Dhana nzima ya Futari na Daku

Dhana nzima ya Futari na Daku

Chemchem ndio spring

Sasa ona Muhammad alivyo patia kuelezea Koran , nyie mnaweka mapicha ya bahari

I was sitting behind the Messenger of Allah (ﷺ) who was riding a donkey while the sun was setting. He asked: Do you know where this sets ? I replied: Allah and his Apostle know best. He said: It sets in a spring of warm water (Hamiyah) Sunan Abi Dawud 4002
Huyu anampaka chemchem za juu!.[emoji23][emoji23][emoji23]
Yoshua 15:19
Huyo mwanamke akasema, Nipe baraka; kwa kuwa umeniweka katika nchi ya kusini, unipe na chemchemi za maji pia. Ndipo akampa chemchemi za maji ya juu,na chemchemi za maji ya chini.
 
Muhammad ameweka wazi ndipo Jua linapozama

I was sitting behind the Messenger of Allah (ﷺ) who was riding a donkey while the sun was setting. He asked: Do you know where this sets ? I replied: Allah and his Apostle know best. He said: It sets in a spring of warm water (Hamiyah) Sunan Abi Dawud 4002
Hapa nilipo kila siku jua linazama mlimani.
Kama unabisha nakuwekia picha hapa.
 
KWA USHAHIDI KABISA,NYINYI MUANGALIZI WENU NA MCHUNGAJI WENU NI SHETANI.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AYUBU 2

1Tena ilitukia siku moja hao wana wa Mungu walipokwenda kujiweka mbele za BWANA, Shetani naye akaenda kati yao, ili kujiweka mbele za BWANA.2BWANA akamwuliza Shetani, Umetoka wapi? Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Natoka katika kuzungukazunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo. 3 BWANA akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hakuna hata mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu; naye hata sasa anashikamana na utimilifu wake, ijapokuwa ulinichochea juu yake, ili nimwangamize pasipokuwa na sababu.
 
Kifupi tu. Mwezi Ramadhan ni mwezi wa kubadili majira ya milo. Kwa kawaida ahsubuhi tunakunywa chai au supu. Mchana tunakandamiza ugali/ ndizi au wali. Jioni tunapiga wali. Sasa kwenye mfungo wa Ramadhani tunafanya kilekile. Ila tunabadili muda. Inakuwa hivi. Futari/ futuru ndio chai. Hii tunakula 12-12:30 jioni. Kisha tunaendelea kula kula vitu vidogo vidogo kama matunda. Ndizi, papai nk. Saa 5 usiku watu wanakula tena mlo kamili. Hapo watakula ugali, au wali an hata ndizi na juice na maziwa. Huo ndio mchana. Ikifika saa 8 kwenda mpaka saa kumi ndio daku. Msosi wa jioni huo. Kwa hiyo kilichobadilija hapo ni muda wa kula. Majaribu ni kuvumilia kuona wangine wakila na kunywa wakati wa mchana.
 
common sense inanileta kuelewa kuwa daku ni kujiandaa masaa mengi kuhimili njaa! Unakula /inakunywa saa kumi hayo maji/uji ili ikusaidie kufika saa 12 , maana si rahisi/ni mateso kuhimili njaa,, kiu etc kwa saa zaisi ya 12 kesho yake.

Hivi tabu yote ya nini? Unatafuta nini? Bada? Kwani lazima ujitese? Ili iweje? Kuingia mbinguni? Who knows kama kuna Mungu? IMANI, IMANI IMANI
Prove kwamba hayupo.
 
Swali zuri Sana madam Numbisa

Kama nilivyoeleza awali maana halisi ya Daku,pamoja na mambo mengine ni kumuwezesha mfungaji kuwa na stamina ili apate kuendelea na majukumu yake kama kawaida pasina kuwa na uchovu mwingi

Sasa,

Dhana nzima ya kuwazuia watu Kula chakula hadharani au kuuza vyakula ni Kwa Nia moja Tu kuheshimu mwezi mtukufu WA ramadhani na kuwahimiza watu wafunge au watekeleze ibada ya funga.

Na utaratibu huo hufanywa kwenye maeneo yenye waislamu wengi kama Zanzibar Kwa maana wengi wao ni waumini WA kiislamu hivyo hawana budi kufunga,na si rahisi kukuta huku bara kuna mambo kama hayo.

Lakini hata Kwa utashi WA kawaida Tu Kwa ibada kama ya mwezi wa ramadhani ambayo ni maarufu Sana na waislamu wengi wanafunga je si Busara basi kutokula hovyo hovyo hadharani?

