kila timu ina kikosi kipana sio simba tu, Kila mechi inahitaji kwa wakati mmoja wachezaji 11 tu uwanjani, lakini kila timu imesajiri zaidi ya wachezaji 25+ wenye sifa za kucheza (replace) kama wale 11 wanaocheza 1 au 2 au 3 au kadiri watakavyokubakiana ataumia, kuchoka au kucheza ndivyosivyo kwa mujibu wa kocha wa timu, kocha hawezi kumbadilisha mchezaji aliyeumia, choka au kucheza vibaya kama hana mchezaji mwingine wa akiba nje ya uwanja. Kusema Simba peke yake ndiyo yenye kikosi kipana kuliko Lipuli, Ndanda au Mwadui ni upuuuuzi na ulimbukeni wa mashabiki wa Simba mwaka huu baada ya kumpata Mo Dewj
Uliwahi kuwasika Barca wakiropoka kuwa wana kikosi kipana kuliko timu nyingine za Laliga?
WE UMEONA BHANAManeno meengi lkn unachotaka kuaminisha watu ni kuwa kila timu ina kikosi kipana!!! Hii ni hoja nyepesi sana. Ina maana hadi leo huji tofuati ya kikosi kipana na idadi ya wachezaji? Usiruhusu unazi wako mahali pengine au chuki yako dhidi ya Simba iendeshe reasoning yako. Kuna vitu vya kubishana lakini vitu vilivyowazi hata kama huvipendi ni bora kukubaliana tu au kukaa kimya Narudia tena, Simba kwa kiwango cha Tanzania, ni timu yenye kikosi kipana sana.
Unalazimisha iwe hivyo, ww umetumia kigezo gani kupata hitimisho kama hilo? your reasoning capacity on this is very weak because you are failing to prove what you are trying to push. Simba ina kikosi kipana kivipi? au unaongea kuwa na wachezaji wengi wenye bei kubwa, au wachezaji wengi wa kigeni? au wachezaji wengi wanaoweza kuipa Simba matokeo?. Kama ni wachezaji wengi wanaoweza kuipa timu matokeo chanya basi hiyo is more subjective kwakuwa ziko timu ambazo hazijafungwa hata mechi moja hadi sasa kwenye ligi wakati simba imefungwa, ziko timu ambazo bado zinashiriki mashindano ya FA wakati simba imeshatolewa, ziko timu ambazo zinashika nafasi ya kwanza na pili kwenye ligi kuu wakati Simba inashika nafasi ya tatu, iko timu ambayo imechukua kombe la mapinduzi wakati Simba imelikosa pia. Hii ni sawa na mtu kumsifu mkewe kuwa ni mzuri huku wengine wakimuona kuwa wakawaida tu au malaya. Unang'ang'ania upuuzi usioweza kuuthibitisha kwa vitendo. Dhana yako ya kikosi kipana haijaonekana machoni mwa wapenda soka. Timu yako bado inategemea wachezaji wachache sana ili kupata matokeo.Maneno meengi lkn unachotaka kuaminisha watu ni kuwa kila timu ina kikosi kipana!!! Hii ni hoja nyepesi sana. Ina maana hadi leo huji tofuati ya kikosi kipana na idadi ya wachezaji? Usiruhusu unazi wako mahali pengine au chuki yako dhidi ya Simba iendeshe reasoning yako. Kuna vitu vya kubishana lakini vitu vilivyowazi hata kama huvipendi ni bora kukubaliana tu au kukaa kimya Narudia tena, Simba kwa kiwango cha Tanzania, ni timu yenye kikosi kipana sana.
