Hatuongezi mishahara kwa sababu hatujawaongezea kazi; badala yake tunampango wa kushusha bei za bidhaa kwa kuongeza uzalishaji wa bidhaa na huduma wenye tija kupitia mipango mkakati kama Rufiji na SGR.
Sheria na taratibu za ajira ndio lengo la huu mjadala, kwamba taratibu za kikatiba na kimkataba juu ya ajira ziboreshwe kwa siku za usoni.Sioni na sitaweza ona. Hoja hujengwa kwa nia njema. Hoja yako imejikita katika nia ovu yenye lengo la kuona wengine wanaishi kwa mateso na wengine wakiendelea kufurahia keki ya taifa. Hiyo hoja yako ni valid kwa utawala ulioazimia watu kuishi kama mashetani. Unazijua taratibu na sheria za ajira ????
Badala ya kuwaongezea mishahara watu ambao hawajaongezewa kazi, ni kwanini tusishushe bei za bidhaa kwa kuongeza tija katika uzalishaji kwa kushusha bei za umeme kwa mfano (Rufiji) ili bei zitakaposhuka mshahara ule ule utoshe na waTz wote kwa ujumla wanufaike? Yule ambae amejiajiri anamdai nani ili nayeye aongezewe mshahara?
Francis, nataka nijibu hoja zako kama hapo juu.Badala ya kuwaongezea mishahara watu ambao hawajaongezewa kazi, ni kwanini tusishushe bei za bidhaa kwa kuongeza tija katika uzalishaji kwa kushusha bei za umeme kwa mfano (Rufiji) ili bei zitakaposhuka mshahara ule ule utoshe na waTz wote kwa ujumla wanufaike? Yule ambae amejiajiri anamdai nani ili nayeye aongezewe mshahara?
Kuna aliesema cost ni umeme tu? Umeme unatolewa kama mfano wa moja ya viunganishi muhimu katika gharama za uzalishaji, unajua maana ya neno ‘Mfano’? Pia usafirishaji unatajwa kama mfano mwingine wa kiunganishi muhimu katika gharama za uzalishaji, sio kwamba ni hizo tu, ila kuna factors nyingi, kubwa zaidi zikiwa hizo , nishati (Rufiji) na usafirishaji(SGR).Ni bahati mbaya sana kuna watu wanashikwa akili na wana siasa kwa kudhani operating cost basi ni umeme tu maana hata nyanya huwa zinapanda bei sasa sijui zinazalishwa na umeme? Inflation ni mchanganyiko wa vitu vingi sana bidhaa zote zinaweza kuwa bei ilele lakini ikatokea uhaba wa nyumba kodi zikapanda na ikaleta inflation kubwa kabisa dawa ni kujenga nyumba zaidi. nyongeza za mishahara ni haki ya mfanyakazi based on inflation central Bank wanatoa inflation ya mwaka ule na kuonesha inflation imetokana na nini. nchi bila kuwa na inflation hiyo imesimama uchumi haukui na watu hawana pesa.
Kwanini usijibu hoja kwa hoja?Bado hamjamaliza kununua ndege
Bado mnakarabati nyumba za wakuu wa miko kwa mil 170
Hivi unajua ukishaishiwa hoja kinachofata ni kipi?
Hizo taratibu za kikatiba na kimkataba juu ya upandishaji mishahara sote tunazifahamu, na lengo la mjadala ni kuona namna gani hizo taratibu za kikatiba na kimkataba zinaweza kuboreshwa.Francis, nataka nijibu hoja zako kama hapo juu.
1-Wafanyakazi, kuna nyongeza kama promotion uki badilishiwa majukumu hii huna shida nayo lakini kuna nyongeza ya madaraja mfano mwalimu wa mwaka wa kwanza hawezi kupokea sawa na mwalimu wa miaka 10 wakiwa na same qualifications, akianza kazi anaanza na Minimum mshahara katika grade ile ila kila akipata ujuzi anapanda level ili afike Max katika daraja lilelile ikitokea kapanda kuwa mwalimu mkuu hapo promotion anaanza katika grade mpya Min ataanza kupanda slowly kufika Max hii ni haki ya mfanyakazi kisheria.
