Dhana ya simba kuwa na kikosi kipana sio halisia.

Dhana ya simba kuwa na kikosi kipana sio halisia.

Kwa nini ionekane kwenye mechi ya AS Vita v Simba pekee na sio kwenye mechi na Simba v JS Soura ambapo pia Kapombe, Nyoni, hawakuhusika na pia Bocco hakumaliza mechi?
Unahofu nini, sifa mojawapo ya kikosi kipana ni consistence katika kupata matoken come rain come sun
 
ASV. 5 - 0 SSC dhana ya kikosi kipana ife ibaki kikosi chenye afadhali au kikosi ghali Tanzania.. pengo la Kapombe, Nyoni na Bocco imeonekana wazi kabisa
 
ASV. 5 - 0 SSC dhana ya kikosi kipana ife ibaki kikosi chenye afadhali au kikosi ghali Tanzania.. pengo la Kapombe, Nyoni na Bocco imeonekana wazi kabisa
Bocco gani, huyu mlomnangaga kuwa hafai anakosa magoli hovyo? Vi7bu dhaif sana
 
Simba ingepaki basi isingefungwa goli zote zile. Walijidanganya kuwa na kikosi kipana cha akina Chama, kagere (babu) wakashambulia ugenini wakakiona cha moto
 
ASV. 5 - 0 SSC dhana ya kikosi kipana ife ibaki kikosi chenye afadhali au kikosi ghali Tanzania.. pengo la Kapombe, Nyoni na Bocco imeonekana wazi kabisa

Dhana haiwezi kufa kwa hoja dhaifu kama hii. Bado Simba ina kikosi kipana kwa kiwango cha Tanzania kuliko timu yoyote hapa Bongo. Matokeo dhidi ya ASV yasiwe kichaka cha kujifichia, Yale ni matokeo ya kimpira, na kimbinu ambapo ASV imeonyesha ubora dhidi ya Simba.

Simba ilionyesha ukosefu wa umakini, approach mbaya na kwa ujumla ilikuwa siku mbaya kabisa kwa mnyama.
 
Back
Top Bottom