CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Hautasikia hiii ishu kwenye redio za wachambuzi TAKATAKA bahasha za khaki zimewaminya midomo kutwa wanashangilia chama kuondoka..KARIBUNI SANA RIVERS UTD, twendeni kwenye page zao kujiunga na kuwapa maujanja na updates za utopolo fcLOWEST RANKED TEAMS. Uto ndio wamo humo..! Nimekubali hizi sasa Dharau.
Lowest ranked teams chungu cha 5 hata mogadishu fc na kmkm wako juu yeniu kiheshimaHii ni ishara ya matatizo ya akili.
Kapimwe jamaa..
kumekuchaAmini ninalo waambia Simba japo kapewa raund moja tu lazima aende shirikisho, atapigwa mapema sana
Nakuunga mkono kwa 100%Amini ninalo waambia Simba japo kapewa raund moja tu lazima aende shirikisho, atapigwa mapema sana
Uwezo wako wa kufikiria ni mdogo Sana,je wewe ni great thinker? mechi mbili tu[emoji881] out?jitahidi kidogo kufikiria ukiwa nje ya box Utopolo [emoji1][emoji1][emoji1].Naona Mikia FC wakicheza mechi mbili tu then out of tournament. Let's wait and see
Nakazia au nasisitiza, Mikia FC watacheza mechi mbili tu period. Na tusubiri tujionee.Uwezo wako wa kufikiria ni mdogo Sana,je wewe ni great thinker? mechi mbili tu[emoji881] out?jitahidi kidogo kufikiria ukiwa nje ya box Utopolo [emoji1][emoji1][emoji1].
Naona Utopolo wakirudi Morocco na mimbaNaona Mikia FC wakicheza mechi mbili tu then out of tournament. Let's wait and see