2- Kuna hii kuongezwa mshahara kwa ujumla wafanyakazi wote kila mwaka hii inategemea na inflation na C.Bank wao wanatoa data hapo serikali ikiona kweli inflation ni kubwa inatoa kufidia na uwezo wa serikali, lakini ukiona inflation kubwa lakini serikali hawana pesa basi uchumi mbaya na kama wakitoa basi ni lazima wa manage inflation kuwa positive. Inflation inaongeza ukuwaji wa kiuchumi ni dalili watu wanaweza kufanya manunuzi wengi, tatizo kubwa ikiwa inflation ni over supply ya pesa kwa maana labda kuna pesa chafu watu wanapiga deal wanaiba pesa nyingi hawa wataleta inflation mbaya maana wataanza kununua vitu sio bei yake na kuwaumiza wengine kama ilivyokuwa miaka fulani Dar. nchi ikiwa haina inflation kabisa hiyo ni dalili ya uchumi kusinyaa na umaskini, inflation nzuri lakini kuwa managed.
3- Umeme watapunguza tu ili tufikie ushindani na nchi zingine sababu umeme wetu ni ghali ila kusema kuwa tuajiri tu wengine je una uhakika miaka 10 ijayo uchumi utakuwa endelevu na kuwalipa hawa wafanyakazi. chukuwa mfano una mfanyakazi nyumbani kwako unamlipa laki moja, kesho anakuja anakwambia naomba nyongeza maisha magumu utamwambia badala ya kukupa bora niongeze mfanyakazi mwingine nitakupunguzia kazi za kufanya, hapana utampa alfu 20 bora kuleta mwingine.
Mishahara iongezwe kwa wafanyakazi bei kushuka haiwezi sababu watu wengi wako private sector au kujiajiri uchumi ukiwa unakuwa mahitaji yataongezeka tu maana sijui idadi ya wafanyakazi wa serikali lakini nadhani number ndogo tu watu wa nje ya mfumo wa serikali wakiwa na kipato kizuri mahitaji yataongezeka. Sukari imepanda, mafuta ya kula yamepanda nini sababu? umeme? hapana sababu ni nyngi ndio maana huwezi kuwa na wafanyakazi miaka 5 hakuna ziada na hata madaraja juzi ndio wamenza kupewa haki zao. ongeza mshahara boost spending za watu ila gharama hazipunguzwi sababu ya SGR au umeme wa Rufiji maana hata miaka ya nyuma umeme ulikuwa Mtera lakini mbona huo umeme haukuwa rahisi.Kuna aliesema cost ni umeme tu? Umeme unatolewa kama mfano wa moja ya viunganishi muhimu katika gharama za uzalishaji, unajua maana ya neno ‘Mfano’? Pia usafirishaji unatajwa kama mfano mwingine wa kiunganishi muhimu katika gharama za uzalishaji, sio kwamba ni hizo tu, ila kuna factors nyingi, kubwa zaidi zikiwa hizo , nishati (Rufiji) na usafirishaji(SGR).
Hakuna asiyefahamu kwamba nyongeza ipo kikatiba na kimkataba, ila lengo la mjadala ni kujaribu kuleta maboresho ya kikatiba na kimkataba juu ya ajira katika siku za usoni.
Sasa turudi kwenye mada; Je, tuongezee mshahara watu ambao hawajaongezewa kazi? Si sahihi zaidi badala yake kudai bei za bidhaa na huduma zishuke ili kipato kidogo alichonacho mtu (WaTz wote) kiwatoshe?
