Dhehebu ya kupeleka Sadaka ni Romani Catolik pekee yake, mengine ni Chawa Pro.

Duh! We hatari kabisa.
 
Hata mimi niliwapenda sana wakatatoliki hasa ule wakati wa utawala wa Magufuli. Pamoja na kwamba Magufuli alikuwa Mkatatoliki lakini waliandika waraka wa kukosoa maovu yaliyokuwa yakifanyika chini ya utawala wake, ingawa mimi nilimpenda na nilimkubali sana Magufuli.
Hapo nilijifunza kuwa wakatatoliki si wanafiki na nikaingia RC kwa miguu yote miwili.
Ili uwe mkristo kweli kweli ni lazima uishuhudie imani yako bila kupepesa macho na bila kificho.
Kwa hiyo, mkristo halisi hawezi kuogopa kukemea UDHALIMU wakati wanaofanyiwa huo udhalimu ni waumini wake. Usipokemea uovu wewe si mkristo.
 
Turudi zetu kanisa moja la Bwana Kanisa Katoliki, i don't like the bikira Maria stuff but i can tolerate it.

Ujinga umekuwa mwingi nchi hii.
The Bikra Maria issue can be Ignored, keep with Catholics.

Ndio watu pekee wanaonekana kuwa pamoja na Wananchi hata kwa hali ya hatari they risk
 
Unatuma sadaka redio maria??
 
Ni kweli Roman Wana msimamo nasikia kuna jamaa alikuwaga rais wa nchi flani akajenga jengo kubwa la kanisa nyumbani kwake kisha akawapa Roman wakalikataa nasikia siku hizi linatumiwa na walokore
 
All churches ⛪ whether it is RC, KKKT, Anglican, SDA or whatever. They are money making scamming institutions.

Christianity is the business, Jesus is the product, church members are the customers, religious leaders are the beneficiaries.
Christianity is the business, Jesus is the product, church members are the customers, religious leaders are the beneficiaries or Enterprinuous
 
Kabisa
 
Nadhani ulikuwa wa kubebwa mgongoni ulikuwa hujui lolote kanisa katoliki halitishwi na chochote hukuona nyaraka kipindi cha pasaka kipindi cha Magufuli au bado ulikuwa hujielewi?
Hizo nyaraka zao zinasaidia nini? Mbona serikali imeweka pamba masikioni na hakuna kitu RC wanafanya? RC ni mbwa asiye na meno kazi kubweka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…