Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

Acha uongo gwanda wewe,tupe data tujiridhishe kwa sababu maprofesa na madokta lukuki wamejaa CCM,mfano angalia safu za mawaziri hapo hujaangalia wanachama wake! Kwa huo ndiyo uongo mnaofundishwa kwenye semina zenu kwa ajili ya kupotosha umma wa watanzania uzuri wake watanzania wanawajua vizuri mnatwanga maji kwenye kinu!
Maprofesa na madokta wachumia tumbo!! wamejaa CC Magamba
 
hebu angalia vizuri hapo
[TABLE="width: 578"]
[TR]
[TD="width: 578, bgcolor: fbfbfd"]
Viongozi wa Kitaifa

[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]
free_sk.jpg
[/TD]
[TD]
Mwenyekiti
Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe (51)
Kutoka Hai, Kilimanjaro
freeman@chadema.or.tz[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 550"]
[TR]
[TD]
Makamu Mwenyekiti Bara
Mhe. Said Amour Arfi (57)
Kutoka Mpanda, Rukwa
[/TD]
[TD="width: 15%"]
arfi.gif
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]
blank.gif
[/TD]
[TD]
Makamu Mwenyekiti Zanzibar
Mhe. Said Issa Mohammed (37)
Kutoka Pemba
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 550"]
[TR]
[TD]
Katibu Mkuu
Mhe. Willibrod Peter Slaa (63)
Kutoka Karatu, Arusha
[/TD]
[TD="width: 15%"]
slaa_sk.jpg
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]
zito_sk.jpg
[/TD]
[TD]
Naibu Katibu Mkuu - Bara
Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (36)
Kutoka Mwandiga, Kigoma Kaskazini
zitto@chadema.or.tz[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 550"]
[TR]
[TD]
Naibu Katibu Mkuu - Zanzibar
Mhe. Hamad Mussa Yussuf (34)
Kutoka Kaskazini Pemba
[/TD]
[TD="width: 15%"]
hamad_sk.jpg
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hawataelewa ndugu wana utapiamlo wa akili!!
 
Tunataka mtupe safu ya uongozi pale makao makuu kuanzia mwenyekiti mpaka wafanyakazi wa kawaida wa chama pale makao makuu tunataka jina lake,kabila lake,elimu yale ,dini yake na mkoa anaotoka , lini alipigiwa kura au kama aliteuliwa aliteuliwaje? Vinginevyo mnatwanga maji kwenye kinu! Mkificha au kushindwa kujibu hoja , Tunamuomba TUMTEMEKE kokote aliko atusaidie kutupa ukweli katika hili!
 
Maprofesa na madokta wachumia tumbo!! wamejaa CC Magamba

Acha unafiki wewe gwanda,fuatilia histolia ya prof safari alianza CCM akaenda,cuf nako katimuliwa kwa matendo yake maovu kaja chadema huo ni mfano wa prof wenu mchumia tumbo ukitaka wengine nitakutajia,kwa hilo huna hujanja ata namna ya kuendesha siasa mfumo wa uongozi wa chadema wameiga CCM,sijuhi mwenyekiti,makamu mwenekiti bara na visiwani mmeiga ata mfumo kwa katiba ya CDM ya vijana,wakina mama na chama kwa ujumla mmeiga CCM,mnakopi kila kitu mnajifanya wajanja mnabadili kidogo wenyewe,hamna jipya mlikuka na sera za majimbo mkachemsha leo mmekuja na sera za kutukana na kushambulia watu,mnafanya mikutano badala mmwage sera mnanashambulia watu! Tunawaomba mtoe kitabu kitachoeleza ahadi za wabunge wenu walizotekeleza majimboni kwao toka walipochaguliwa 2010,mtuambie wamefanya lipi toka waingie madarakani siyo mnazunguka tu mikoani kutukana na kushambulia watu kwa hoja zisizo na mashiko!
 
Hawataelewa ndugu wana utapiamlo wa akili!!

Hatushangahi matusi,kutokuwa na busara na hekima ndiyo jadi yenu,jazba,udini,ukabila,undugu ndiyo maana viti maalum vya chadema vimejaa ndugu na jamaa zao , siasa chafu na uropokaji ndiyo kawaida yenu Chadema,watanzania wamewajua kamwe hawawapi madaraka labda muutoe Mzee Mtei kafala!
 
shukrani zangu kwa komrade mkama aliyechokoza haya mambo ,
kweli kifo kikifika wewe utajikuta unakifuata mwenyewe

mkama kawapeleka ccm kwenye kilengeo wacha wavune siasa zao za maji taka
 
Hoja dhaifu sana wangemchagua vipi wakati yeye ndio muasisi wa Chadema kajipange upya mkuu.

hoja dhaifu zaidi aliasisi vipi chama cha wachaga wakati yeye si mchaga.kukurupuka kubaya mkuu!
 
