Dharau ya CAF kwa Yanga walikuwa Pot 5

Dharau ya CAF kwa Yanga walikuwa Pot 5

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Yes I said it, lowest ranked clubs ndipo utapu tapu au utopolo fc wana po belong ,vilevile karibuni sana team ya Nigeria tutawapa ushirikiano wa kutosha.

Wachambuzi TAKATAKA kina Priva na kitenge watajifanya kama hawajaliona hili la utopolo kuwekwa kwenye kapu la team zenye viwango duni wakileta fyoko msomali na mwarabu hawatawapa tena bahasha za khaki

utooooooooo.png
 
LOWEST RANKED TEAMS. Uto ndio wamo humo..! Nimekubali hizi sasa Dharau.
Hautasikia hiii ishu kwenye redio za wachambuzi TAKATAKA bahasha za khaki zimewaminya midomo kutwa wanashangilia chama kuondoka..KARIBUNI SANA RIVERS UTD, twendeni kwenye page zao kujiunga na kuwapa maujanja na updates za utopolo fc
 
Naona Mikia FC wakicheza mechi mbili tu then out of tournament. Let's wait and see
 
Naona Mikia FC wakicheza mechi mbili tu then out of tournament. Let's wait and see
Uwezo wako wa kufikiria ni mdogo Sana,je wewe ni great thinker? mechi mbili tu[emoji881] out?jitahidi kidogo kufikiria ukiwa nje ya box Utopolo [emoji1][emoji1][emoji1].
 
Uwezo wako wa kufikiria ni mdogo Sana,je wewe ni great thinker? mechi mbili tu[emoji881] out?jitahidi kidogo kufikiria ukiwa nje ya box Utopolo [emoji1][emoji1][emoji1].
Nakazia au nasisitiza, Mikia FC watacheza mechi mbili tu period. Na tusubiri tujionee.
 
Back
Top Bottom