Dharau ya Waarabu kwa Waafrika Zanzibar, kumbe Mwalimu Nyerere 1957 aliwaonya kwanza kabla ya kuanzisha ASP

Dharau ya Waarabu kwa Waafrika Zanzibar, kumbe Mwalimu Nyerere 1957 aliwaonya kwanza kabla ya kuanzisha ASP

MrFroasty, kama hautajali naomba uielezee vizuri point yako. Naona kuna madini umeyatema ila akili yangu imekwama kidogo. Naona vitu kama Israel na Palestina hivi, Wazanzibari Watanganyika hivi, uhalali wa serikali nk. Nisaidie kuunganisha dots.
Nadhani wajinga tuu ndio wanaoamini kama kuna Tanzania. Wenye akili zao wameshashtuka zamani kama Tanzania ndio Tanganyika, imebadilika nembo kuleta ubabaishaji. Lakini kiilivyo boarder ya Tanganyika imetanuka na kuingiza Zanzibar.

Tafsiri ya maneno yangu inapatikana zaidi kwenye ile dhana ya kuondosha mamlaka ya Zanzibar na kuyahamishia Dodoma. Waizrael wamefocus zaidi na ardhi, sioni tofauti na mchezo huu mchafu.
 
Nadhani wajinga tuu ndio wanaoamini kama kuna Tanzania. Wenye akili zao wameshashtuka zamani kama Tanzania ndio Tanganyika, imebadilika nembo kuleta ubabaishaji. Lakini kiilivyo boarder ya Tanganyika imetanuka na kuingiza Zanzibar.

Tafsiri ya maneno yangu inapatikana zaidi kwenye ile dhana ya kuondosha mamlaka ya Zanzibar na kuyahamishia Dodoma. Waizrael wamefocus zaidi na ardhi, sioni tofauti na mchezo huu mchafu.
Zanzibar, a semi-autonomous state in Tanzania
 
Zanzibar-Nyamwezi,


Hata unakijua ulichokiandika?

Hao waafrika wakamdai Mwarabu gani wakati nchi iko chini ya Muingereza?

Aliyetoa uhuru Disemba 1963 ni Mwarabu yupi?

Hizo simulizi za Sheikh Ali Barwani zisikilize vizuri bila jaziba au akili za kutembeza mwenge mitaani.
Afadhali umenena, maana naona hapa watu wanademka tu na stori za kuambiwa ambazo hazina ushahidi wowote.
 
Uongo upi wakati hata sasa hivi watumwa weusi wanaokwenda kufanya kazi uarabuni wanapitia hayo madhila?
What is so special about TAnzanian housemaids? Wapo wafanyakazi wengi tu kutoka Kenya, Uganda, Ethiopia, Malawi lakini wanaolalamika ni Watz tu. Inaonyesha jinsi ambavyo hatujazoea kufanya kazi na kuendekeza ulalamishi.

Sikatai kwamba kuna binadamu ambao hawathamini utu wa binadamu mwenzao, lakini hata hapa nchini wapo wengi tu siyo lazima kwenda huko Uarabuni.
 
Hata ASP walikua wakijulikana kama pro Sultan kabla ya mapinduzi. Chama pekee kilochojitangaza wazi kuwa hawasapoti Usultani kilikuwa ni Umma Party.
.......naendelea tu maana hawa jamaa hawafahamu ukizungumzia Umma Party. Hichi chama kilikuwa kikiongozwa na Abdurrahman Babu.
 
Ni kweli ukosefu wa utu si sifa ya Waarabu peke yao. Ila si kweli kuwa wanaolalamika huko Arabuni ni Watanzania peke yao. Nimeshashuhudia kesi za Wakenya na pia hata jamaa mmoja kutoka Sudan.
Inawezekana kabisa, lakini asilimia kubwa ni Watanzania.

Niliwahi kwenda kwenye mkutano nchi moja ya Uarabuni ambapo nilikuta Wakenya na Waethiopia wengi sana kuanzia airport mpaka mahotelini. Kwa bahati tulikutana na mama mmoja Mtanzania ambaye mwenye nafasi kubwa hapo alipo. Baada ya kumuuliza kwa nini hawaunganishi wenzake kwenye kazi za aina hiyo alitujibu kwamba wengi aliowaombea baadae walikataa kwenda kufanya kazi kwa kuambiwa na watu wengine kwamba wangenyanyaswa.
 
Usiseme dharau, sema kuwafanya watumwa, kuwabaka mama, mababa, watoto wadogo wawe wa kike au kiume, kuwauwa na kuwazika chini ya majengo, sasa linganisha na fadhila za vinyago..

Huyo muafrika anatufanyia zaidi ya hayo nyakati za uchaguzi
 
Ni kweli Waarabu walitutesa na kuwafanya jamii zetu watumwa, lakini tusiwasahau washirika wao walioifanya hiyo biashara kuwa nyeti. Waarabu walikuwa wanatumwa na wazungu. Watumwa wengi walikuwa wakipelekwa Visiwa vya Caribbean vilivyo tawalwa NA Uingereza NA Ufaransa.

Huu utumwa wa CCM unashinda utumwa wowote duniani
 
Kama hautajali, naomba unieleweshe hayo maneno katika bold ulikuwa unamaanisha nini?
Walikata mabibi zetu matumbo, wakakata mboo mababu zetu ili wasizaane huko utumwani, ulikuwa hujuwi hili au ulikuwa bize kukariri dini tu bila kujuwa historia yako?
 
Sikufahamu hii ya wanawake kukatwa matumbo (na hata sasa baada ya kusikia kutoka kwako bado sijaelewa mechanism yake). Ila nashukuru kwa kunipa elimu hii. Ila nilikuwa nafahamu kuwa watumwa wa kiume walihasiwa. Pia hayo maneno katika bold umefanya assumption sana Mkuu!
Just read your history then prove me wrong. Tumeteswa sana na hawa watu sema tu people don't wanna talk about it thinking kwamba wata-provoke others, ukweli haufichiki kamwe.
 
Walikata mabibi zetu matumbo, wakakata mboo mababu zetu ili wasizaane huko utumwani, ulikuwa hujuwi hili au ulikuwa bize kukariri dini tu bila kujuwa historia yako?
You area also narrating history without a trace of evidence. Wapi hapo wamekatwa matumbo? Hamuwachi yakhe nyinyi!!!!
 
Back
Top Bottom