Ebu chukulia wewe Numbisa let's say upo na wapangaji wenzako karibia wote wamefunga je itakuwa Busara ukiwa nao barazani mnabadilishana mawili matatu basi ukawa na msosi wako unakula mbele yao je ni Sawa?
Mimi ni muislamu na sikubaliani na wanayofanya zanzibar ya kuzuia watu kuuza migahawa mchana wa ramadhani maana hakuna dalili yoyote kidini katika kwamba nabii muhammad (radhi za Allah ziwe juu yake) aliwahi kufanya hayo.

Huo ni ukimbukeni wa watu wachache tu maana funga ni ya kwaki wewe na Allah ( the almighty) na hata wakizuia watu kuuza kuna ambao wanajifungia na kula ndani.
 
Swali zuri Sana madam Numbisa

Kama nilivyoeleza awali maana halisi ya Daku,pamoja na mambo mengine ni kumuwezesha mfungaji kuwa na stamina ili apate kuendelea na majukumu yake kama kawaida pasina kuwa na uchovu mwingi

Sasa,

Dhana nzima ya kuwazuia watu Kula chakula hadharani au kuuza vyakula ni Kwa Nia moja Tu kuheshimu mwezi mtukufu WA ramadhani na kuwahimiza watu wafunge au watekeleze ibada ya funga.

Na utaratibu huo hufanywa kwenye maeneo yenye waislamu wengi kama Zanzibar Kwa maana wengi wao ni waumini WA kiislamu hivyo hawana budi kufunga,na si rahisi kukuta huku bara kuna mambo kama hayo.

Lakini hata Kwa utashi WA kawaida Tu Kwa ibada kama ya mwezi wa ramadhani ambayo ni maarufu Sana na waislamu wengi wanafunga je si Busara basi kutokula hovyo hovyo hadharani?

Ebu chukulia wewe Numbisa let's say upo na wapangaji wenzako karibia wote wamefunga je itakuwa Busara ukiwa nao barazani mnabadilishana mawili matatu basi ukawa na msosi wako unakula mbele yao je ni Sawa?
Ni sawa kula mbele ya aliyefunga maana funga ni ya kwake yeye na Allah( subhanna huwataala) mbona mimi nikiwa na swaum nakaa na rafiki zangu na wengi huwa wanakula kawaida tu na wala sitamani wala nini maana nimefunga .
 
KWA USHAHIDI KABISA,NYINYI MUANGALIZI WENU NA MCHUNGAJI WENU NI SHETANI.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AYUBU 2

1Tena ilitukia siku moja hao wana wa Mungu walipokwenda kujiweka mbele za BWANA, Shetani naye akaenda kati yao, ili kujiweka mbele za BWANA.2BWANA akamwuliza Shetani, Umetoka wapi? Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Natoka katika kuzungukazunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo. 3 BWANA akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hakuna hata mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu; naye hata sasa anashikamana na utimilifu wake, ijapokuwa ulinichochea juu yake, ili nimwangamize pasipokuwa na sababu.
Hawa jamaa basi tu wanakaza fuvu lakini hawana dini kwa kweli

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mungu tu ndie anaaamehe dhambi ili jiwe nguvu ya kusamehe dhambi za waislamu limetoa wapi , kitu kinacho kusamehe ndio ibada yenyewe

  • Sanamu jiwe unalolisujudi kila siku lisome kazi zake, kALIGUSE jiwe likusamehe dhambi 😂😂😂
  • Jiwe jeusi lina fyonza dhambiza waislamu
    • Ibn Abbas alisisitiza kwamba: Muhammad alisema: "Jiwe jeusi liliteremka kutoka Peponi, na lilikuwa jeupe zaidi kuliko maziwa, kisha likatiwa weusi na dhambi za watoto wa Adamu. Jami` at-Tirmidhi 877
  • Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho
    • Imesimuliwa kwamba Ibn 'Abbaas alisema: Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allaah, Allaah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Jami` at-Tirmidhi 961
  • Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
    • Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba: "Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi." Sunan an-Nasa'i 2919

ACHA UPOTOSHAJI!!!
Naomba nikupe Elimu kuhusu jiwe jeusi kwa kifupi sana;
Alkaaba ilijengwa na Ibrahim na mwanae Ismail kwa maelekezo ya Mungu ili wanadamu wapate pa kuelekea wakati wanafanya Ibada. Jiwe alilotumia Ibrahim (kama ngazi) kusimama ili ajenge sehemu ya juu ya Alkaaba lipo hadi leo hapo pembeni ya alkaaba (kwa nje) na lina alama ya Unyayo wake (usiniulize aliwezaje kubonyeza jiwe kwa miguu yake)
Kuhusu jiwe jeusi; Baada ya Ibrahim kukamilisha ujenzi wa alkaaba, alisema aweke alama hata huko baadae kama alkaaba itajengwa upya watu wajue eneo halisi ilipo jengwa; Ili kuweka alama ndio akatafuta jiwe la tofauti na yaliyokuwepo eneo hilo akapata jiwe la tofauti akaliweka (ndilo watu huita jiwe jeusi)
Kwa maelezo hayo; hilo jiwe liliwekwa kama alama ya kuonesha alkaaba ilipojengwa na sio vinginevyo...