Unalazimisha iwe hivyo, ww umetumia kigezo gani kupata hitimisho kama hilo? your reasoning capacity on this is very weak because you are failing to prove what you are trying to push. Simba ina kikosi kipana kivipi? au unaongea kuwa na wachezaji wengi wenye bei kubwa, au wachezaji wengi wa kigeni? au wachezaji wengi wanaoweza kuipa Simba matokeo?. Kama ni wachezaji wengi wanaoweza kuipa timu matokeo chanya basi hiyo is more subjective kwakuwa ziko timu ambazo hazijafungwa hata mechi moja hadi sasa kwenye ligi wakati simba imefungwa, ziko timu ambazo bado zinashiriki mashindano ya FA wakati simba imeshatolewa, ziko timu ambazo zinashika nafasi ya kwanza na pili kwenye ligi kuu wakati Simba inashika nafasi ya tatu, iko timu ambayo imechukua kombe la mapinduzi wakati Simba imelikosa pia. Hii ni sawa na mtu kumsifu mkewe kuwa ni mzuri huku wengine wakimuona kuwa wakawaida tu au malaya. Unang'ang'ania upuuzi usioweza kuuthibitisha kwa vitendo. Dhana yako ya kikosi kipana haijaonekana machoni mwa wapenda soka. Timu yako bado inategemea wachezaji wachache sana ili kupata matokeo.
Katika timu za Tanzania kuna timu inaweza kumweka nje Julko, Nyonzima,Kwasi au Mo IBrahim au Kichuya ukamwingiza sub sasa hivi Kapombe na Nyoni ni majeruhi timu inaendeleaje hii ndio maana ya kikosi kipana kwenye finali ya mapinduzi Simba ilienda Dar es salaam na wachezaji kama **** ishirini pia ilikuwa na majeruhi wawili, wachezaji waweli wametolewa mkopo ndio maana wakaletwa wachezaji wa timu B
Aaah! mgosi hiyo siyo hoja kabisa, hata Yanga ilipeleka Mapinduzi most Timu B lakini ilipata matokeo pia kiasi chake lakini husemi Yanga ina kikosi kipana ila Simba. Yanga iliwahi kuondokewa na wachezaji muhimu kama Kakolanya, Makambo, Yondani, Chikupe, Mahadhi, Makapu, Ajibu kwa vipindi tofauti lakini mapengo yao yalizibwa na wachezaji wengine na timu ilipata matokeo mazuri lakini kwasababu ya ubofu na mahaba yenu hamsemi Yanga ina kokosi kipana ila Simba. Brother mchezaji mzuri sio mchezaji mzuri kama haleti matokeo, kipimo cha mchezaji mzuri ni kuleta matokeo anapokuwepo uwanjani sio vinginevyo. Simba kama Okwi, Bocco au Kagere wakipata udhuru mmoja wao hali inakuwa 50 50Mweleze huyu jamaa, inaonekana hata dhana ya kikosi kipana hailewi. Mwambie akutajie timu yoyote hapa nchini inayoweza kuacha nje wachezaji 18, na bado ikatoa ushindani hadi kufika fainali.
Aaah! mgosi hiyo siyo hoja kabisa, hata Yanga ilipeleka Mapinduzi most Timu B lakini ilipata matokeo pia kiasi chake lakini husemi Yanga ina kikosi kipana ila Simba. Yanga iliwahi kuondokewa na wachezaji muhimu kama Kakolanya, Makambo, Yondani, Chikupe, Mahadhi, Makapu, Ajibu kwa vipindi tofauti lakini mapengo yao yalizibwa na wachezaji wengine na timu ilipata matokeo mazuri lakini kwasababu ya ubofu na mahaba yenu hamsemi Yanga ina kokosi kipana ila Simba. Brother mchezaji mzuri sio mchezaji mzuri kama haleti matokeo, kipimo cha mchezaji mzuri ni kuleta matokeo anapokuwepo uwanjani sio vinginevyo. Simba kama Okwi, Bocco au Kagere wakipata udhuru mmoja wao hali inakuwa 50 50
Yondani na Makambo walipokuwa hawapo nani alicheza nafasi zao? Kwani Yanga ilipotecheza na Mwadui juzi na kushinda 3-1 Makambo alikuwepo uwanjani?Aah, kumbe issue yako ni U-yanga!!!!! Nani amekuzuia kuitaja Yanga kuwa ina kikosi kipana?
