Dhana nzima ya Futari na Daku

Dhana nzima ya Futari na Daku

Koran imesema chemchem ,
Hii picha ni chemchem
Utajua mwenyewe!Mi nimekuonesha matumizi na maana ya KUCHOMOZA NA KUZAMA KWA JUA.
Hizo picha zote zionesha JUA likizama kwenye MLIMA,MAJI,MITI N.K.

Kifupi ni kwamba,kama matumizi haya ya SUNRISE NA SUNSET yanalihusu JUA,basi jua hakuna namna yoyote JUA litaacha kuchomoza na kuzama nyuma ya vitu mbalimbali.
 
Chemchem ni nini ?
 
Hahhahaha [emoji12][emoji12] imeisha hiyo

Yoshua 15:19
Huyo mwanamke akasema, Nipe baraka; kwa kuwa umeniweka katika nchi ya kusini, unipe na chemchemi za maji pia. Ndipo akampa chemchemi za maji ya juu, na chemchemi za maji ya chini.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nakuuliza chemchem ni nini wewe unajibu kitu kingine kabisa

Ndio kule ulishindwa kusema chemchem ni nini ukakimbia Uzi
 
Sasa ndio umejibu
Maji yanayotoka ardhi, mnapo tuwekea mapicha ya bahari na ziwa ndio Aya ya Koran ilivyosema?

Uzi ulioukimbia
Unabahati kuku naona wamekutetea wamenipiga ban baada ya kuona

Tena mod walivyo waoga hata taarifa wameogopa kunipa nawaumbua
Screenshot_20230226-112642.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahhaha mito haina maji yanayotoka Ardhini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Chemchem ndio spring

Sasa ona Muhammad alivyo patia kuelezea Koran , nyie mnaweka mapicha ya bahari

I was sitting behind the Messenger of Allah (ﷺ) who was riding a donkey while the sun was setting. He asked: Do you know where this sets ? I replied: Allah and his Apostle know best. He said: It sets in a spring of warm water (Hamiyah) Sunan Abi Dawud 4002
 
Hahahahaha kwani mito na bahari haina chemichemi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] Hamiya
Kweli wewe hamnazo
Unajua basi hata hiyo maana ya hot spring kuku wewe waone wana jiolojia hawa
a spring with water temperatures above its surroundings

The related term "warm spring" is defined as a spring with water temperature less than a hot spring by many sources, although Pentecost et al.

Wewe huna uwezo wowote katika nyanja zote

Kila eneo lazima onyooshwe

Je! Umeziingia chemchemi za bahari, Au umetembea mahali pa siri pa vilindi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kweli wewe hamnazo
Unajua basi hata hiyo maana ya hot spring kuku wewe waone wana jiolojia hawa
a spring with water temperatures above its surroundings

The related term "warm spring" is defined as a spring with water temperature less than a hot spring by many sources, although Pentecost et al.

Wewe huna uwezo wowote katika nyanja zote
Tumeshamaliza siku nyingi , wewe bakia kurusha mate

The word “hamia” means hot. If it is pronounced as hamiya, it means hot; if it is pronounced as hamia, it means mud, wet clay , Jua ndio linajitosa humo 😂😂😂🤣

Kwa mujibu wa maelezo yaliyonyooka ya Muhammad,
 
Back
Top Bottom