Tunataka mtupe safu ya uongozi pale makao makuu kuanzia mwenyekiti mpaka wafanyakazi wa kawaida wa chama pale makao makuu tunataka jina lake,kabila lake,elimu yale ,dini yake na mkoa anaotoka , lini alipigiwa kura au kama aliteuliwa aliteuliwaje? Vinginevyo mnatwanga maji kwenye kinu! Mkificha au kushindwa kujibu hoja , Tunamuomba TUMTEMEKE kokote aliko atusaidie kutupa ukweli katika hili!

Huyu panadol nadhani baba yake ni mwenyekiti wa kijiji huko kwao kwa tiketi ya Gambaz dats y', lakini elewa kuwa haitakusaidia chochote kushabikia udini, ukabila, ukanda na mengine ya kibaguzi kuyaingiza kwenye chama hiki, tutaendelea kukiunga mkono hadi tutakapopata uhuru wa kweli.
 
Hatushangahi matusi,kutokuwa na busara na hekima ndiyo jadi yenu,jazba,udini,ukabila,undugu ndiyo maana viti maalum vya chadema vimejaa ndugu na jamaa zao , siasa chafu na uropokaji ndiyo kawaida yenu Chadema,watanzania wamewajua kamwe hawawapi madaraka labda muutoe Mzee Mtei kafala!

Unaona ulivyo na mawazo hafifu, hata wewe hapa siumeandika matusi. Acha ushabiki usio na tija tujenge taifa kwakuwa kila mtu ana dini yake, kabila lake na kanda aliyopo/aliyotokea, hatuwezi kujenga taifa hili tukiwa na watu wenye mawazo kama haya. BADILIKA wakati wa uzee wako uwe na hekima na busara.
 
bob nyanga makani ni mmoja wa waasisi wa chadema, ni msukuma, mwislamu kutoka kutoka shinyanga na katibu mkuu wa kwanza wa chadema.

katibu mkuu ndiye mwenye siri zote chama, ndiyo anakaa na mafaili yote, ni mwajiri wa wafanya kazi wa makao makuu nk.

nimejifunza mambo yafuatayo.
mosi, kama waanzilishi wa chadema wangekuwa na agenda udini wasingemchagua bob makani kwa sababu yeye ni mwislamu. ( binafsi nimejua dini yake wakati wa msiba)

pili kama waasisi wa chadema wangekuwa wanaagenda ya ukanda wasingemchagua bob makani kwa sababu hatoki kanda ya kaskazini.
tatu, kama waasisi wangekuwa na agenda ya ukabila wasingemchagua bob makani kwa sababu si mchaga.

kitendo cha kumchagua msukuma, muislamu, kutoka kanda ya shinyanga katibu mkuu na baadaye kuongezewa cheo na kuwa mkiti ina maanisha kuwa alifanya kazi vizuri na alikuwa anakubalika na wajumbe wote bila kujali dini, ukanda wala ukabila.

wale waliokuwa wanacheza cd ya udini, ukanda na ukabila dhidi ya chadema sasa inabidi watafute cd nyingine ya kucheza dhidi chadema vinginevyo hii ya ukanda, . Ukabila na udini sasa zimechuja. Haiuziki tena.

ni mawazo yangu tu.

hili la dini ni propaganda chafu ya ccm inayotumika kuwagawa wananchi ili ccm indelea kutawala kirahisi. Wenye akili zao walishajua hili siku nyingi na ccm wanafahamu hivyo. Ila kuna watu wengi ambao hawaelewi bado, hao ndiyo ccm inaendelea kuwapumbaza mpaka sasa.

Wanajua fika wananchi watanzania wakiunganisha nguvu zao ccm itaondolewa madarakani.

Wakoloni wa kizungu walitumia hila hiyo hiyo ya wagawe utawale ( divide and rule) kutawala waafrika enzi za ukoloni. Wananchi wa tanzania wanatakiwa kujua kuwa sasa mkoloni wa mwaafrika na mwaafrika mwenzake sio mzungu tena.

CHADEMA ni jitahida za WAKRISTO kutaka kuhodhi madaraka yote nchini! Wamenufaika sana na CCM sasa wameanzisha upinzani pia! CCM na CDM ni baba mmoja mama mmmoja! Ona wanavyokubaliana katika kila issue DHIDI ya Waislamu Tanzania! Kama kuna muislamu CHADEMA ni MURTAD!

