Dhana ya watu wanaofunga GPS tracker kwenye magari kuhusika na wizi wa magari. Je, ni kweli au si kweli?

Hapo kwenye application vipi kwa mtu ambae anaweza kusoma na kuona kila kitu kwenye simu yako kwa njia za kidukuzi(hacking).
 
Hapo kwenye application vipi kwa mtu ambae anaweza kusoma na kuona kila kitu kwenye simu yako kwa njia za kidukuzi(hacking).

Mtu mwenye level hiyo ya hacking hawezi kufanya kazi kama hiyo. Ya wizi wa magari.

Usije ukawaiclude hawa wanaohaki messages na calls. Siwazungumzii hawa.
 
Umeongelea unazozijua wewe...

Je zile gari zinakuja mbele pale kale ka LCD kanasoma location route je kanatumia laini na ni laini ya wapi? Hadi ifanye kazi huku maana unaenda chukua gari bandarini inasoma ...

Zipo nyingi labda we unaijua ya kuweka line,,.
 
Upo sahihi, lakini mimi nimeongelea kwa ninachokifahamu. So far mechanism ya zile zinazokuja na gari kutoka japan siijui.

Ila kwa sasa....

Wireless Device yoyote inaweza ikatambulika kirahisi tu. Iwe inatumia laini au haitumii laini.

Thread 'Teknolojia za wizi wa magari. Usiache kupitia hapa kujifunza.' Teknolojia za wizi wa magari. Usiache kupitia hapa kujifunza.
 
Kwamba hiyo kufuli haiwezi kukatwa?

Makufuli ya mageti yanakatwa tu sasa hiyo inashindwa vipi kukatwa?

Watu wana industry grade scisors inataka mpaka nondo, hiyo kufuli cha mtoto.

Njia pekee ni kukata comprehensive insurance.
 
Huo muda wa kuanza kukata mwizi anautoa wapi? Hakuna mwizi anae penda disturbance.
hiyo comprehensive insurance unayo iamini hujafikiria bima wakakukataa wakikuambia ulifanya mchongo, mara uhonge kwa accessor, uzungushwe miezi ya kutosha na hela ikitoka hupewi yote. Bado ni ujinga
 
Gari inaweza kuaccelerate bila kukanyaga hiyo pedal...

Gari ikishakuwa na acelerator pedal sensor basi. ni,suala tu la kuactuate throttle motor biashara imeisha.

Gari nyingi sana zina electronic throttle.... plus cruise control.

Hilo chuma mtu wala hatahangaika nalo na gari hutoikuta.
 
Mawazo ya kimaskini haya. Mbona mnanunua gari yard na hakuna malalamiko
 
Akifunga chuma kwenye brake pedal utashift vipi gears? akiondoka atasimamaje hana brake? mwizi wa kuhangaika na hizo throttle, accelerator pedal sensor ni mwizi mwenye muda mrefu wa kupoteza hapo kwenye scene,na ni fundi wa magari ambae ni mwizi.
 
Naomba namba zako mkuu
 
Naomba contact nahitaji hicho kifaa cha kufunga pedal ya gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…