CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Yes I said it, lowest ranked clubs ndipo utapu tapu au utopolo fc wana po belong ,vilevile karibuni sana team ya Nigeria tutawapa ushirikiano wa kutosha.
Wachambuzi TAKATAKA kina Priva na kitenge watajifanya kama hawajaliona hili la utopolo kuwekwa kwenye kapu la team zenye viwango duni wakileta fyoko msomali na mwarabu hawatawapa tena bahasha za khaki