MrFroasty
JF-Expert Member
- Jun 23, 2009
- 1,195
- 595
Nadhani wajinga tuu ndio wanaoamini kama kuna Tanzania. Wenye akili zao wameshashtuka zamani kama Tanzania ndio Tanganyika, imebadilika nembo kuleta ubabaishaji. Lakini kiilivyo boarder ya Tanganyika imetanuka na kuingiza Zanzibar.MrFroasty, kama hautajali naomba uielezee vizuri point yako. Naona kuna madini umeyatema ila akili yangu imekwama kidogo. Naona vitu kama Israel na Palestina hivi, Wazanzibari Watanganyika hivi, uhalali wa serikali nk. Nisaidie kuunganisha dots.
Tafsiri ya maneno yangu inapatikana zaidi kwenye ile dhana ya kuondosha mamlaka ya Zanzibar na kuyahamishia Dodoma. Waizrael wamefocus zaidi na ardhi, sioni tofauti na mchezo huu mchafu.