Dhana ya kwamba mshahara ukiongezwa na inflation itatokea ni dhana inayopaswa kufikiriwa na kichaa tu

Tupambane bei ya sukari ishuke, miwa ipo, mahitaji yapo, hatushindwi, na si bidhaa zote zimepanda kwa kasi hiyo, sukari na mafuta ya kula ni special case; ila kikubwa ninachosema, tudai tija katika uzalishaji ili bei zishuke
Kama kawaida yako. Unaendelea tu kujionesha namna ulivyo mweupe kichwani! Unataka kupambana na nani na dhidi ya nani sasa ili hiyo bei ya sukari kushuka?

Mfanyakazi jukumu lake ni kufanya kazi na kulipwa mshahara utakao mtosheleza mahitaji yake! Na kama haumtoshi, ni wajibu wake kupaza sauti kwa mwajiri, ili amuongezee!

Sasa wewe unaleta porojo! Vitu vingine kama huvielewi, ni bora ukavipotezea ili usionekane mjinga.
 
Mtu anakwambia tuwe Wazalendo kwa nchi, huyo anayekwambia na anayejifanya mzalendo analipwa
1. Mshahara milioni 5
2. Simu, hela ya vocha 200,000
3.Maji analipwa 300,000
4.Umeme analipwa 230,000
5. Gari 2 VX na madereva
6.Mafuta ya magari bure na magari yake binafsi
7. Safari kila mwezi zaidi ya siku 20 yuko nje ya kituo cha kazi analipwa Pdm
8. Ana posho ya viburudisho zaidi ya 3m kwa mwezi
9. Ana posho ya fenicha 20m
10. Akienda kuzindua kikao ana bahasha isiyopungua 500k
11. Nyumbani kwake usafi anafanyiwa nk
Halafu mtumishi anayemsaidia analipwa 390,000 na sasa miaka 5 hapandishwi cheo anaambiwa awe mzalendo na akipandishwa yeye eti kutatokea mfumuko wa bei, only a fool can believe that
 
Kuna mtu yuko wodini kazi yake ni kuosha vidonda tu, mwaka mzima yuko na wagonjwa wa majeraha...mtu huyu anapaswa kupanda kwa mujibu wa sheria baadaye awe mwandamizi ,unamgandisha hapo hapo nani atakuja kuwaongoza wengine
 
Balaa na nusu
 
Wakuu naomba kuuliza, hivi kuna mtu ashawahi ku sign mkataba wa kazi wenye kipengele cha annual salary increment?
 
Wakuu naomba kuuliza, hivi kuna mtu ashawahi ku sign mkataba wa kazi wenye kipengele cha annual salary increment?
Ngoja nitakuwekea barua yangu ya ajira uone.
Pale walipoandika mshahara wako utaanza sh......hadi ..... unadhani maana yake nini?
 
Utopolo mtupu.
 
Bora katolewa roho.
I hate jiwe
 
Mpaka chupi wananunuliwa kwa kodi zetu lakini hawataki waliochini wapate kidogo cha kuweza kujikimu. Ni ulafi na roho mbaya inawasumbua !!!
Hili chama la kijani limejaa laana.
Imagine wabunge wanachukua 240m. soon baada tu ya bunge kuvunjwa ila mtumishi itambidi million 100 yake aichukue kidogokidogo mpaka kifo chake.
 
Na mtu aliyejiajiri amdai nani ili ampandishie mshahara? Labda tuanzie hapo ili nikuonyeshe ninacho maanisha
 
Kuna mtu yuko wodini kazi yake ni kuosha vidonda tu, mwaka mzima yuko na wagonjwa wa majeraha...mtu huyu anapaswa kupanda kwa mujibu wa sheria baadaye awe mwandamizi ,unamgandisha hapo hapo nani atakuja kuwaongoza wengine
Tunaongelea kupandishiwa mishahara, hilo la kupandishwa vyeo ni suala lingine.
 
Na mtu aliyejiajiri amdai nani ili ampandishie mshahara? Labda tuanzie hapo ili nikuonyeshe ninacho maanisha
Wakati mwingine uwe unajiongeza mheshimiwa! Wafanyakazi wakiongezewa mishahara na kupandishwa vyeo kwa wakati, wanachangia pakubwa kuongeza mzunguko wa fedha mtaani!

Hivyo wafanyabiashara na wakulima mtafaidika kwa kuuza bidhaa zenu kwa wingi na hivyo kujiongezea vipato vyenu. Na ikitokea wafanyakazi wakadhulumiwa stahiki zao kama alivyofanya magufuli, ndipo kunatokea low purchasing power kwa bidhaa za nyinyi wajasiriamali na pia wakulima.

Haya makundi matatu siku zote hutegemeana. Ukimuombea njaa mfanyakazi, basi jiandae na wewe kufa njaa kwenye hiyo biashara yako. Maana sisi ndiyo wanunuzi wakubwa wa bidhaa zenu (wafanyabiashara na wakulima)
 
Wakati wa Corona mwaka jana bei ya pipa la mafuta ilikuwa dola 38. Je huku kwetu kuna nauli ya daladala ilishuka?
Usitegemee umeme wa Rufiji utashusha bei ya bidhaa yeyote sana sana utapunguza bei ya unit tu.
 
We jamaa unajifanyaga una akili lakini zero tu.

Mtumishi wa serikali kila siku ya Mungu anaongezew kazi hata kama serikali haitangazi.

Watumishi wanahudumia wananchi kila siku idadi ya wananchi wanaongezeka subiri sensa ya mwakani uone tupo wangapi hafu ulinganishe Na idadi ya 2012 .

Kwa mtumishi ongezeko LA watu = ongezeko LA kazi
Inaapply kwa kada zote !!daktari wa serikalini,planners,maafisa utumishi,watendaji,maafisa ardhi,wapima ardhi,walimu,wahandisi,mahakimu,polisi, ma IT experts nk
 
Waache utani na Mambo ya maana.
 
Unafikiria kwa kutumia makalio?
 
Kazi ya mshahara ni kijikimu kwa mahitaji muhimu, mahitaji hayo muhimu yakipanda Ni lazima mishahara ipande.
Sukari,gesi,cement,mafuta ya kupikia havijapanda Bei?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…