KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Utajua mwenyewe!Mi nimekuonesha matumizi na maana ya KUCHOMOZA NA KUZAMA KWA JUA.Koran imesema chemchem ,
Hii picha ni chemchem
Hizo picha zote zionesha JUA likizama kwenye MLIMA,MAJI,MITI N.K.
Kifupi ni kwamba,kama matumizi haya ya SUNRISE NA SUNSET yanalihusu JUA,basi jua hakuna namna yoyote JUA litaacha kuchomoza na kuzama nyuma ya vitu mbalimbali.