Dhana ya simba kuwa na kikosi kipana sio halisia.

Hivi unaelewa nini kusema kikosi kipana, mi ninavyoelewa ni kwamba tunaposema kikosi kipana manake kagere akiumia Boko anacheza, Husein akiumia Kwasi anacheza, ameumia kapombe Gyne anacheza.
Wasio jua nini mana ya kikosi kipana wanafikiri tunasema simba ina vikosi viwili, hapana. Msilete tafsiri ya vikosi viwili na kikosi kipana.
Mwenye kuelewa atanielewa lakini Wenye kubadili mada hawawezi kuelewa.
Mfano hata man city ana kikosi kipana lakini hana vikosi viwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa hawawezi kuelewa wao wanafikri kua na kikosi kipana unamanisha una vikosi viwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maana iyo simba nikama timu zingine, wakikosekana baadhi ya nyota hali inakua tete.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana. Kikosi kipana ni kuwa na wachezaji wengi wanaocheza namba moja wenye viwango vinavyofanana.
 
Kwa hiyo Manara aliposema kikosi chenu kipana kinaweza cheza mechi mbili tofauti kwa siku moja ulifanya juhudi gani kumuelewesha kwamba haiko hivyo?!
 
Sasa si wanadanganyika kirahisi mkuu
 
Kwa ufafanuzi huu usipoelewa tuu Bora ujinyonge ufee huna akili

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna timu inayosajiri bila kuzingatia hilo la kuumia na shida nyingine? Kwanini Simba pekee ndo wanasema wana kikosi kipana kuliko timu nyingine?
Mbona timu zote zinafanya hivyo kaka? Kila timu inapanga first 11 na substitutions (reserves) mbona hazisemi zina vikosi vipana? Hata Simba inafahamika kama Okwi hayupo matokeo ni vigumu kupatikana. Simba ingebeba kombe la Mapinduzi dhidi ya Azam kama Wawa, Mkude, Shabalala, Kagere, Bocco, Chama na Manula wangecheza mechi ile, lakini kukosekana kwao kwenye mechi ile Simba ilifungwa, sasa upana wa kikosi ni upi hapo? Kila timu lazima iwe na kikosi kipana ili kuweza kufanya substitute inapobidi, mbona simba dhana hii ya upana wa kikosi inasemwa sana huku wakishika nafasi ya tatu kwenye ligi, wamefurushwa FA cup, na sasa wamelikosa kombe la Mapinduzi. Nadhani Simba wanaweweseka na fedha za mo wanajisemea tu lolote kuhusu Simba kwasasa, au ni ile kiu ya kushika mkia kwa miaka 4 mfululizo ndo maana wanahamanika hivi. Pesa za mo zimewafungia lockup wachezaji wazuri kama Niyonzima, Salamba, Mo Ibra, Kwasi, Muzamiru, n.k wasicheze mpira wakisugua mabenchi katika kila mechi. Yaani wanacheza kwa kubeep wakiwa na hela za mo mifukoni mwao. KUMBE wangecheza na kukuza vipaji vyao kama wangebaki tu Lipuli, Mbao, Njombe mji, Yanga, Mwadui, Ndanda, n.k. Ujinga mzigo.

Hebu ona Kakolanya alivyopata umaarufu hadi kuwa jeuri alipobaki kwenye timu iliyompa mechi nyingi za kucheza.
 
Mikia FC ni mbwembwe tu.....
 
Tafsiri ya kikosi kipana iko wazi, na Simba wana kikosi kipana kwa kiwango cha Tanzania.

Matokeo ya kufungwa mechi moja ya fainali hayawezi kuondoa dhana hii
 
Tafsiri ya kikosi kipana iko wazi, na Simba wana kikosi kipana kwa kiwango cha Tanzania.

Matokeo ya kufungwa mechi moja ya fainali hayawezi kuondoa dhana hii
Hayo ni mahaba Tu. Kikosi kipana unavyohema ww kinaisaidiaje Simba?
 
Mkuu ww unaongelea kikosi mwenzako kasema kikoki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni mahaba Tu. Kikosi kipana unavyohema ww kinaisaidiaje Simba?

Kikosi kipana kinavyoisaidia timu ni topic nyingine kabisa.
Ukiianzisha tutachangia pia. Kwa sasa jibu ni ndio au hapana. Hata wewe unajua
 
Kikosi kipana kinavyoisaidia timu ni topic nyingine kabisa.
Ukiianzisha tutachangia pia. Kwa sasa jibu ni ndio au hapana. Hata wewe unajua
kila timu ina kikosi kipana sio simba tu, Kila mechi inahitaji kwa wakati mmoja wachezaji 11 tu uwanjani, lakini kila timu imesajiri zaidi ya wachezaji 25+ wenye sifa za kucheza (replace) kama wale 11 wanaocheza 1 au 2 au 3 au kadiri watakavyokubakiana ataumia, kuchoka au kucheza ndivyosivyo kwa mujibu wa kocha wa timu, kocha hawezi kumbadilisha mchezaji aliyeumia, choka au kucheza vibaya kama hana mchezaji mwingine wa akiba nje ya uwanja. Kusema Simba peke yake ndiyo yenye kikosi kipana kuliko Lipuli, Ndanda au Mwadui ni upuuuuzi na ulimbukeni wa mashabiki wa Simba mwaka huu baada ya kumpata Mo Dewj
 
BASI HATA BARCA HAWASHINDI BILA MESSI!
 
KWANI MO DEWJI ALIENDA WAPI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…