Dhana potofu ya kwamba kila mtu kaandikiwa kifo chake

Leo Bodaboda wapo speed kweli kweli kukimbilia wateja.
Washakunywa Double kick + ugoro. Wapate ajali eti mipango ya Mungu
 
Mungu anaweza kukupangia uwe shoga?
 
Hiki kitu kilikua kinanichanganya sana, eti Mungu anajua na kakupangia utakufaje.
Mbona huo ni ukatili na anakua hana usawa, nadhani ulichoandika kina usahihi, huyu afe mwa maumivu ya kuchomwa moto, mwingine afie usingizini bila maumivu yoyote hapo usawa kati yao uko wapi, mbona hapo Mungu anakua hajaweka usawa.

Huenda lifespan ya sote ipo sawa kabisa ila sisi tunaichezea miili yetu, ama lah life span hubadilika kizazi na kizazi.
Kizazi hiki kinaweza kujenga au kuharibu lifespan ya kizazi kijacho.

Naamini Mungu hana upendeleo ila baadhi yetu tunachakata vibaya mbongo zetu.
 
Umeeleweka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…