Mufilisi mkubwa wa kushughulisha akiri kufikiri!! Yaani hapa ndo mwisho wako....ok naogopa kupewa ban vinginenyo unanuka udini sana we mtu!!!
 
Bob Nyanga Makani ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA, ni Msukuma, Mwislamu kutoka Kutoka Shinyanga na katibu mkuu wa Kwanza wa CHADEMA.

Katibu mkuu ndiye mwenye siri zote Chama, ndiyo anakaa na mafaili yote, ni mwajiri wa wafanya kazi wa makao makuu nk.

Nimejifunza mambo yafuatayo.
Mosi, Kama waanzilishi wa CHADEMA wangekuwa na agenda udini wasingemchagua Bob Makani kwa sababu yeye ni Mwislamu. ( Binafsi nimejua dini yake wakati wa msiba)

Pili kama waasisi wa CHADEMA wangekuwa wanaagenda ya Ukanda wasingemchagua Bob Makani kwa sababu hatoki kanda ya kaskazini.
Tatu, Kama waasisi wangekuwa na agenda ya ukabila wasingemchagua Bob Makani kwa sababu si Mchaga.

Kitendo cha kumchagua Msukuma, Muislamu, kutoka kanda ya Shinyanga katibu mkuu na baadaye kuongezewa cheo na kuwa Mkiti ina maanisha kuwa alifanya kazi vizuri na alikuwa anakubalika na wajumbe wote bila kujali dini, ukanda wala ukabila.

Wale waliokuwa wanacheza CD ya udini, ukanda na ukabila dhidi ya CHADEMA sasa inabidi watafute CD nyingine ya kucheza dhidi CHADEMA vinginevyo hii ya Ukanda, . ukabila na udini sasa zimechuja. Haiuziki tena.

Ni mawazo yangu tu.

kaka unazungumzia chadema asili au chadema ya sasa? kama chadema asili hata mie naunga mkono kuwa hapakuwa na udini wala ukanda ndio maana kule kwetu kigoma from that time ilipata nguvu ya ajabu. Ama chadema ya sasa imekuwa reformed na mdhamini mkuu ni kanisa katoriki na base yake ni Kaskazini, sub base ni mbeya na mwanza, hilo halipingiki liko wazi. Nashukuru kusema kuwa umejua kama Bob ni muislam wakati wa mazishi, je unaweza kuniambia mwanzo ulimuweka upande gani wa Imani? na vipi kuhusu mtei naye hujui dini yake?
 
Bob Nyanga Makani ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA, ni Msukuma, Mwislamu kutoka Kutoka Shinyanga na katibu mkuu wa Kwanza wa CHADEMA.

Katibu mkuu ndiye mwenye siri zote Chama, ndiyo anakaa na mafaili yote, ni mwajiri wa wafanya kazi wa makao makuu nk.

Nimejifunza mambo yafuatayo.
Mosi, Kama waanzilishi wa CHADEMA wangekuwa na agenda udini wasingemchagua Bob Makani kwa sababu yeye ni Mwislamu. ( Binafsi nimejua dini yake wakati wa msiba)

Pili kama waasisi wa CHADEMA wangekuwa wanaagenda ya Ukanda wasingemchagua Bob Makani kwa sababu hatoki kanda ya kaskazini.
Tatu, Kama waasisi wangekuwa na agenda ya ukabila wasingemchagua Bob Makani kwa sababu si Mchaga.

Kitendo cha kumchagua Msukuma, Muislamu, kutoka kanda ya Shinyanga katibu mkuu na baadaye kuongezewa cheo na kuwa Mkiti ina maanisha kuwa alifanya kazi vizuri na alikuwa anakubalika na wajumbe wote bila kujali dini, ukanda wala ukabila.

Wale waliokuwa wanacheza CD ya udini, ukanda na ukabila dhidi ya CHADEMA sasa inabidi watafute CD nyingine ya kucheza dhidi CHADEMA vinginevyo hii ya Ukanda, . ukabila na udini sasa zimechuja. Haiuziki tena.

Ni mawazo yangu tu.

Intellectual laziness is a serious problem in our society! It is despicable to read such line of argument from the so called "Great Thinkers"
 
CHADEMA ni jitahida za WAKRISTO kutaka kuhodhi madaraka yote nchini! Wamenufaika sana na CCM sasa wameanzisha upinzani pia! CCM na CDM ni baba mmoja mama mmmoja! Ona wanavyokubaliana katika kila issue DHIDI ya Waislamu Tanzania! Kama kuna muislamu CHADEMA ni MURTAD!

