BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
- Thread starter
- #61
Kabisa mkuu, mengine ni utapeli mkubwa sanaMakanisa yote ni utapeli tu isipokuwa Roma
Imagine waumini wako wanatekwa halafu unawashangilia watekaji
Kabisa mkuu, mengine ni utapeli mkubwa sanaMakanisa yote ni utapeli tu isipokuwa Roma
Imagine waumini wako wanatekwa halafu unawashangilia watekaji
Wale wana hadi WahasibuKaribu vituo vyote vyakulelea YATIMA nilivyo pata nafas yakuvitembelea kanisa limepiga hatua kubwa vituo vingi vina maradhi safiiii ,, KIAFYA,,KIELIMU,,MARADHI KWA UJUMLA watoto wapo kwenye mazingira rafiki ,, SADAKA ZA ROMAN HAZIPOTEI OVYO,,
Toa Roman pekee, mengine ni utapeli mkubwa sanaKwahiyo tusitoe sadaka makanisani ?
Wewe ulilenga kuchafua makanisa, hata mimi sipendi uonevu wa ccm na serikali yake,lakini mleta uzi umeenda mbali sana kushambulia wasabato, haya makanisa yanaongozwa na watu wanasimamiwa na miongozo na kanuni japo sidhani kama zinawafunga kukemea maovu.
Haya makanisa yana wafuasi wa vyama vyote vya siasa,
Kanisani ukiacha kwenda ni wewe na nafsi yako lakini tutaokolewa moja moja,
Hapana ... kumbuka tec waliwahi mlima jiwe waraka. Kumbuka vizuriHawa RC kipindi cha JIWE walikausha kimya kama hakuna kinachoendelea
No reform no electionLeta ya kwako yaliyo hai. Tuyaone.
This is red herring fallacy.No reform no election
Hizi waraka zao zinasaidia nini? Mbona ccm wameendelea kufanya upuuzi pamoja na mawaraka kibao?Hapana ... kumbuka tec waliwahi mlima jiwe waraka. Kumbuka vizuri
Cheche zote mwaka huu zenu na chawa wote.This is red herring fallacy.
Your opinions are not different from that of a suicide bomber.Toa Roman pekee, mengine ni utapeli mkubwa sana
Hawa RC kipindi cha JIWE walikausha kimya kama hakuna kinachoendelea
Nadhani majibu unayoHizi waraka zao zinasaidia nini? Mbona ccm wameendelea kufanya upuuzi pamoja na mawaraka kibao?
Jamaa umempa na hii lakini atabisha
Akili zao zimejaa moshiJamaa umempa na hii lakini atabisha
Mimi nilikuwa sdaHuwa nashangaa wanao wapelekea wakina Mwaposa Sadaka na Manabii wengine type yake kama yule tapeli wa Arusha Geo David. Hawa ili waendeleze injili za kitapeli lazima pia wawe chawa.
Au wanao peleka Sadaka KKKT, SDA, EAGT, TAG, Angalican, Pentecost, AIC, na wengineo wengi sana. Hawa ni chawa pro max, ni madhebu yalio jaa wanafiki na uchawa wakutisha hasa hasa dhehebu langu la SDA, hawa SDA haijawaji tokea waongelee mambo ya kijamiii, kutwa nzima ni kutuambia Papa ndio Mpinga Krsto kwamba ndie 666 na mafundisho yao ya Eln G White.
Mimi ni SDA ila nisha acha kusali huko kitambo mara baada ya kuona ni Dhehebu la kitapeli lilio jaa uchawa, 2020 ndio niliacha kusali, nilikuwa nasali kanisa la Bulka Arusha,siku ya mwisho kukanyaga kanisani ni siku walio muita Mrisho Gambo enzi zile akiwa Mgombea Ubunge Arusha Mjini na kuanza kukashifu CDM na Lema madhabahuni, hio ndio siku sikiwahi kanyaga tena pale hadi leo hii.
Romani kwa ujumla wake ni Dhehebu lisilo kuwa na unafiki na pia wanasimamia mno misingi yao. Hao wengine siwezi wapelekea sadaka kamwe na wanao wapelekea nawashangaa sana.
Binafisi huwa natuma tu sadaka yangu Radioa Maria ingawa sisali Roman kwa sasa.
Huo waraka ulisaidia nini democracy kwenye uchaguzi wa 2020?Jamaa umempa na hii lakini atabisha
Siyo kweli kwamba SDA wanahubiri Catholic,ila wanakosoa mafundisho ya uongo ndani ya kanisa CatholicYani SDA 99.99%mahubiri yao yote ni kuhusu Katoliki🤣🤣🤣🤣 wanachekesha hasa sijui inawasiadia nn kama kanisa
Basi na kwenye sii hasaa wamejaa wageni ndio maana mchwa wanakula taifa wamejaaHilo kanisa limejaza warundi linawaita maaskofu
HeheheKwahiyo tusitoe sadaka makanisani ?
Wewe ulilenga kuchafua makanisa, hata mimi sipendi uonevu wa ccm na serikali yake,lakini mleta uzi umeenda mbali sana kushambulia wasabato, haya makanisa yanaongozwa na watu wanasimamiwa na miongozo na kanuni japo sidhani kama zinawafunga kukemea maovu.
Haya makanisa yana wafuasi wa vyama vyote vya siasa,
Kanisani ukiacha kwenda ni wewe na nafsi yako lakini tutaokolewa moja moja,