Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
CcM imejaa tabu na matatizo
👇
👇
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MatabletHahaha.......hapo Ufipa st mnamiliki Smart phone bwashee?
Unajua maana ya serikali?Yeye ndio waziri wa umeme na maji? Au tuziunganishe ziwe pamoja? Mtandao wa maji ujumuishwe na wasimu na wauchukuzi kwa ajili kuchukulia maji?
Kila wizara ina waziri wake ana bajeti yake, sera, sheria, kanuni nk
Ni wajibu wa kila waziri kutimiza majukumu yake ktk wizara yake, labda wafanye kama lile zoezi la wizara kuungana pamoja kwenda kutatua kero za wananchi
Maana yake ni kwamba 'wajinga ndio waliwao'Simu ya mkopo unalipa kidogokidogo then bundles bei juu, ina maana gani sasa?
We kweli mbumbumbu ndiyo maana hata mwalimu wako alishindwa kukufundisha. Hizo sekta ulizozitaja hazina mawaziri? Hata somo la Uraia ulishindwa kuielewa? Hakuna waziri wa Maji? Hakuna waziri wa Nishati? Nape aongelee mambo ya maji na umeme yanamhusu? Kijana rudi darasani ndiyo shida za kusoma shule za kata nyie ni bomu la ujinga nchi hii. Nape ni waziri wa Mawasiliano,Habari na Teknolojia anaongelea mambo yanayohusu sekta yake. Eti waziri wa CCM, kuna wizara inaitwa CCM? hata km mtu humpendi au hupendi chama chake tumia akili kuandika jambo lenye mantiki. Chuki ni mzigo mzito sana kuubeba
Nape siyo Waziri wa maji na nishati...hayo ya maji na nishati ungeyafuatilia ukajua utatuzi upo vipi,kujisononesha haikusaidii
NjiroShida ya Maji na umeme kila kona?.. wengine toka mwaka mpya hatujapata shida ya Maji wala umeme...
Wapi mnapokaa nyinyi kuna shida hizo?
Mgao ulishaisha labda hitilafuNjiro
Jana wamekata
Saa nne asbh mpaka saa 11 nasepa haujarudi.
Hivyo ni vitu viwili tofauti. Unataka ununuliwe na bando? Mbona makampuni ya simu yanakopesha bando? Km umekata tamaa jitundike tu umsalimie Magu. Maisha ya kwako kila kitu unataka upate wa kumlalamikia!Simu ya mkopo unalipa kidogokidogo then bundles bei juu, ina maana gani sasa?
Kwa mkoani bado. Ila Dar nina uhakika kwa 99% umeishaMgao ulishaisha labda hitilafu