Tazama huyu Mjinga anaongea FATWA humu jamvini.. Sijui nimfanyeje.. No haelewi anahitaji msaada tu..Mjinga akieleweshwa ufaham humjia, ila mpumbav asilan..!!
 
kukanusha ukabila na udini uliopo chadema lazima uwe kichaa! suala la udini na ukabila liko wazi kabisa!
 
Kuna raia mmoja kachangia hivi

CHADEMA ni jitahida za WAKRISTO kutaka kuhodhi madaraka yote nchini! Wamenufaika sana na CCM sasa wameanzisha upinzani pia! CCM na CDM ni baba mmoja mama mmmoja! Ona wanavyokubaliana katika kila issue DHIDI ya Waislamu Tanzania! Kama kuna muislamu CHADEMA ni MURTAD!
..
Nami nikamjibu
..
CHADEMA ni jitahida za WAKRISTO kutaka kuhodhi madaraka yote nchini! Wamenufaika sana na CCM sasa wameanzisha upinzani pia! CCM na CDM ni baba mmoja mama mmmoja! Ona wanavyokubaliana katika kila issue DHIDI ya Waislamu Tanzania! Kama kuna muislamu CHADEMA ni MURTAD!

Tazama huyu Mjinga anaongea FATWA humu jamvini.. Sijui nimfanyeje.. No haelewi anahitaji msaada tu..Mjinga akieleweshwa ufaham humjia, ila mpumbav asilan..!!

Labda NIFAFANUE

Kutokana Na sharia ambazo Kadhi anahukumu Mtu ni kumtangaza Mtu MURTAD. Murtad ni adhabu ya kukatwa kichwa Kwa muislam aliyebadili Dini ..

Kwa utaratibu wa mafundisho ya sharia ambao mengi hayatokani Na maagizo ya Mtume,.. Bali wanazi wachache Kwa interest za kulinda tawala zao kwamba Mtu akibadili Dini ataitwa Na kuonywA, akikataa ataitwa mbele ya viongozi asilimu Upya, akikataa Basi inatangazwa Hukumu ya MURTAD ambayo ni kutenganisha kichwa Na kiwiliwili..Na Kama Mtu Yuko mbali Basi anatangaziwa FATWA.. Yeyote atayemuona amkate shingo Na Hana kesi..

Sasa kusema viongozi wa Chama Fulani wa Dini Fulani wapatwe Na Haya nadhani si ustaarabu Wala ubinaadam..
 
You are completly right
Bob Nyanga Makani ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA, ni Msukuma, Mwislamu kutoka Kutoka Shinyanga na katibu mkuu wa Kwanza wa CHADEMA.

Katibu mkuu ndiye mwenye siri zote Chama, ndiyo anakaa na mafaili yote, ni mwajiri wa wafanya kazi wa makao makuu nk.

Nimejifunza mambo yafuatayo.
Mosi, Kama waanzilishi wa CHADEMA wangekuwa na agenda udini wasingemchagua Bob Makani kwa sababu yeye ni Mwislamu. ( Binafsi nimejua dini yake wakati wa msiba)

Pili kama waasisi wa CHADEMA wangekuwa wanaagenda ya Ukanda wasingemchagua Bob Makani kwa sababu hatoki kanda ya kaskazini.
Tatu, Kama waasisi wangekuwa na agenda ya ukabila wasingemchagua Bob Makani kwa sababu si Mchaga.

Kitendo cha kumchagua Msukuma, Muislamu, kutoka kanda ya Shinyanga katibu mkuu na baadaye kuongezewa cheo na kuwa Mkiti ina maanisha kuwa alifanya kazi vizuri na alikuwa anakubalika na wajumbe wote bila kujali dini, ukanda wala ukabila.

Wale waliokuwa wanacheza CD ya udini, ukanda na ukabila dhidi ya CHADEMA sasa inabidi watafute CD nyingine ya kucheza dhidi CHADEMA vinginevyo hii ya Ukanda, . ukabila na udini sasa zimechuja. Haiuziki tena.

Ni mawazo yangu tu.
 
Tokea CHADEMA ianzishwe imeshaongozwa na makatibu wakuu watatu. Wa kwanza ni Bob Nyanga Mohamed Makani (shinyanga) wakati Mwenyekiti akiwa Mzee Edwin Mtei, wa pili ni Aman Walid Kabourou (Kigoma) wakati Mwenyekiti akiwa Bob Makani na wa tatu ni Dr. Willibrod Peter Slaa (Arusha) Wakati Freeman Mbowe akiwa Mwenyekiti.
 
Back
Top Bottom