zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mbona Wajerumani waliwatesa kma ng'ombe ila sijasikia mkitoka povu na zaidi mnawakopa hela kila siku kuendesha bajeti zenu, Ila Mwarabu ndio mnamfanya adui namba moja wa wazanzibar !!! Kazi kwelikweliMwarab hawezi kumthamini mwafrika hata siku moja, wewe angalia tu jinsi walivyo tuuwa walipotuletea dini yao (Uislam). Walikama mabibi zetu matumbo kama mzaha tu, leo hii tunaona ufahari kujifananisha nao?