MKARASINGA
Senior Member
- Jun 9, 2018
- 135
- 222
Allah amefadhilisha mitume katika daraja tofauti na mbora katika mitume yote ni Muhammad (pbuh) kwasababu mitume yote iliyotangulia ilitumwa kwa kundi au taifa fulani ila Muhammad alitumwa kwa ajili ya ulimwengu mzima. Na pia yeye ndie atakaekubaliwa ombi la kuombea wanadamu wote siku ya mwisho wapate kuhukumiwa mara baada ya kuwa washakaa takribani ya miaka elfu hamsini wakisubiri hukumu ya Mungu ipite.
Hehehe hapo kwanza ncheke, Imani hizi jamani tutauana bure