Dhana potofu ya kwamba kila mtu kaandikiwa kifo chake

Dhana potofu ya kwamba kila mtu kaandikiwa kifo chake

Ndo maana watu wenye imani kali na Mungu vifo vyao wengine huvijua...
Yes of course, maana wanajua ukiwa kwenye njia sawia ya Mungu ni kifo cha aina ipi kitakupta. So you're kinda right bro
 
Yes of course, maana wanajua ukiwa kwenye njia sawia ya Mungu ni kifo cha aina ipi kitakupta. So you're kinda right bro
I wonder if she is a bro, kwani is she we?.

Eti da'Donatila are you we bro?😂😂😂😂🤣
 
Niliwahi kuandika kama Mungu anatupenda na katupatia Freewill kweli basi wakati wa kutuumba angetuuliza kama kweli tunahutaji kuzaliwa. Maana huku duniani kukejaa mateso tupu halafu mwisho wa siku tunaishia kuoza udongoni.
Definitely nisingetaka kuzaliwa, Imagine unazaliwa ili at the end uje kua hivi adhini. Inasikitisha sana😢😢😢
IMG-20220622-WA0003.jpg
 
Da'Vinci naomba futa hizo picha #24, sio nzuri, sio vizuri. Nadhani hata kisheria ni kosa pia...... na jamii forum hawana ile ya kusema 'sensitive image, do you view anyway'?

Tunataka tutumie free will kuamua kuziona au la bro
 
Mimi mtoto wangu hakulia, huenda atakuwa kamanda kama Vladimir wa Kremlin
Ukimpa ma toys ya Ma KALASHNIKOV, Ma iskander etc ndo atakuja kuwa labda bila hivyo mamake akimpeleka sana sunday school utashangaa kanakuja kuwa ka 'Mwamposa jr'

Lakini mitoto mibishi utakuta unalipeleka hivi jenyewe linaenda vile yaani wacha tuishi tu tuone
 
Hahahahah inabidi nimtafti Toys za Iskander 😂
 
Binadamu amezaliwa ili aishi mpaka mwili utakapozeeka ndipo roho itoke kwenda kuanzisha maisha mengine katika umbo jingine. Kifo kabla ni mauzauza tu ya duniani. Ni katika hali ya binadamu kuchezeana michezo. Mungu hahusiki ila huenda anajua malipizi ya hao waovu.
 
Mtoa mada huwa mada zako ni za kufikirika mno.mtu usipokuwa makini unaweza sema hiki kilicho ongelewa hapa ni kweli tupu ila kwa watu walio na imani ni vitu simples sana unazungumzia.......

Kwa ulicho andika hapa sisi km waislamu tuna mafundisho yetu ambayo tuna yaamini mno.ila sio lazima na nyie pia muamini kama sisi . Ipo hivi

Kwa mujibu wa uislamu mtoto kabla hajazaliwa rizki yake tayari ishakadiriwa, Na umri atakaoishi duniani pia tayar kasha tia sahili.........Ndugu zetu msione ajabu hivi vitu mkaona kama haviwezekani !!!!!!!!!.

Ndio maana siku zako za kuishi zikifika hata waje madaktar wote hawawezi kukupa uhai wala kukuongezea muda .Hata uwe tajiri kiasi gani

Umauti unatisha ndugu zangu tuache umalaya........

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Umeanza safi umemaliza kiduanzi
 
wanasema mtoto akizaliwa huwa analia,
sababu ya kulia ni baada ya kutia saini death certificate yake..hivyo anajililia matanga yake..
hii stori ipo sana najua vinci ushawahi kuskia
Nishaisikia sana hii stori mkuu, watu tuna amini vitu vya ajabu sana. Ni jambo la kisayansi wao wanaleta Hearsay. Eti mtoto analia ajili kaja dunia iliyojaa mateso😅😅
 
