Mkuu huu ni mjadala tunachangia point tuu. Hatafutwi mshindi hapa. So no need of using harsh and, or uncivilized words or language.Tanzania tuna makabila zaidi ya 100
Unataka tuwe na nchi 100?
Bora mze wako angevaa ndom tu
Ulivojibu unaonyesha umemuelewa vizuri kabisa Sasa nashangaa Tena unasema hujamuelewa???SIJAKUELEWA.
LAKINI NIKUULIZE,HIVI UNAJUA NCHI ZOTE ZA ULAYA KILA MOJA NI KABILA?
MFANO UJERUMANI,LILE NI KABILA,VILEVILE UINGEREZA NK..
Is like una support alichokisema mleta uziSIJAKUELEWA.
LAKINI NIKUULIZE,HIVI UNAJUA NCHI ZOTE ZA ULAYA KILA MOJA NI KABILA?
MFANO UJERUMANI,LILE NI KABILA,VILEVILE UINGEREZA NK..
umegonga kwenye mshono,....ubaguzi ni UPUMBAVU wa hali ya juu sana alionao mwanadamu,....Ukabila ni tool ya ubaguzi tu ila mbaguzi ni binadamu. Mbaguzi hakosi sababu ya kubagua.
Mfano, Tanzania nzima tungekuwa wanyiramba, ingeibuka tool ya wanyiramba wa kusini na wanyiramba wa kaskazini.
Hata tukawa wote wanyiramba wa kusini itaibuka tool ya wa kusini wa boma za huko na kusini wa boma za huku.
Tukawa wote wa kusini wa boma za huku, itaibuka tool ya wa boma za huku wa mzee huyu wa boma za huku wa mzee yule.
Yaani inshort, wabaguzi hawakosi sababu ya kubaguana.
Kabisa mkuu. "UPUMBAVU"umegonga kwenye mshono,....ubaguzi ni UPUMBAVU wa hali ya juu sana alionao mwanadamu,....
wachaga, wanyaki na wahaya hii tabia bado wanayo......View attachment 3190956
Mataifa ya ulaya yamegawanyika kwa misingi ya kikabila, Pengine ni factor mojawapo ya maendeleo
Katika kitu walichokosea wakoloni kwa baadhi ya nchi ni kuunganisha makabila yawe nchi moja, Pengine walifanya maksudi kabisa kwa nia mbaya.
Tushukuru sana hapa Tanzania kutoka kwa Mwalimu Nyerere na mapungufu yake lakini aliweza kupunguza ukabila kwa kiasi kikubwa sana.
Ukabila umekuwa ukisumbua nchi nyingi sana Afrika
Mindset za watu wengi zipo kikabila,
Mkurugenzi wa shirika la kitaifa anapachika watu wa kabila lake
Kiongozi wa idara ya ulinzi anapachika watu wa kabila lake
kiongozi wa taifa analipa kipaumbele kabila lake
Mkurugenzi wa taasisi ya mikopo ya vyuoni anapendelea zaidi watu wa kabila lake,