Kuongezwa kazi haikufanyi pia kupata nyongeza kuna criteria wanatumia kufanya review ya Job description halafu wanapanga grade.Hizo taratibu za kikatiba na kimkataba juu ya upandishaji mishahara sote tunazifahamu, na lengo la mjadala ni kuona namna gani hizo taratibu za kikatiba na kimkataba zinaweza kuboreshwa.
- Mwalimu aliyekaa miaka 10 shuleni, kila mwaka anaongezewa kazi?
- Unataka tuongezee nyongeza ya ujumla ya mshahara watu ambao hawajaongezewa kazi?
- Si sahihi zaidi tukadai gharama za bidhaa na huduma zishuke bei ili kipato kidogo hicho hicho kitoshe na waTz wote wanufaike?
Mawazo mfu kabisa! We ukiambiwa Wafanyakazi unaelewa wale tu wanaoingia ofisini, sio? Unajua nyuma ya kila mfanyakazi mmoja kuna wategemezi wangapi? Fanya hesabu yako upya!!Matatizo yaliyopo nchini ni makubwa kuliko wstumishi kuongezewa mshahara. Watumishi hawafii hata 1% ya watanzania wote. Ukiweka wategemezi wao hata useme kila mmoja ni 20 bado haifiki hata robo ya watanzania.
Hivyo hili kundi kubwa watanzania wanalotegemea na ambalo Lina 75% ya watanzania wote ndio la kufikiriwa sana
Kwa hii miaka mi5 iliyopita shilling yetu imekua stable sana...i hope hali itaendelea kua hivi kwa miaka mi5 ijayo...
Mshahara 2015 tshs 230,000 bei za bidhaa mf sukari shs1400. mshahara 2021 tshs 230,000.sukari 2800.huo ni mfano mmoja kati ya mingi iliyopo. Huyo mtumishi unamwambia asiongezewe mshahara uendane angalau na uhalisia wa maisha. Atamuduje maisha aweze kutimiza wajibu wake?Sheria na taratibu za ajira ndio lengo la huu mjadala, kwamba taratibu za kikatiba na kimkataba juu ya ajira ziboreshwe kwa siku za usoni.
Kutaka watu waongezewe mshahara pale tu wanapokuwa wameongezewa kazi ni nia ovu?
Kutaka watu wadai kushuka kwa bei za bidhaa badala ya kudai nyongeza ya mshahara ni nia ovu?
Huyo mtu ni much know tu! Hakuna anacho kielewa! Yeye amekaza shingo tu eti wafanyakazi waongezewe kazi! Sijui ni kazi gani hiyo anayo taka waongezewe!Mshahara 2015 tshs 230,000 bei za bidhaa mf sukari shs1400. mshahara 2021 tshs 230,000.sukari 2800.huo ni mfano mmoja kati ya mingi iliyopo. Huyo mtumishi unamwambia asiongezewe mshahara uendane angalau na uhalisia wa maisha. Atamuduje maisha aweze kutimiza wajibu wake?
Tupambane bei ya sukari ishuke, miwa ipo, mahitaji yapo, hatushindwi, na si bidhaa zote zimepanda kwa kasi hiyo, sukari na mafuta ya kula ni special case; ila kikubwa ninachosema, tudai tija katika uzalishaji ili bei zishukeMshahara 2015 tshs 230,000 bei za bidhaa mf sukari shs1400. mshahara 2021 tshs 230,000.sukari 2800.huo ni mfano mmoja kati ya mingi iliyopo. Huyo mtumishi unamwambia asiongezewe mshahara uendane angalau na uhalisia wa maisha. Atamuduje maisha aweze kutimiza wajibu wake?
Hasa kichaa yule wa chato ambaye amenyakuliwa mawinguni, wakati yeye alikua anahonga hadi ukuu wa wilaya na ukurugenzi ili wapate maslahi lakini kwa wengine alikua anaona kuwaongezea mshahara ni anasa rot in hell