Sasa ngoja twende kiyangayanga. Hebu acha mahaba pembeni, soma post yangu pale juu #47 halafu niambie nani ni mbadala wa Makambo na Yondani kwa mfano?
Kikosi kipana ni pale timu kuwa na wachezaji wa ziada ambao wanaweza kukupa matokeo yanayofanana na yale yanayoweza kuzalishwa na kikosi kikuu.
Ndiyo maana nimekwambia unazungumza maneno meeengi lkn yasiyo na tija yoyote. Kutokufungwa ktk mashindano yanayoendelea sio kigezo pekee cha kuwa bora. Kwa kuwa hukufungwa jana haina maana leo hautafungwa. Ubora unahusisha mambo mengi zaidi ya matokeo pekee.
Kwa jinsi ninavyokuona ni kwamba hata dhana ya kikosi kipana huifahamu kabisa. Kukusaidia wewe ni kwenda kwenye maana ya kikosi bora ni nini. Hili ndilo tatizo lako kubwa lilipo.
Kwa faida yako na wengine tunaposema timu inakikosi kipana tunamaanisha timu ina kikosi cha kwanza kinachoanza yaani first eleven bora, na pia ina idadi kubwa ya wachezaji bora walioko benchi wanaoweza kuchukua nafasi ya wachezaji wa kikosi cha kwanza na bado timu ikaendelea kucheza vizuri na kupata matokeo. (FIRST ELEVEN BORA + WACHEZAJI WA AKIBA BORA) na sio kuwa na timu mbili ktk timu moja.
Sasa ukija kwa kikosi cha Simba msimu huu, unaona ni timu iliyocheza fainali ya kobe la Mapinduzi huku first eleven na wachezaji wa benchi wakiwa Dar es Salaam na maandalizi ya safari
Simba ya msimu uliopita ilikuwa na first eleven nzuri lakini wachezajiwa akiba dhaifu kulinganisha na walioanza. Tusingesema ina kikosi kipana
Maana ya kikosi kipana itaanza kuonekana kwenye mechi ya Simba v AS Vita baada ya kukosekana Kwa Nyoni na Bocco uwanjani, vuta kiti ukae mbele kabisa karibu na luninga.Sasa fanya hivi copy hii post uliyoandika halafu fungua instagram nenda kwenye account ya Haji Manara halafu paste hapo.
Dah braza tafadhali tuheshimiane. Yaani mkaprove kikosi kipana Jamhuri Ya Kidemokrasia Ya Kongo? Fine, naacha kuvuta msuba.Maana ya kikosi kipana itaanza kuonekana kwenye mechi ya Simba v AS Vita baada ya kukosekana Kwa Nyoni na Bocco uwanjani, vuta kiti ukae mbele kabisa karibu na luninga.
Eeee kaka, Sasa kikosi kipana bro maana yake itakuwa ipi? Mapinduzi kikosi kipana hakikufua dafu, FA holaaa, kwenye ligi kikosi kinashika nafasi ya nne, sasa jicho letu bro limekia DR Congo Tu, maana huku kwingine tafsiri ya kikosi kipana cha Simba bado haijaonekana.Dah braza tafadhali tuheshimiane. Yaani mkaprove kikosi kipana Jamhuri Ya Kidemokrasia Ya Kongo? Fine, naacha kuvuta msuba.
Yondani na Makambo walipokuwa hawapo nani alicheza nafasi zao? Kwani Yanga ilipotecheza na Mwadui juzi na kushinda 3-1 Makambo alikuwepo uwanjani?
Maana ya kikosi kipana itaanza kuonekana kwenye mechi ya Simba v AS Vita baada ya kukosekana Kwa Nyoni na Bocco uwanjani, vuta kiti ukae mbele kabisa karibu na luninga.