Zanzibar-Nyamwezi
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,244
- 766
Bado Zenji watakataa kata kata...huu Muungano umetoka mbali, wasifanye mzaha mzaha..
Usiseme dharau, sema kuwafanya watumwa, kuwabaka mama, mababa, watoto wadogo wawe wa kike au kiume, kuwauwa na kuwazika chini ya majengo, sasa linganisha na fadhila za vinyago..Bora dharau ya Waarabu kuliko fadhila za VINYAGO!
Wanzanzibari Waafrika (Wazanzibari weusi) wote ni ndugu zangu wa damu
Kamwe sitakubali kutengwa nao (kwa kuvunja muungano)
Usiseme dharau, sema kuwafanya watumwa, kuwabaka mama, mababa, watoto wadogo wawe wa kike au kiume, kuwauwa na kuwazika chini ya majengo, sasa linganisha na fadhila za vinyago..
Bado Zenji watakataa kata kata...huu Muungano umetoka mbali, wasifanye mzaha mzaha..
Mbona huzungumziii vifo vya Kibiti, wale wa CHADEMA waliouwawa kwa mazingira tata, huzungumzii hizo maiti kwanini ndugu wa marehemu hawajaja kusema wamepotelewa na ndugu zao, huzungumzii wale marehemu wahamiaji ambao hata madereva husika wamekiri kutupa maiti zao baharini kwenye mito n.k. Wala huzungumzii makada na viongozi wa chama tawala waliofariki kwa mazingira tata?! Tusiwe na double standard, kifo ni kifo.Mbona hayo yanafanywa tokea siku ya uvamizi Januari 1964 mpaka hii leo au hao wanaookotwa kwenye plastiki Coco Beach wametoka mbinguni na hao wanaobambikiziwa kesi ZA kigaidi bila mpango na wengine kupigwa marisasi huyasikii
Mbona huzungmziii vifo vya Kibiti, wale wa CHADEMA waliouwawa kwa mazingira tata, huzungumzii hizo maiti kwanini ndugu wa marehemu hawajaja kusema wamepotelewa na ndugu zao, huzungumzii wale marehemu wahamiaji ambao hata madereva husika wamekiri kutupa maiti zao baharini kwenye mito n.k. Wala huzungumzii makada na viongozi wa chama tawala waliofariki kwa mazingira tata?! Tusiwe na double standard, kifo ni kifo...
Kuhusu kushambuliwa kwa marisasi, waliopatwa na haya majanga mpaka leo wamekataa kuleta wahusika ili upepelezi uwe kamilifu, tujiulize kwanini!
Hivi hayo yote uliyoyaandika source yake si huo utawala??Kuhusu maandamano, sijasikia watu wakiandamana kwenye mambo muhimu kama ukosefu wa maji na umeme, miundombinu, afya, elimu, ustawi wa jamii, ukeketaji, mimba za utotoni, vyeti feki, rushwa, ufisadi n.k.
Kweli hayo ya juu siyo ya maana kuliko kusema unanyimwa uhuru wa habari wakati humu ndani tunajadili kila kitu?!
Maajabu ya Dunia kwa kweli
Hadithi za kutunga hizo! Hakuna Mzanzibari aliyefanywa mtumwa. Na kama ni biashara ya utumwa wenyewe walikuwa Wazungu ambao walitawala Tanganyika. Sijawahi kusikia CCM Tanganyika kuwatukana Wazungu.Usiseme dharau, sema kuwafanya watumwa, kuwabaka mama, mababa, watoto wadogo wawe wa kike au kiume, kuwauwa na kuwazika chini ya majengo, sasa linganisha na fadhila za vinyago..