Dhana potofu ya kwamba kila mtu kaandikiwa kifo chake

Dhana potofu ya kwamba kila mtu kaandikiwa kifo chake

View attachment 2268064
Well, previous I developed a topic for y’all lads centered on God’s omniscience-ness and I discussed a bit on how death can be affected by conscience. So this topicwill be serving as a tie-in spinoff and will be focusing on death and conscience respectively.

Imekua kama jambo la kawaida kwa watu karibia wote kila inapotokea kifo Fulani watu wanasema kwamba kifo chake kilikua kishapangwa na Mungu, unaweza kumwambia bodaboda kua endeshe pikipiki vizuri unaweza pata ajali ukafariki mara nyingi hua wanajibu kua Mungu ndio atakua kashaandika kifo chake afe hivyo. Bahati mbaya hata viongozi wetu weng wa dini zote hupendelea kufundisha/kusema kwamba Fulani kifo chake kilikua kishaandikwa atakufa hivi huo ni uongo mkubwa haiwezekani mtu wewe na akili zako uamue kujinyonga na kukatisha uhai wako kisa “My wako”hajibu text au kakupiga kibuti halafu watu waseme kwamba eti kifo chako kilikua kishaandikwa utajinyongo, never.

Hii ni dhana ya kumtupia lawama Mungu kwa mambo asiyohusika ni mbaya imekua ikiwafanya watu wasiwe makini katika mambo ya kujali uhai wao kwa kisingizio kwamba Mungu kapanga, pikipiki unaendesha kama upo ESPN na kuovateki magari hovyo ufe useme Mungu kapanga utakufa kwa ajali…..lakini inawezekana hii ni mbinu ya kuCope na maumivu ya uchungu wa kuondokewa na mtu wao waliyojitengenezeawatu bila wao wenyewe kujua. Ukweli ni kwamba Mungu hapangi vifo vyetu kamwe na hajui tutakufaje.

Theory of Everything….and Space-time Continuum

Kun mambo matatu duniani mwanadamu hana ujanja wa kuyakwepa lazima ayapitie ambayo ni Njaa,kusinzia na kufa. Hata uwe nani lazima usikie njaa, lazima pia usinzie fanya ufanyavyo ni lazima mwanadamu ulale masaa nane na usipolala hayo masaa nane lazima uyalipe hata ukilala masaa 7 na dakika 55 hizo dakika tano utazilipa tu hata ukiwa unatmbea au umekaa. Kwa kila kiumbe hai ni lazima kife labda nguvu inayotoa uhai iruhusu kisife (Mungu), Mungu alipotuumba alitupa pumzi yako yenye uhai wa milele usio na kikomo (Everlasting eternity) ndio maana wewe binafsi yaani yule unayejisikia ndani mwako kamwe hautakufa bali mwili wako huu wa nyama ndio utakaokufa..kama nilivyosema kwenye mada zilizopita kwamba mwanadamu ndio kiumbe pekee mwenye sifa ya Mortal and immortality yaani ana roho isiyokufa na mwili unaokufa hivyo anaweza kuishi ulimwengu wa roho au ulimwengu wa nyama. Nini kinatokea hadi tunakufa?

Time (muda) unanafasi kubwa katika uhai wa mwanadamu japo unaweza kuuchukulia kawaida ila wenyewe ndio unafanya maisha yawe hivi yalivyo leo hii, kwanza kabisa kila kitu kina Lifespan yaani muda wa kudumu wa kitu hicho kwa wanaofata vitabu vya dini vinasema lifespan ya mwanadamu ni miaka 70 tu na ikizidi hapo basi nai neema/favor umepata. Muda ndio unafanya ulivyokua mwaka 2015 sio ulivyo leo 2022. Kiuhalisia muda ndio unafanya mwanadamu tufe na kama tukiweza kuudhibiti muda basin a kifo tutakikwepa. Mtu unapokua mtoto wa 0yr mpaka 22yrs seli zinazozalishwa mwilini mwako zinakua ni nyingi zaidi ya zile zinazokufa (?)ndio maana mtu anakua(growth) ila akifika miaka 22 mpaka 50 tu basi mwili unaacha kukua maana anakua yupo kwenye hatua ya Stagnant amabapo seli zinazozalishwa na zinazokuafa zinakua kiwango kimoja ndio maana mtu akifika miaka 22 basi hata refuka tena kinachobakia ni mwili kwenda kwenye hatua ya Development….yaani kunenepa,mifupa kukomaa zaidi,sura kua ya kiutu uzima nk. Ukifika miaka 50 seli zinazozalishwa zinakua chache kuliko zile zinazokufa hapo mtu anaanza kuzeeka na kuchokakama yupo kwenye graph basi anakua anatembelea kwenye row ya utotoni baada ya hapo mtu unakua unasubiri kufa tu nothing more.

mwili wa binaadamu umewekewa Muda fulani ukifika tu basi roho yako haina budi kuuacha mwili, sasa hapo haijalishi Roho yako itauacha mwili kwa kutumia njia ipi na katika njia hizo hakuna njia aliyokupangia Mungu utakufa kwa njia hii, Never.

