Dhana ya utaifa imefeli Afrika, nchi nyingi zigawanywe upya kuwa kingdoms za kikabila, viongozi wapo loyal zaidi kwa makabila yao kuzidi utaifa

Dhana ya utaifa imefeli Afrika, nchi nyingi zigawanywe upya kuwa kingdoms za kikabila, viongozi wapo loyal zaidi kwa makabila yao kuzidi utaifa

Tanzania tuna makabila zaidi ya 100

Unataka tuwe na nchi 100?

Bora mze wako angevaa ndom tu
Mkuu huu ni mjadala tunachangia point tuu. Hatafutwi mshindi hapa. So no need of using harsh and, or uncivilized words or language.
It's just a debate. Chill out.
 
Ukabila ni tool ya ubaguzi tu ila mbaguzi ni binadamu. Mbaguzi hakosi sababu ya kubagua.

Mfano, Tanzania nzima tungekuwa wanyiramba, ingeibuka tool ya wanyiramba wa kusini na wanyiramba wa kaskazini.

Hata tukawa wote wanyiramba wa kusini itaibuka tool ya wa kusini wa boma za huko na kusini wa boma za huku.

Tukawa wote wa kusini wa boma za huku, itaibuka tool ya wa boma za huku wa mzee huyu wa boma za huku wa mzee yule.

Yaani inshort, wabaguzi hawakosi sababu ya kubaguana.
umegonga kwenye mshono,....ubaguzi ni UPUMBAVU wa hali ya juu sana alionao mwanadamu,....
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
View attachment 3190956

Mataifa ya ulaya yamegawanyika kwa misingi ya kikabila, Pengine ni factor mojawapo ya maendeleo

Katika kitu walichokosea wakoloni kwa baadhi ya nchi ni kuunganisha makabila yawe nchi moja, Pengine walifanya maksudi kabisa kwa nia mbaya.

Tushukuru sana hapa Tanzania kutoka kwa Mwalimu Nyerere na mapungufu yake lakini aliweza kupunguza ukabila kwa kiasi kikubwa sana.

Ukabila umekuwa ukisumbua nchi nyingi sana Afrika

Mindset za watu wengi zipo kikabila,

Mkurugenzi wa shirika la kitaifa anapachika watu wa kabila lake

Kiongozi wa idara ya ulinzi anapachika watu wa kabila lake

kiongozi wa taifa analipa kipaumbele kabila lake

Mkurugenzi wa taasisi ya mikopo ya vyuoni anapendelea zaidi watu wa kabila lake,
wachaga, wanyaki na wahaya hii tabia bado wanayo......
na sasa naona huyu chifu ameanza kuwapendelea mchamba wima
 
Back
Top Bottom