zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mbona Wajerumani waliwatesa kma ng'ombe ila sijasikia mkitoka povu na zaidi mnawakopa hela kila siku kuendesha bajeti zenu, Ila Mwarabu ndio mnamfanya adui namba moja wa wazanzibar !!! Kazi kwelikweliMwarab hawezi kumthamini mwafrika hata siku moja, wewe angalia tu jinsi walivyo tuuwa walipotuletea dini yao (Uislam). Walikama mabibi zetu matumbo kama mzaha tu, leo hii tunaona ufahari kujifananisha nao?
Kama hawana support si mtoe kibali cha maandamano shida ni ipi alafu tuone wakiumbuka kuliko mnawatisha alafu muda huo huo mnakejeli kwamba hatoandamana mtu ndio nini sasaNinakuhakikishia, hiyo tarehe hakutakuwa na maandamano, hamna huo ubavu, hamna hiyo support, on the ground, wana wa nchi tunamwelewa tingatinga, sasa nyie nyumbu, ambataneni mitaani kama mnavoambatana serengeti, ndio mtajua kwanini kuku hakojoi.
Wewe utakuwa MwarabuBora dharau ya Waarabu kuliko fadhila za VINYAGO!
😀😀😀 Wabongo bhana hvi unajua uchumi wa oman umeuzidi mara ngapi uchumi wa TZ kiasi kwamba hao Waarabu watamani kurudi Zenj?Wewe utakuwa Mwarabu...na hiyo Zanzibar hamuipagi ng'oooo!
Mbona wajerumani waliwatesa kma ng'ombe ila sijasikia mkitoka povu na zaidi mnawakopa hela kila siku kuendesha bajeti zenu...... Ila mwarabu ndio mnamfanya adui namba moja wa wazanzibar !!! Kazi kwelikweli
Shule wanapotosha vitu vingi sana tu hata historia ya mapinduzi ni tofauti na uhalisia wake hata sababu za vita ya uganda ni tofauti na tulizofundishwa shuleni!!! Hivi vitabu vya shule za kibongo sio reliable kabisaSivyo, mwarab alizidisha uonevu kwa mwafrika....kwani wewe hujaenda shule na kusoma?
Mbona umesahau uhuru wa kujieleza ambao huleta hayo yoteNi kwasababu watu wa aina yako wako kimya.
Sasa unatakiwa uhamasishe maandamano ya kudai elimu bora, maji safi, umeme wa uhakika, kupinga ukeketaji, kupinga utekaji nyara wananchi,..na mambo mengine ya msingi uliyoyataja hapo juu.
Nina hakika watu wengi watakuunga mkono.
Baada ya kukosa kusoma historia wakati nipo sekondari; nikajitahidi sana kuisoma baada ya kuingia mtaani!!Mwarab hawezi kumthamini mwafrika hata siku moja, wewe angalia tu jinsi walivyo tuuwa walipotuletea dini yao (Uislam)
Wakoloni wote wanyama, wakatili, washenzi, wahuni, kupe, waroho, ndorobo..Mbona wajerumani waliwatesa kma ng'ombe ila sijasikia mkitoka povu na zaidi mnawakopa hela kila siku kuendesha bajeti zenu...... Ila mwarabu ndio mnamfanya adui namba moja wa wazanzibar !!! Kazi kwelikweli
Labda kama uumgeni hapa nchini hivo vitu vyoote wananchi washafanya saana na ndio maana hata upinzani ukastawi kwakua chama tawala kilibweteka.Kuhusu maandamano, sijasikia watu wakiandamana kwenye mambo muhimu kama ukosefu wa maji na umeme, miundombinu, afya, elimu, ustawi wa jamii, ukeketaji, mimba za utotoni, vyeti feki, rushwa, ufisadi n.k.
Kweli hayo ya juu siyo ya maana kuliko kusema unanyimwa uhuru wa habari wakati humu ndani tunajadili kila kitu?!
Maajabu ya Dunia kwa kweli
Na huyo mkuu wenu muhutu mtampeleka wapi watanganyikaHivi tunawabembeleza nini? muungano uvunjike warudi kwao. Ila wajue kuwa ukivunjika kila mpemba aliye Bara basi lazima arudi kwako, kama ni nyumba aibebe mgongoni aende nayo kama inabebeka.
Na huyo mkuu wenu muhutu mtampeleka wapi watanganyikaHivi tunawabembeleza nini? muungano uvunjike warudi kwao. Ila wajue kuwa ukivunjika kila mpemba aliye Bara basi lazima arudi kwako, kama ni nyumba aibebe mgongoni aende nayo kama inabebeka.
Hua kina mambo nyuma ya pazia rafiki. Yamkini ulichoona kilikua ni mchanga wa macho.Hata unakijua ulichokiandika ???
Hao waafrika wakamdai mwarabu gani wakati nchi iko chini ya muingereza ??
Aliyetoa uhuru Disemba 1963 ni mwarabu yupi ??
Hizo simulizi ZA Sheikh Ali Barwani zisikilize vizuri bila jaziba au akili ZA kutembeza mwenge mitaani
Sijawahi kumsikia mzee wa Kiafrika hata mmoja akikuhadithia mabaya ya waarabu pre 1964, hizi stories nazisikia kwenye majukwaa tu.wewe utakuwa Mwarabu
Wazanzania wamesha mchagua kiongozi mbona? Naye anaitwa John Joseph Pombe Magufuli?