Kwa kifupi sana hayo ndio maelezo yake wala hakuna mtu anaye abudu jiwe jeusi; ni UPOTOSHAJI !!!
Usikubali kudanganywa na wasio na Elimu huko mtaani au wanaopotosha uislam kwa manufaa yao binafsi...
 
Hapa nilipo kila siku jua linazama mlimani.
Kama unabisha nakuwekia picha hapa.
Ivi Kwanini mnabishia mtume pedophile Muhammad

I was sitting behind the Messenger of Allah (ﷺ) who was riding a donkey while the sun was setting. He asked: Do you know where this sets ? I replied: Allah and his Apostle know best. He said: It sets in a spring of warm water (Hamiyah) Sunan Abi Dawud 4002
 
ACHA UPOTOSHAJI!!!
Naomba nikupe Elimu kuhusu jiwe jeusi kwa kifupi sana;
Alkaaba ilijengwa na Ibrahim na mwanae Ismail kwa maelekezo ya Mungu ili wanadamu wapate pa kuelekea wakati wanafanya Ibada. Jiwe alilotumia Ibrahim (kama ngazi) kusimama ili ajenge sehemu ya juu ya Alkaaba lipo hadi leo hapo pembeni ya alkaaba (kwa nje) na lina alama ya Unyayo wake (usiniulize aliwezaje kubonyeza jiwe kwa miguu yake)
Kuhusu jiwe jeusi; Baada ya Ibrahim kukamilisha ujenzi wa alkaaba, alisema aweke alama hata huko baadae kama alkaaba itajengwa upya watu wajue eneo halisi ilipo jengwa; Ili kuweka alama ndio akatafuta jiwe la tofauti na yaliyokuwepo eneo hilo akapata jiwe la tofauti akaliweka (ndilo watu huita jiwe jeusi)
Kwa maelezo hayo; hilo jiwe liliwekwa kama alama ya kuonesha alkaaba ilipojengwa na sio vinginevyo...

Kwa kifupi sana hayo ndio maelezo yake wala hakuna mtu anaye abudu jiwe jeusi; ni UPOTOSHAJI !!!
Usikubali kudanganywa na wasio na Elimu huko mtaani au wanaopotosha uislam kwa manufaa yao binafsi...
Embu kataa Aya maandiko ya wabusu jiwe

  • Sanamu jiwe unalolisujudi kila siku lisome kazi zake, kALIGUSE jiwe likusamehe dhambi 😂😂😂
  • Jiwe jeusi lina fyonza dhambiza waislamu
    • Ibn Abbas alisisitiza kwamba: Muhammad alisema: "Jiwe jeusi liliteremka kutoka Peponi, na lilikuwa jeupe zaidi kuliko maziwa, kisha likatiwa weusi na dhambi za watoto wa Adamu. Jami` at-Tirmidhi 877
  • Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho
    • Imesimuliwa kwamba Ibn 'Abbaas alisema: Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allaah, Allaah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Jami` at-Tirmidhi 961
  • Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
    • Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba: "Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi." Sunan an-Nasa'i 2919
 
Mleta uzi una busara sana, wote mngekua hivi humu jamvini kusingekua na misuguano ya kidini.
 
Daku inaambata na Vigoma siku hizi ukifika mwezi wa Ramadhan vile Vigoma vya Kula Kula Daku Mpemba na kinyago anaecheza Vigoma hakuna tena, sijui nani alieua vile Vigoma vya Daku siku hizi hakuna watu wanawaza kula tu na kula kwenyewe wanakula kiuchoyo zamani ukifika mda wa futari unachagua Baraza la kwenda kula na hufukuzwi na kingine utakuta umeletewa nyumbani ule,

Yaan zamani mwezi wa Ramadhani waislamu walikua wakalimu sana nazungumzia waislamu wote sio wahisani Ila siku hizi sijui njaa imezidi Ramadhan waislamu wanakula wenyewe ule utaratibu wa kula kibarazani umekufa hakuna kukaribisha mtu na hakuna kumpelekea mtu (jirani) chakula,
Aise karibu kwangu bro napenda wageni kipindi hiki.
Kuhusu kupotea vigoma ni kwamba technology imechukua mkondo wake watu wanatumia alarm zamani alarm hazikuwepo
 
Kuna post moja nimeiyona ingawa ilikuwa inazungumzia kwaresma lakini mwandishi wa post hiyo alikuwa na lengo la kukashifu dhana nzima ya Futari na Daku.

