Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Wageni ni wengi sana. Wasomalia ndio wako juuBasi na kwenye sii hasaa wamejaa wageni ndio maana mchwa wanakula taifa wamejaa
Wageni ni wengi sana. Wasomalia ndio wako juuBasi na kwenye sii hasaa wamejaa wageni ndio maana mchwa wanakula taifa wamejaa
SahihiKaribu vituo vyote vyakulelea YATIMA nilivyo pata nafas yakuvitembelea kanisa limepiga hatua kubwa vituo vingi vina maradhi safiiii ,, KIAFYA,,KIELIMU,,MARADHI KWA UJUMLA watoto wapo kwenye mazingira rafiki ,, SADAKA ZA ROMAN HAZIPOTEI OVYO,,
Hahaha, nilivyokuwa mdogo hata mimi mambo ya Bikira Maria yalikuwa yananikwaza sana. Nilichukia kanisa kwa sababu ya mambo hayo na mengine madogo madogo. Baadae nilikuja kuelewa na nimekuwa nikiwaelewesha watu wa makanisa mengine. Kinacho kusumbua ni nini Mkuu, zile sanamu au Salam Maria....., utoombee ..?Turudi zetu kanisa moja la Bwana Kanisa Katoliki, i don't like the bikira Maria stuff but i can tolerate it.
Ujinga umekuwa mwingi nchi hii.
nilikuwa huko nikaondoka ni full wanafiki sana,Yani SDA 99.99%mahubiri yao yote ni kuhusu Katoliki🤣🤣🤣🤣 wanachekesha hasa sijui inawasiadia nn kama kanisa
SDA hakuna uongo? SDA hawaambii waumini wao kwamba Eleg G White ndie muasisi wa SDA church mwaka 1863, hili hawaambii kabisa, wasabato wanajua SDA ni kanisa alilo kuwa anasali Mungu na YesuSiyo kweli kwamba SDA wanahubiri Catholic,ila wanakosoa mafundisho ya uongo ndani ya kanisa Catholic
Mfano kumuita Papa baba mtakatifu na kuomba Mungu kupitia Mariamu badala ya Yesu,
Anyway kila kanisa lina misingi yake ya Imani
Waanamini Elen G white ni nabii, ilihalu yeye ni Muasisi wa SDA church mwaka 1863, sasa waambie wasabato kwamba kanisa lao lili asisiwa na Elen G White na Wabana ake na Jamaa mwingine wakiwa watatu.Mimi nilikuwa sda
1. niliacha kusali mara baada ya kuleta mambo ya kipagani ya kubandika majina ya waliochangia na wasio changia sadaka .ujumbe sadaka yoyote ni Siri tuache upagani wa kubandika majina ya watu .tuache mungu ashghu ashughulike na mioyo ya watu
2.Wa sda Ellen white ukiquestion mafundisho yake teyari watakukaripia .mafundisho yenyewe tafiti yanaonyesha Yako plagiarized.nikipata muda nitawatumia iyo tafiti
Uasi gani wewe mjinga? Wewe ni Chawa uchwara tu, na wenzako Chawa Pro Max wanakula kuku kwa mirija na hawako hata humu Jf, endelea na Uchawa Uchwara wako.Kwa hiyo RC ndio waliomtuma lissua kuanzisha uasi nchini?
Uwe unauliza possibly ulikuwa busy na shule JPM aliamua kusali sometime kwa Mzee wa Upako.Hawa RC kipindi cha JIWE walikausha kimya kama hakuna kinachoendelea
Kanisa limekua likitoa matamko marakwamara lakini serikali haijali, kwanini kanisa haliendi mbele zaidi?Uwe unauliza possibly ulikuwa busy na shule JPM aliamua kusali sometime kwa Mzee wa Upako.
Nazani tunaweza kuweka hoja vizuri bila kugusa ueledi wa Kanisa.
Kazi ya kanisa ni kutoa maoni sio vinginevyoKanisa limekua likitoa matamko marakwamara lakini serikali haijali, kwanini kanisa haliendi mbele zaidi?
Basi haina maanaKazi ya kanisa ni kutoa maoni sio vinginevyo
Hawa RC kipindi cha JIWE walikausha kimya kama hakuna kinachoendelea