Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kama kawaida yako. Unaendelea tu kujionesha namna ulivyo mweupe kichwani! Unataka kupambana na nani na dhidi ya nani sasa ili hiyo bei ya sukari kushuka?Tupambane bei ya sukari ishuke, miwa ipo, mahitaji yapo, hatushindwi, na si bidhaa zote zimepanda kwa kasi hiyo, sukari na mafuta ya kula ni special case; ila kikubwa ninachosema, tudai tija katika uzalishaji ili bei zishuke
Mfanyakazi jukumu lake ni kufanya kazi na kulipwa mshahara utakao mtosheleza mahitaji yake! Na kama haumtoshi, ni wajibu wake kupaza sauti kwa mwajiri, ili amuongezee!
Sasa wewe unaleta porojo! Vitu vingine kama huvielewi, ni bora ukavipotezea ili usionekane mjinga.