Unahofu nini, sifa mojawapo ya kikosi kipana ni consistence katika kupata matoken come rain come sunKwa nini ionekane kwenye mechi ya AS Vita v Simba pekee na sio kwenye mechi na Simba v JS Soura ambapo pia Kapombe, Nyoni, hawakuhusika na pia Bocco hakumaliza mechi?
Bocco gani, huyu mlomnangaga kuwa hafai anakosa magoli hovyo? Vi7bu dhaif sanaASV. 5 - 0 SSC dhana ya kikosi kipana ife ibaki kikosi chenye afadhali au kikosi ghali Tanzania.. pengo la Kapombe, Nyoni na Bocco imeonekana wazi kabisa
ASV. 5 - 0 SSC dhana ya kikosi kipana ife ibaki kikosi chenye afadhali au kikosi ghali Tanzania.. pengo la Kapombe, Nyoni na Bocco imeonekana wazi kabisa