Dharau ya Waarabu kwa Waafrika Zanzibar, kumbe Mwalimu Nyerere 1957 aliwaonya kwanza kabla ya kuanzisha ASP

Dharau ya Waarabu kwa Waafrika Zanzibar, kumbe Mwalimu Nyerere 1957 aliwaonya kwanza kabla ya kuanzisha ASP

Mwarab hawezi kumthamini mwafrika hata siku moja, wewe angalia tu jinsi walivyo tuuwa walipotuletea dini yao (Uislam). Walikama mabibi zetu matumbo kama mzaha tu, leo hii tunaona ufahari kujifananisha nao?
Mbona Wajerumani waliwatesa kma ng'ombe ila sijasikia mkitoka povu na zaidi mnawakopa hela kila siku kuendesha bajeti zenu, Ila Mwarabu ndio mnamfanya adui namba moja wa wazanzibar !!! Kazi kwelikweli
 
Ninakuhakikishia, hiyo tarehe hakutakuwa na maandamano, hamna huo ubavu, hamna hiyo support, on the ground, wana wa nchi tunamwelewa tingatinga, sasa nyie nyumbu, ambataneni mitaani kama mnavoambatana serengeti, ndio mtajua kwanini kuku hakojoi.
Kama hawana support si mtoe kibali cha maandamano shida ni ipi alafu tuone wakiumbuka kuliko mnawatisha alafu muda huo huo mnakejeli kwamba hatoandamana mtu ndio nini sasa
 
Mbona wajerumani waliwatesa kma ng'ombe ila sijasikia mkitoka povu na zaidi mnawakopa hela kila siku kuendesha bajeti zenu...... Ila mwarabu ndio mnamfanya adui namba moja wa wazanzibar !!! Kazi kwelikweli


Sivyo, Mwarabu alizidisha uonevu kwa Mwafrika. Kwani wewe hujaenda shule na kusoma?
 
Sivyo, mwarab alizidisha uonevu kwa mwafrika....kwani wewe hujaenda shule na kusoma?
Shule wanapotosha vitu vingi sana tu hata historia ya mapinduzi ni tofauti na uhalisia wake hata sababu za vita ya uganda ni tofauti na tulizofundishwa shuleni!!! Hivi vitabu vya shule za kibongo sio reliable kabisa

Unajua Wajerumani walichinja Waafrika wangapi? Why hamuwekei chuki hivi?
 
Zanzibar wamepokonywa Waarabu na Mwalimu Nyerere na kuzawadiwa Waafrika, leo ndio wanaomtukana Mwalimu. Kamwe Sultani na ndugu zake wa Oman wasinge viachia visiwa hivi.
 
Ni kwasababu watu wa aina yako wako kimya.

Sasa unatakiwa uhamasishe maandamano ya kudai elimu bora, maji safi, umeme wa uhakika, kupinga ukeketaji, kupinga utekaji nyara wananchi,..na mambo mengine ya msingi uliyoyataja hapo juu.

Nina hakika watu wengi watakuunga mkono.
Mbona umesahau uhuru wa kujieleza ambao huleta hayo yote
 
Mwarab hawezi kumthamini mwafrika hata siku moja, wewe angalia tu jinsi walivyo tuuwa walipotuletea dini yao (Uislam)
Baada ya kukosa kusoma historia wakati nipo sekondari; nikajitahidi sana kuisoma baada ya kuingia mtaani!!

Nikiri elimu ya kuipata kiujanja ujanja mtaani haiwezi kulingana na elimu itolewayo na magwiji darasani!

Kupitia hii soma yangu ya kuunga unga; ckufanikiwa kupata mabuku au japo kakurasa kalikosema Uislam uliletwa Africa, au angalau Tanganyika kwa njia ya upanga!!

Unaonaje basi ukitoa darsa kwa sie maamuma kutuelimisha jinsi tulivyokuwa tunauawa na Waarabu wakati tunaletewa hiyo dini ya kigeni!
 
Hizi zote ni propaganda kuelekea 26/4, kamwe muungano hautavunjwa, Waarabu wakahakikishe kwao kuna Amani kwanza
 
Kuhusu maandamano, sijasikia watu wakiandamana kwenye mambo muhimu kama ukosefu wa maji na umeme, miundombinu, afya, elimu, ustawi wa jamii, ukeketaji, mimba za utotoni, vyeti feki, rushwa, ufisadi n.k.
Kweli hayo ya juu siyo ya maana kuliko kusema unanyimwa uhuru wa habari wakati humu ndani tunajadili kila kitu?!
Maajabu ya Dunia kwa kweli
Labda kama uumgeni hapa nchini hivo vitu vyoote wananchi washafanya saana na ndio maana hata upinzani ukastawi kwakua chama tawala kilibweteka.

Sasa kwa hii staili mpya acha watu wapiganie kuiondoa.
 
Hivi tunawabembeleza nini? muungano uvunjike warudi kwao. Ila wajue kuwa ukivunjika kila mpemba aliye Bara basi lazima arudi kwako, kama ni nyumba aibebe mgongoni aende nayo kama inabebeka.
Na huyo mkuu wenu muhutu mtampeleka wapi watanganyika
 
Hivi tunawabembeleza nini? muungano uvunjike warudi kwao. Ila wajue kuwa ukivunjika kila mpemba aliye Bara basi lazima arudi kwako, kama ni nyumba aibebe mgongoni aende nayo kama inabebeka.
Na huyo mkuu wenu muhutu mtampeleka wapi watanganyika
 
Hata unakijua ulichokiandika ???

Hao waafrika wakamdai mwarabu gani wakati nchi iko chini ya muingereza ??

Aliyetoa uhuru Disemba 1963 ni mwarabu yupi ??

Hizo simulizi ZA Sheikh Ali Barwani zisikilize vizuri bila jaziba au akili ZA kutembeza mwenge mitaani
Hua kina mambo nyuma ya pazia rafiki. Yamkini ulichoona kilikua ni mchanga wa macho.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
wewe utakuwa Mwarabu
Sijawahi kumsikia mzee wa Kiafrika hata mmoja akikuhadithia mabaya ya waarabu pre 1964, hizi stories nazisikia kwenye majukwaa tu.

Mimi nilikuwa as close as it could get na viongozi wengi wa MAPINDUZI ya 1964, lakini hakuna hata mmoja aliyenipa picha ya unyama wa Waarabu other than differences in ideology and belongness. Waafrika waliwa consider waarabu kama ni wahamizi wasiohamishika wakati hao hao Waafrika na wao wengi walikuwa ni wahamiaji tu Zanzibar. Lakini kwa sababu walikuwa ni weusi wakawa na sense of belongness. After all Africa was regarded as the land of Blacks!
 
Wazanzania wamesha mchagua kiongozi mbona? Naye anaitwa John Joseph Pombe Magufuli?

Kwa upande wa ZNZ ktk kura Uraisi wa muungano EL alimshinda JPM.

Ndiyo maana wapo wanaoamini kwamba CUF na Maalim Seif walishinda uchaguzi wa ZNZ ili wakadhulumiwa.
 
Back
Top Bottom