Mungu hajatupangia tufe kwa aina ipi ya kifo bali matendo yetu ya kila siku ndio yanaonyesha kifo chetu kitakua vipi na kadri unavyobadiri matendo na kifo chako kinabadilika. Chukulia kwamba kifo ni GPS na matendo ni Coordinates, ukiwa hapo ulipo GPS yako inasoma upo kwenye spherical au ellipsoidal coordinates zipi na pindi utahama kidogo hapo ulipo basi GPS yako itasoma coordinates tofauti na zile za mwanzo. Na kifo ni hivyo hivyo matendo yako,shughuli zako na tabia zako zinaonyesha kifo chako kitakua cha aina gani. Kama ni dereva,mwizi,fundi,mbea,muongo, mlevi, basi shughuli na tabia zako hizo zinaonyesha utafariki kifo cha aina gani na kama ukibadirisha matendo yako basi kifo chako kinabadirika pia. So aiana ya kifo cha mtu sio constant bali iko defined na matendo na tabia zako wewe.

Free will inaplay part kubwa sana kwenye hatima ya maisha yetu hapa duniani, jinsi maisha yako unavyoweza kuamua yawe vile unavyotaka kwa tabaia na matendo yako basi ndio pia matendo na tabia zako zinaweza kuamua kifo chako kiwe cha aina ipi. Nadahani ni muda sasa wa kuongozwa na imani pamoja na maarifa katika masuala ya dini.​
Niliwahi kumchallenge mtu mmoja kuhusu ,mtu kuandikiwa siku ya kifo, nikajaribu kuuliza kwanini life expectance ya ndugu zetu wa mabara fulani ni kubwa sana kuliko sisi waafrika, au Mungu kawaoendelea sana wao kuliko sisi.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo hawana huo ujinga wwa kua Mungu katupangia kifo chetu. Huduma za afya zimeboreshwa na wapo serious kufuatilia afya zao.
 
Wanazi wa dini/mashehe hawawezi kukuelewa
 
Naquote kakipande ila ntajibia uzi mzima: Yamekuwa mambo mengi sijui ningeandika uzi, reply gani ya namna hii sasa😪

Kuhusu kifo na kila kitu huwa kuna kani zote zilizopo zinahusika;
1. Nahusika mimi mwanadamu
2. Anahusika Mungu ndiye first say and final say.
3. Anahusika shetani na malaika na mazingira na wanadamu wanaotuzunguka inahusika historia pia.

So ntasema hatupaswi kujaza majukumu kwa upande mmoja tu lazima tujue kila mmoja hapo juu anahusika na kifo chake.

Kuhusu Muda: Suala la muda naomba tulichukulie kiudeep wake. Unajua ikiwa hayatatokea mabadiliko yoyote popote katika observable universe yako binafsi basi muda hautembei! Hapa kuna mawili ili kufanikisha hili 1. Aidha wewe[your conscious] usiyashuhudie ila yatokee[ulale fofofo square] au 2. Kweli yasitokee mabadiliko yoyote.

So inawezekana Mungu akawa amepanga muda in terms of mabadiliko tena anaweza hata akawa hajatofautisha saana kivile [hana upendeleo] au muda ukawa umetofautiana kidogo kulingana na mahitaji ya mtu[mambo ya qadar hayo]
Mfano unajuaje kama nzi, mtu na kobe wamepangiwa muda-mabadiliko mmoja? I mean nzi anazaliwa anaamua kukimbiakimbia na kubadilika kwa haraka hadi anapokufa muda wake ni kamili kabisa. Kobe naye anaamua hana haraka anaenda polepole hadi kuja kumaliza kilomita alizopangiwa muda unakuwa kamili. Ukija kwa mtu naye kwa wastani wake anayetembea sana na anayetembelea gari sana mfano.
Kuhusu muda sikutaka kwenda deep zaidi coz ningeharibu mlolongo/Storyline wa post itakayofuata ambayo itakua hitimisho katika suala la Free Will and Consciousness
Factor ni nyingi na zote zahusika: Labda maini yoote yakawa na lifespan moja [muda-michakato] kila moja baada ya kuchakata tani 2 za sumu katika nafasi kubwa, au miligramu mbili katika time-space ndogo muda wake unakwisha then linabaki jukumu la mtu binafsi kuutumia muda wake!! Au kila mmoja akapangiwa kula chakula[calories] tani kadhaa, ukiwahi kuzimaliza/ukichelewa ni wewe. Yapo mengi tu labda moyo udunde mara XXXXXX so ukiishi umerelax ni wewe na ukiishi na stress niwewe unazitumia haraka. Kipimo chake ni cha haki so ukijikuta umezitumia labda kumstressia maskini/muhitaji haupati hasara hizo zilishacalculetiwa tayari.

