Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,841
- 5,218
Ukizaa lazima uwajibike, be responsible for your choice, walipokuwa wanakula bata walikula wao na sasa maumivu wamekula wao, Sisi hayatuhusu tunaendelea kuvumilia tulee watoto wetu kwa furahaNDUGU WATANZANIA HASA WANAUME NAOMBA TUBADILIKE.
HATA KAMA TUMEUMBIWA MATESO.KUNA VITU KAMA HESHIMA NA UTI USIPOKUWEPO AU KUUPATA KUTOKA KWA MWANAMKE HALI YA HEWA HUMO NDANI ITAKUWA YA MVUA ZA EL NINO.KUEPUSHA SHARI KAMILI PIGA CHINI MAPEMA.USIPUUZIE RED FLAGS🚩🚩🚩
HUNA UWEZO WALA KIPAWA CHA KUMBADILI MTU MZIMA MWENYE MENO 32 PLUS ALIYELELEWA TOFAUTI NA WEWE.USIJIPE MOYO NA UMUHIMU KWENYE MAISHA YA WATU.IMESHINDIKANA KUBALI YAISHE.
WATOTO WATAKUWEPO NA WATAENDELEA KUEPO.HATA MKIBAKI NA MIGOGORO YENU BADO MTAENDELEA KUWATHIRI WATOTO.
UKIWA MMESHINDWA KUENDELEA NA NDOA NI BORA MUACHANE.HUU UJINGA WA KUENDELEA KUVUMILIA YASIYOVUMILIKA NDIO HUSABABISHA UKOO NA FAMILIA ZENU ZIKAPATA UMAARUFU BAADA YA MMOJA WENU KUSHINDWA KUHIMILI MAUMIVU.
JAMII YA KIAFRIKA NA HASA TANZANIA.TUACHE DHANA POTOFU.HURUMA ZAKO KWA WATOTO NI MAUMIVU BADALA YA MSAADA!!!
IFIKE MAHALI TUAMBIZANE UKWELI,NYEUPE IBAKI NYEUPE NA NYEUSI IWE NYEUSI.
#AFYA YA AKILI NI MUHIMU KWA KILA MTU.
Nawaonea huruma hawa ndugu zetu katika jinsia.Ndoa ni uvulimivu tofauti na hapo umeshakubali KATAA NDOA TU, naunga mkono hoja.
Oya ustadhi jon sins😄😄😄 umenena ukweli ila dah why Jon sins??!!Hayo mambo ya makafiri sisi kobaz mapema sana unarud kwa wazaz
Angalia asilimia 100 ya kesi zote za kuuana za ndoa Tanzania zinahusu wakristo
Humu ndani jf nina vita kubwa na kikundi fulani cha mashoga, hizo majina yangu yanawalenga wao muda woteOya ustadhi jon sins😄😄😄 umenena ukweli ila dah why Jon sins??!!
Kobaz kwenye hilo mko vizuri,.mtu anaweza kuolewa hata mara tatu kwa mwaka, SIWAHayo mambo ya makafiri sisi kobaz mapema sana unarud kwa wazaz
Angalia asilimia 100 ya kesi zote za kuuana za ndoa Tanzania zinahusu wakristo
Comrade wapelekeee🔥🔥🔥🔥Humu ndani jf nina vita kubwa na kikundi fulani cha mashoga, hizo majina yangu yanawalenga wao muda wote
Kikubwa watu hawauani, mkichokona kila mtu anatafuta chaka jipyaKobaz kwenye hilo mko vizuri,.mtu anaweza kuolewa hata mara tatu kwa mwaka, SIWA
Na nasikia mirathi ya kiislamu unakula percent hakuna Kuchivayochivayo,( umangamanga).watu wanatembea na 1/8,1/4,1/2.Kikubwa watu hawauani, mkichokona kila mtu anatafuta chaka jipya