Kwake yeye Kwa mujibu wa Imani yao wanakula chakula chochote kile tofauti na watu wa Imani nyingine ambayo pasina kuficha na Imani hii ni Uislamu.

Kwa uelewa wa mwandishi anachoelewa yeye kuhusu Futari cha kwanza kinachomjia kichwani kwake ni uji, viazi au mihogo na tambi, kwake yeye hiyo ndio Futari.

Na Daku ni chakula ambacho kinaliwa usiku sana kama ugali, wali na ndizi na kadhalika, kwahiyo kana kwamba anaona fahari kwamba wao hawana mambo hayo kwahiyo mambo yao yapo super.

Ningependa nimpe elimu juu ya mambo haya ili ukungu umtoke katika ubongo wake na apate kujua usahihi wa dhana ya Futari na Daku ili kesho na kesho kutwa asirudie tena kuongea huo upuuzi.

Futari imetokana na neno kufuturu kwa Kiswahili chepesi ni mlo wa kwanza baada ya kufunga swaumu, kwahiyo kile chakula cha kwanza kukila baada ya kufungua ndio huitwa Futari, na yaweza kuwa tende au maji, ukipata kimoja kati ya hicho hapo tunasema umefuturu, na chakula kingine ni ziada tu kwa maana kinahesabika kama chakula kingine tu.

Tofauti na watu wa Imani nyingine, Futari au kufuturu ni ibada na ina utaratibu wake, miongoni mwa mambo muhimu ya kufanya kwa mwenye kufunga ni kutakiwa kufuturu mapema au haraka mara baada tu ya kuingia Magharibi baada ya jua kuzama.

Hapo hutakiwa kupata tende au maji kwani hivyo ndio vitu ambavyo ni Sunna kutoka kwa Mtume wetu, lakini hata hivyo hakuna aweza kufuturu Kwa biskuti, matunda, karanga au na chochote kile ambacho anaweza kuipata Kwa wakati huo, hapo ndio tunasema kufuturu.

Kwahiyo funga ya muislamu au mwezi wa Ramadhani unaweza kufungwa hata bila ya uwepo wa uji, au viazi, ndizi, magimbi na kadhalika, hivyo ni vyakula tu ambavyo vimezoeleka lakini sio kwamba bila hivyo haipatikani funga, mtu anaweza kufuturu kwa chai na mkate au chapati na hiyo ndo ikawa Futari yake.

Daku ni chakula ambacho huliwa usiku Sana na inashauriwa kuanzia saa nane, tisa mpaka saa kumi usiku, lakini hii nayo ni ibada pia, kwa maana ni bora zaidi kuchelewa kula Daku kama ambavyo ni bora zaidi kuwahi kufuturu, na unapata thawabu kwa kufanya haya.

Daku ni chakula kilicho barikiwa na ndio maana waislamu wanasisitizwa sana mwezi wa Ramadhani wajitahidi Kula Daku, lakini ifahamike kwamba Daku inaweza kuwa glasi moja ya maji au maziwa, au chai na andazi au chapati, ili mradi tu upate chochote kidogo cha kula usiku huo, na hiyo ndio Daku.

Kwa mfano unaweza kula wali wako au ugali saa tano usiku halafu usiku ukaamka kunywa chai tupu au juisi au maziwa ndio ikawa Daku yako, hapo unapata baraka.

Na haya mambo ya kudhani Futari ni viazi, mihogo, ndizi, magimbi na uji au chai huwa tatiza hata baadhi ya waislamu kwa kusema hawana hela ya Futari na hivyo kushindwa kufunga swaumu, huo ni uelewa mbaya sana na ni kukosa maarifa kabisa.

Tupende kujifunza na kupata elimu ili tufanye mambo sahihi kwa wakati sahihi kabisa.

Natumaini wale ambao walikuwa na uelewa mbaya kuhusu Futari na Daku walau kwa uchache watakuwa wamepata maarifa na kutoa ukungu katika vichwa vyao.

Ni hayo tu!

johnthebaptist
Numbisa
sababu kubwa kisayansi kwanini watu wapendelea kula mihogo,viazi,magimbi na uji ni sababu vina starch kubwa hivyo ni kurudisha nguvu mwilini iliyopotea maana sukari ndio mafuta ya mwili.
 
Back
Top Bottom