Mungu anajua yote, na hilo halimaanishi kwamba amekupangia. La. Anatupenda ametuamini ndiyo maana tukiwa hapa duniani maamuzi yetu yanaathiri kwa kiasi kikubwa tu. Kukataa majukumu tuliyopewa ni kujaribu kuikataa neema tuliyopewa. Kitu kizuri ni kulikubali jukumu na kulitekeleza kwa mapenzi [Will] yake Mwenyezi Mungu. Ndugu zangu sisi tu wadogo sana[finite] na hata tukikubali tuna majukumu haipunguzi ukuu[infinity] wa Mungu hata kidogo. Nakumbuka sekondari tulikuwa tukijumlisha uzito wa kitu na uzito wa jua au dunia tunapata tu ni sawasawa na uzito wa kile kikubwa [hata kama na hicho kidogo kina uzito pia]
So kwa paragraph hii unakubaliana nami kua aina ya kifo chetu hua ni matokeo ya matendo na chaguzi za maisha yetu??
 
“It is natural to die as to be born” – Francis Bacon

Naamini kuzaliwa kwa mtu ni mchakato na kufa kwa mtu ni mchakato pia.
Ndio maana kuzaliwa kwa mwanadamu kutainvolve Reproduction process na kufa kwake pia kuta ambatana na action zifuatazo kama Kupungua kwa mapigo ya moyo pamoja na blood circulation, Ubongo pamoja na Organs za mwili kureceive less oxygen than they need na kufanya kupungua kwa utendaji wa organs za mwili.

Kwa wale Catholic Believers nafikiri wataelewa Kuna kitu kinaitwa Fumbo la Imani 🙏 (''kristu alikufa ➕ kristu alifufuka ➕ kristu atakuja tena) = Fumbo
Hata kifo ni fumbo la wanadamu wote. Hakuna anayejua mwisho wake japo karma/action/matendo yatadetermine mwisho/hatma ya maisha ya mwanadamu hapa duniani.

But Nobody Knows, how and when shall he/she die?
Nafikiri kifo ni fumbo kubwa kwenye maisha ya mwanadamu ambapo Mwenyezi Mungu ''The Ultimate Intelligence" ametufumba hapo.

Finally, I appreciate and thank you for a nice thread Mate🙏.​
 
Moja ya sababu ni sisi, maamuzi yetu na matendo ukiyajumuisha kwenye 'equation nzima' ya mambo yanayohusika.

We [all of us] make things happen
Baada ya Yuda Iskarioti kumsaliti Yesu alikwenda kujinyonga. Je Mungu ndio alipanga kufo chake kiwe hivyo??
 
“It is natural to die as to be born” – Francis Bacon

Naamini kuzaliwa kwa mtu ni mchakato na kufa kwa mtu ni mchakato pia.
Ndio maana kuzaliwa kwa mwanadamu kutainvolve Reproduction process na kufa kwake pia kutambatana na action zifuatazo kama Kupungua kwa mapigo ya moyo pamoja na blood circulation, Ubongo pamoja na Organs za mwili kureceive less oxygen than they need na kufanya kupungua kwa utendaji wa organs za mwili.

Kwa wale Catholic Believers nafikiri wataelewa Kuna kitu kinaitwa Fumbo la Imani 🙏 (''kristu alikufa ➕ kristu alifufuka ➕ kristu atakuja tena) = Fumbo
Hata kifo ni fumbo la wanadamu wote.​
Splendid Explanation pal.
Hakuna anayejua mwisho wake japo karma/action/matendo yatadetermine mwisho/hatma ya maisha ya mwanadamu hapa duniani.

