BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Hawa RC kipindi cha JIWE walikausha kimya kama hakuna kinachoendeleaHuwa nashangaa wanao wapelekea wakina Mwaposa Sadaka na Manabii wengine type yake kama yule tapeli wa Arusha Geo David. Hawa ili waendeleze injili za kitapeli lazima pia wawe chawa.
Au wanao peleka Sadaka KKKT, SDA, EAGT, TAG, Angalican, Pentecost, AIC, na wengineo wengi sana. Hawa ni chawa pro max, ni madhebu yalio jaa wanafiki na uchawa wakutisha hasa hasa dhehebu langu la SDA, hawa SDA haijawaji tokea waongelee mambo ya kijamiii, kutwa nzima ni kutuambia Papa ndio Mpinga Krsto kwamba ndie 666 na mafundisho yao ya Eln G White.
Mimi ni SDA ila nisha acha kusali huko kitambo mara baada ya kuona ni Dhehebu la kitapeli lilio jaa uchawa, 2020 ndio niliacha kusali, nilikuwa nasali kanisa la Bulka Arusha,siku ya mwisho kukanyaga kanisani ni siku walio muita Mrisho Gambo enzi zile akiwa Mgombea Ubunge Arusha Mjini na kuanza kukashifu CDM na Lema madhabahuni, hio ndio siku sikiwahi kanyaga tena pale hadi leo hii.
Romani kwa ujumla wake ni Dhehebu lisilo kuwa na unafiki na pia wanasimamia mno misingi yao. Hao wengine siwezi wapelekea sadaka kamwe na wanao wapelekea nawashangaa sana.
Binafisi huwa natuma tu sadaka yangu Radioa Maria ingawa sisali Roman kwa sasa.
Kwahiyo?Hawa RC kipindi cha JIWE walikausha kimya kama hakuna kinachoendelea
Waache double standard, akiwa rais muislam wanapayuka sana full matamko ila akiwa mwenzao kimya.Kwahiyo?
Kuna manabii wako bussness tuHuwa nashangaa wanao wapelekea wakina Mwaposa Sadaka na Manabii wengine type yake kama yule tapeli wa Arusha Geo David. Hawa ili waendeleze injili za kitapeli lazima pia wawe chawa.
Au wanao peleka Sadaka KKKT, SDA, EAGT, TAG, Angalican, Pentecost, AIC, na wengineo wengi sana. Hawa ni chawa pro max, ni madhebu yalio jaa wanafiki na uchawa wakutisha hasa hasa dhehebu langu la SDA, hawa SDA haijawaji tokea waongelee mambo ya kijamiii, kutwa nzima ni kutuambia Papa ndio Mpinga Krsto kwamba ndie 666 na mafundisho yao ya Eln G White.
Mimi ni SDA ila nisha acha kusali huko kitambo mara baada ya kuona ni Dhehebu la kitapeli lilio jaa uchawa, 2020 ndio niliacha kusali, nilikuwa nasali kanisa la Bulka Arusha,siku ya mwisho kukanyaga kanisani ni siku walio muita Mrisho Gambo enzi zile akiwa Mgombea Ubunge Arusha Mjini na kuanza kukashifu CDM na Lema madhabahuni, hio ndio siku sikiwahi kanyaga tena pale hadi leo hii.
Romani kwa ujumla wake ni Dhehebu lisilo kuwa na unafiki na pia wanasimamia mno misingi yao. Hao wengine siwezi wapelekea sadaka kamwe na wanao wapelekea nawashangaa sana.
Binafisi huwa natuma tu sadaka yangu Radioa Maria ingawa sisali Roman kwa sasa.
Muzitele muje kupata mibarakaHuwa nashangaa wanao wapelekea wakina Mwaposa Sadaka na Manabii wengine type yake kama yule tapeli wa Arusha Geo David. Hawa ili waendeleze injili za kitapeli lazima pia wawe chawa.
Au wanao peleka Sadaka KKKT, SDA, EAGT, TAG, Angalican, Pentecost, AIC, na wengineo wengi sana. Hawa ni chawa pro max, ni madhebu yalio jaa wanafiki na uchawa wakutisha hasa hasa dhehebu langu la SDA, hawa SDA haijawaji tokea waongelee mambo ya kijamiii, kutwa nzima ni kutuambia Papa ndio Mpinga Krsto kwamba ndie 666 na mafundisho yao ya Eln G White.
Mimi ni SDA ila nisha acha kusali huko kitambo mara baada ya kuona ni Dhehebu la kitapeli lilio jaa uchawa, 2020 ndio niliacha kusali, nilikuwa nasali kanisa la Bulka Arusha,siku ya mwisho kukanyaga kanisani ni siku walio muita Mrisho Gambo enzi zile akiwa Mgombea Ubunge Arusha Mjini na kuanza kukashifu CDM na Lema madhabahuni, hio ndio siku sikiwahi kanyaga tena pale hadi leo hii.
Romani kwa ujumla wake ni Dhehebu lisilo kuwa na unafiki na pia wanasimamia mno misingi yao. Hao wengine siwezi wapelekea sadaka kamwe na wanao wapelekea nawashangaa sana.
Binafisi huwa natuma tu sadaka yangu Radioa Maria ingawa sisali Roman kwa sasa.
Mawazo MfuuuAll churches ⛪ whether it is RC, KKKT, Anglican, SDA or whatever. They are money making scamming institutions.
Christianity is the business, Jesus is the product, church members are the customers, religious leaders are the beneficiaries.
Nadhani ulikuwa wa kubebwa mgongoni ulikuwa hujui lolote kanisa katoliki halitishwi na chochote hukuona nyaraka kipindi cha pasaka kipindi cha Magufuli au bado ulikuwa hujielewi?Hawa RC kipindi cha JIWE walikausha kimya kama hakuna kinachoendelea
AminaMungu hahongwi kwa sadaka za pesa. Sadaka ya kweli ni moyo wako wa ibaada kwa Mungu. Kumtumikia Mungu ndio sadaka Mungu hali hizo pesa.
Nadhani ulikuwa wa kubebwa mgongoni ulikuwa hujui lolote kanisa katoliki halitishwi na chochote hukuona nyaraka kipindi cha pasaka kipindi cha Magufuli au bado ulikuwa hujielewiHawa RC kipindi cha JIWE walikausha kimya kama hakuna kinachoendelea
Wewe ni chawa tu. Kwani haukuwepo?Hawa RC kipindi cha JIWE walikausha kimya kama hakuna kinachoendelea
UongoAll churches ⛪ whether it is RC, KKKT, Anglican, SDA or whatever. They are money making scamming institutions.
Christianity is the business, Jesus is the product, church members are the customers, religious leaders are the beneficiaries.
Leta ya kwako yaliyo hai. Tuyaone.Mawazo Mfuuu
Leta ukweli wako tuuone.Uongo
Chawa ni nani?Leta ukweli wako tuuone.