuturu, na unapata thawabu kwa kufanya haya.
🤣🤣🤣 halaf haya maswala ya dini walivyokuwa wanainvert walikuwa wanatumia tu common sense tu. Yaani chelewa kula daku, almost inakuwa alfajiri. Ukila ukashiba kinakubeba hadi jioni mapema unawahi kula, show goes on
 
Zamani ilikua raha sana yaan muislam haangalii sijui wewe khafr au singasinga anakuletea vitafunwa km tende, sambusa, chapati, kababu, visheti, keki, zinasindikizwa na uji wa iliki na pilipili manga za kutosha au unakuta maharage yaliyotiwa sukari unakula bure barazani,

Na kingine ukifika nyumban unakuta umeletewa haijalishi umefunga km wao au haujafunga walikua wanagawa chakula kwa majirani zao wa karibu, nashangaa siku hizi ikifika mwezi wa Ramadhani futari biashara inauzwa wakati zamani ilikua bure
Ndio maana siku hizi Maisha yetu hayana baraka kabisa,hakuna kitu kizuri kama sadaka ya chakula
 
😆😆😆

🤣🤣🤣 halaf haya maswala ya dini walivyokuwa wanainvert walikuwa wanatumia tu common sense tu. Yaani chelewa kula daku, almost inakuwa alfajiri. Ukila ukashiba kinakubeba hadi jioni mapema unawahi kula, show goes on
Nilitaka kukujibu lakini nilivyoona kauli kwamba Dini imetungwa au kutengenezwa basi nikaona hapa kuna tatizo
 
Chief

Upo sahihi moja wapo ya hekima ya Daku ni kumuwezesha mfungaji siku inayofuata awe na stamina itayo muwezesha kuwa na nguvu na asinyong'onyee Sana,kwasababu funga si adhabu Bali ni ibada.

Lakini kuna ambao hawawezi Kula chakula kizito usiku, wao Sana Sana watakula saq tano au saa sita usiku mfano mmoja wapo ni Mimi binafsi, lakini pamoja na hayo kwakuwa Daku ni chakula chenye baraka na kusisitizwa kukila basi watu kama Sisi tutaamka na Kula kitu chepesi Kwa kukusudia au kunuia kuwa ndio Daku yetu.

Na kila kitu kina mazoea yake,wengine tunakula chakula kizito mapema around saa tano au sita na bado siku ya pili tuko vizuri Tu.

Unaposema tunajitesa unakosea chifu,au nitakuelewa kwasababu huenda hujawahi kufunga hivyo unaona Jambo gumu Sana au la ajabu Sana.

Hiyo kwetu ni ibada na tunaitekeleza Kwa roho Safi kabisa,kwani tunajua ni amri ya Allah na hatuna budi kuwa viumbe watiifu Kwa Muumba wetu na kubwa zaidi tunatarajia malipo makubwa kutoka kwake.

Mungu yupo chief na Hilo usiwe na Shaka nalo hata kidogo,siku ya kufumba macho yako basi utaujua ukweli wote.
Shukrani mkuu, umenifunza kitu kuhusu daku. Sikuwahi kufikiria kuwa daku ina nafasi yake (Sunnah). Nilikuwa nawahi kula saa tatu Kisha naenda kulala. Inshallah Mwenyezi Mungu akinipa uhai na afya Ramadhan inayokuja nitaamka hata angalau nipate juisi.
 
Hahahha sio kukwepesha mada kukupa uhalisia ulitaka niache au ili iweje

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tuendelee unajua Muhammad aliiga mambo ya kufunga kutoka kwa wayahudi?

Soma
Hapa tunamuona kuwakuta wayahudi wanafunga , akawa hajui chochote kuhusu kufunga, akawauliza kwa nini wanafunga siku hiyo, wakamjibu tunafunga maana ndio siku wana wa israel waliokolewa kutoka kwa adui yao na Musa alifunga siku hii, Muhammad akawaambia sisi waislamu ndio tupo karibu na Musa kuliko nyie (😂) basi tutafunga na sisi leo akaanza kufunga siku hiyo hiyo na akawaamuru waislamu wafunge, na akawanyang'anya wayahudi Musa akamfanya ni wakwao na ni muislamu
Muhammad came to Medina and saw the Jews fasting on the day of Ashura. He asked them about that. They replied, "This is a good day, the day on which God rescued Bani Israel from their enemy. So, Moses fasted this day." Muhammad said, "We have more claim over Moses than you." So, Muhammad fasted on that day and ordered (the Muslims) to fast (on that day).Sahih al-Bukhari 2004
 
Tuambie wewe maana ya kufungua tupate faida.

Tujuavyo sisi Waislamu kufungua ni kujizuia kula, kunywa, kufanya jimai na madhambi mengine kuanzia alfajiri ya kweli mpaka just linapo zama.

Type wewe maana ya fungal kwaujibu wa Biblia.
hana jipiya huyo tofaoti na chuku anadhani kufunga ni mateso kama wafanyavio wachungaji 40 usiku naachana bila kula wanaambulia kuishiwa maji na kufa
 
Tuendelee unajua Muhammad aliiga mambo ya kufunga kutoka kwa wayahudi?

Soma
Hapa tunamuona kuwakuta wayahudi wanafunga , akawa hajui chochote kuhusu kufunga, akawauliza kwa nini wanafunga siku hiyo, wakamjibu tunafunga maana ndio siku wana wa israel waliokolewa kutoka kwa adui yao na Musa alifunga siku hii, Muhammad akawaambia sisi waislamu ndio tupo karibu na Musa kuliko nyie ([emoji23]) basi tutafunga na sisi leo akaanza kufunga siku hiyo hiyo na akawaamuru waislamu wafunge, na akawanyang'anya wayahudi Musa akamfanya ni wakwao na ni muislamu
Muhammad came to Medina and saw the Jews fasting on the day of Ashura. He asked them about that. They replied, "This is a good day, the day on which God rescued Bani Israel from their enemy. So, Moses fasted this day." Muhammad said, "We have more claim over Moses than you." So, Muhammad fasted on that day and ordered (the Muslims) to fast (on that day).Sahih al-Bukhari 2004
Sawa kwahiyo shida iko wapi sasa

Yani unacho kiongea sijui kama unakijua umesahau kama yohana na wanafunzi wake walikua wanafunga kabla ya wanafunzi wa yesu

Mbona vitu simple tu

Halafu nilijua unazungumzia ramadhani kumbe ashuaraa vipi ramadhani nayo tumeiga kwa mayahudi au?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa wanabadilisha muda wa kula na sio kufunga.Mtu anaanza kula saa 12 hadi saa 11 usiku. Huku ni kufunga au kubadili ratiba?
tatiozo ukiambiwa tueleze maana ya kufunga kwa mjibu wa kitabu chako unakimbia
 
Back
Top Bottom