Niliwahi kuandika kama Mungu anatupenda na katupatia Freewill kweli basi wakati wa kutuumba angetuuliza kama kweli tunahutaji kuzaliwa. Maana huku duniani kukejaa mateso tupu halafu mwisho wa siku tunaishia kuoza udongoni.
Definitely nisingetaka kuzaliwa, Imagine unazaliwa ili at the end uje kua hivi adhini. Inasikitisha sana[emoji22][emoji22][emoji22]
View attachment 2268610
Bro.napata mashaka na uwezo wa akili yako .unawezaje kuandika vitu vigumu watu wakaelewa then ufail katika suala la kujua tumeumbwa kama mtihani.?? Unataka kusema mwalimu wako wa somo anatunga mtihani ili ukifaulu akuadhibu.????? Chukulia tu hiyo nadharia kwetu sisi waislamu dunia ni mapito tu kuna maisha ya baada ya dunia.Kila siku tunasema ila hamtuelewi mnatuona wavivu hatutaki kutafuta hela.!!!!

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Sikupingi imani yako, ila ishu ya kukadiriwa riziki ni uongo..

Pambana hamna aliyepangiwa riziki ni juhudi zako Mungu anabariki unapata zaidi, nilowahi ishi tanga hawafanyi kazi kwa bidii wanasema tu riziki inapangwa na Mungu..maeneo mengi ya pwani maendeleo duni, acha hiyo imani mkuu.

Kuandikiwa miaka ya kuishi, nayo chai tu ila muslim huwa wagumu sana kuelewa nje ya kitabu cha dini..na ni moja ya dini hamtaki kutafuta maarifa nje ya vitabu Vya dini.
We jamaa utakuwa mjinga hadi lini??????? Kwani kufanya juhudi ndio nini ?? Wangapi wanafanya juhudi na hawapati wanachotaka.?? Ukiona umepambana umepata ndicho ulichoandikiwa hicho.wangapi wanapambana hawapati.?? Concept ya riziki ni kubwa mno hUwezi kuijua kwa kusoma chemistry na civics....

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Unakuta mtu ni mlevi wa pombe kali wa kupindukia, ini linafeli , anakufa, napo utaskia ilikuwa mpango wa Mungu wakati alikuwa na nafasi ya kucontrol pengine asingekufa mapema kwa tatizo hilo kama angekunywa kiasi au kujali afya zaidi.

(Ni mfano tu jamani msinipopoe wazee wa bia tamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787])

All in All Smart topic from a Smart & Intelligent person as always, (basi hapo utapinga kuwa sio smart[emoji1787])

Umetisha sana [emoji1420][emoji1420][emoji1420]
 
Sema ingekuwa vyema sana kuulizwa kama unataka kuja duniani au vipi maana kuna watu hawajawai furahia uwepo wao nao wameletwa kuteseka tu bila wao kupenda.

Nadhani licha ya wao kuona wanateseka still kuna sababu na kusudi kuu la wao kuwepo duniani, pengine hata kuteseka kwao ni funzo kwa wengine ,
 
Mimi mtoto wangu hakulia, huenda atakuwa kamanda kama Vladimir wa Kremlin
Hakulia kabisa au kunaprocess walimpitisha mpaka akalia?
Kama hakulia kabisa jipange, japo sidhani kama hii inawezekana
 
Bro.napata mashaka na uwezo wa akili yako .unawezaje kuandika vitu vigumu watu wakaelewa then ufail katika suala la kujua tumeumbwa kama mtihani.?? Unataka kusema mwalimu wako wa somo anatunga mtihani ili ukifaulu akuadhibu.????? Chukulia tu hiyo nadharia kwetu sisi waislamu dunia ni mapito tu kuna maisha ya baada ya dunia.Kila siku tunasema ila hamtuelewi mnatuona wavivu hatutaki kutafuta hela.!!!!

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
No hatukuumbwa kama mtihani, kwamba tumeumbwa ili tuje kufanywa kama majaribio? Kwani Mungu anafurahi jinsi tunavyoteseka?
 
Back
Top Bottom