But Nobody Knows, how and when shall he/she die?
Nafikiri kifo ni fumbo kubwa kwenye maisha ya mwanadamu ambapo Mwenyezi Mungu ''The Ultimate Intelligence" ametufumba hapo.​
Mkuu ipo wazi kila mtu anajua muda wake wa kufa. Yesu kasema hakuna ajue siku wala saa so muda wote kaa kwa kujiandaa. Sekunde au dakika moja ujayo unaweza kua marehemu. Huo ndio ukweli, kifo chako ni muda mfupi ujao. So technically kila mtu anajua muda wake wa kufa
Na matendo na mwenendo wa maisha yako ndio unaeleza utakufaje

Finally, I appreciate and thank you for a nice thread Mate🙏.​
Thanks for appreciation brother ✌️
 
Hakuna haja ya mimi kuumbwa na kuzaliwa kama nitawaacha wazazi na ndugu ni wapendao na sitawaona teeeeeena
Bado kuBlend In duniani ni kugumu
😢😢 😢
 
What do you mean, please elaborate
Unawezaje kusema roho haifi? Kama roho haifi basi hakuna kifo. Mwili bila roho(nguvu ya utendaji) hakuna kiumbe. Nguvu ya utendaji ikizima ndio mwisho wa utendaji wa mwili
 
wanasema mtoto akizaliwa huwa analia,
sababu ya kulia ni baada ya kutia saini death certificate yake..hivyo anajililia matanga yake..
hii stori ipo sana najua vinci ushawahi kuskia
Mtoto hulia kutokana na maumivu anayopata kwenye mapafu baada ya kuvuta hewa ya dunia kwa mara ya kwanza. Icho unachokieleza hakina hata chembe ya ukweli
 
Sikupingi imani yako, ila ishu ya kukadiriwa riziki ni uongo..

Pambana hamna aliyepangiwa riziki ni juhudi zako Mungu anabariki unapata zaidi, nilowahi ishi tanga hawafanyi kazi kwa bidii wanasema tu riziki inapangwa na Mungu..maeneo mengi ya pwani maendeleo duni, acha hiyo imani mkuu.

Kuandikiwa miaka ya kuishi, nayo chai tu ila muslim huwa wagumu sana kuelewa nje ya kitabu cha dini..na ni moja ya dini hamtaki kutafuta maarifa nje ya vitabu Vya dini.
kaka kufanikiwa sio juhudi. kama ingekua juhudi watafutaji wengi wangepata. ila ridhiki inatoka kwa Allah na yeye humpa amtakae. na kukosa sio ujinga ndio maana mafundisho yamekuja watu wasaidiane katika hali ngumu manake sio wote hupewa
 
Well, karibia kils unachokiona hapa duniani kilikua ni kitu cha kufikirika
Nadharia baadhi tu ndio zimeubadirisha huu ulimwengu wetu na kuufanya uendelee. Unaweza kuona nadharia kama vile Newton’s laws of motion zilivyochangia maandeleo ya dunia yetu karibia asilimmia 50 ya maendeleo ya ulimwengu yanaweza kuwa yameletwa na hizo sentesi (laws) tatu za mwanasayansi Issac Neawton kiteknolojia, kiuchumi, pia katika mafunzo ya kiroho hizo laws tatu zinafanya kazi. Au unaweza kuona formula ya E= mc2 ya mwanasayansi Albert Einstein ilivyopelekea mauaji ya mamilioni ya watu huko Hiroshima na Nagasaki Japan, aidha mwanasayansi toka ugiriki Archimedes nadharia yake kuhusu kuzama na kuelea kwa kitu ilivyoleta maendeleo makubwa kwenye usafiri wa maji nk. Hivyo unaweza kuona kua hua ni mambo ya kufikirika au maneno ya mtu ndio yameleta makubwa hapa duniani baada ya kuchambuliwa na kufanyiwa kazi.

Simple.... Then pinga kwa hoja.
Tueleze hapa je Kifo cha mwanadamu kimepangiliwa kabla ya kuumbwa kwake??

Hayo ni mikwala na matisho ya kutisha watito na watu wasiojielewa. Like eti malaika anakufuata kaburini mara sijui roho inavutwa kutokea miguuni. Hearsay and Fallacies

Btw, The Lion doesn't concern himself with opinions of the sheep. So endelea kuchukulia mada zangu vile unavyozichukulia siku zote[emoji124]
kaka usifinyanya msomi kumbe mjinga. kwani unataka ushahidi gani ili utambue uwepo wa mungu???? je huoni mbingu zipo bila ya nguzo???! au unazani nani amezijenga???? je ni nani alieumba bahari???? kisha je wewe umeumbwa na nani??? achana na theory za watu ila tambua kabla yako alikuwepo firauni ambae mpaka leo hajaoza anasubir siku ya hukumu na hizi sio hadithi za vijiweni kaka isipokua ni maandiko. usikubali baadhi na ukakataa baadhi ila tambua wewe ni mja na kifo ndio zawadi ya uhakika unayoisubir
 
Makala yako umeandika vizuri sana ila kuna vitu bado hujajifunza au kuvielewa. Mungu akuchome ili nini? Ningependa kujadili na wewe neno la Mungu kama una muda 0625547181
Mzee si unajua mambo ya anonymity hapa jf. Wewe ni shahid wa jehovah??
 
Back
Top Bottom