Dhehebu ya kupeleka Sadaka ni Romani Catolik pekee yake, mengine ni Chawa Pro.

Acha kumsemea Mungu
Binadamu wanahangaika sana kumsemea, kumtetea na kumwelezea Mungu. Kwa sababu Mungu aliundwa na wanadamu tu.

Huyo Mungu hajawahi kuweza na wala hawezi kujitetea na kujisemea mwenyewe.

Mungu ni dhana ya kufikirika iliyo tengenezwa na binadamu.
 
Wapelekee na m.u.d. maana ni wazuri kula vinyesi
 
Wakati wa Magufuli hao mabwege walikuwa wapi? Au kwa kuwa we ni nyumbu umesahau? Umesahau ndio waliosababisha mauaji ya halaiki Rwanda? Maaskofu hao ndio wanyanyasaji wakubwa kwa kuwafanyia watoto ulawiti tena kule makao makuu yao Vatican. Hao ni mawakala wakuu wa shetani, RC ht hawamjui Mungu wa kweli. Uliona wapi askofu wa kanisa katoliki akamwombea mgonjwa na kupona? Wakati Magu anaua, anatesa watanzania ndio Pengo alikuwa anamwita chaguo la Mungu. Sahivi wanapiga kelele kwa kuwa Rais muislamu, wabaguzi wakubwa. Wapuuzwe hao mashetani wasituletea waliyoyasababisha Rwanda na madhila mengine sehemu mbali×2 duniani.
 
Mtoa post una hoja japo kuna mtu anapinga.Ukuwa Muongo usiwe msahaurifu,Amesahau Askofu niwemugizi alitishiwa kupokonywa Urai wake kwa kumkosoa Magufuli.Na mRC wasivyo na kinyongo misa ya Mazishi ya Magufuli ni yeye aliyeongoza hiyo ibada.
 
Hizo nyaraka zao zinasaidia nini? Mbona serikali imeweka pamba masikioni na hakuna kitu RC wanafanya? RC ni mbwa asiye na meno kazi kubweka tu.
Inawezekana hujajua vizuri kuhusu RC. Wakiamua kushikilia bango hakuna wa kusema fyo.
 
Inawezekana hujajua vizuri kuhusu RC. Wakiamua kushikilia bango hakuna wa kusema fyo.
Thubutu, niambie nini walishashikia bango likafanikiwa, mnaaminishana ujinga tu, RC ni mbwa asiye na meno kazi kubweka tu kung'ata aah
 
Kwahiyo tusitoe sadaka makanisani ?
Wewe ulilenga kuchafua makanisa, hata mimi sipendi uonevu wa ccm na serikali yake,lakini mleta uzi umeenda mbali sana kushambulia wasabato, haya makanisa yanaongozwa na watu wanasimamiwa na miongozo na kanuni japo sidhani kama zinawafunga kukemea maovu.
Haya makanisa yana wafuasi wa vyama vyote vya siasa,
Kanisani ukiacha kwenda ni wewe na nafsi yako lakini tutaokolewa moja moja,
 
Nadhani mtoa mada yupo sahihi kabisa. Kanisa linamhubiri kristo ambaye alipinga dhuluma kutoka watawala wa wakati ule, ndo ikawa sababu ya kupigwa mijeledi na hatimaye kufa.

Kwa hiyo basi, wewe kama Kiongozi wa DINI ya kikristo huwezi kutuhubiria sisi habari za Yesu Kristo ambaye aliuawa kwa kupinga dhuluma wakati wewe mwenyewe Kiongozi huwezi kupinga dhuluma kutoka kwa watawala.
 
Makanisa yote ni utapeli tu isipokuwa Roma

Imagine waumini wako wanatekwa halafu unawashangilia watekaji
 
Makanisa yote ni utapeli tu isipokuwa Roma

Imagine waumini wako wanatekwa halafu unawashangilia watekaji
Watanzania ni muda wa kuamka sasa. Kama ni kulala tumelala sana, sasa inatosha. Hatuwezi kuendelea kuwavumilia ujinga wa GENGE la watu wachache wanaoihujumu Nchi yetu.
 
Toa ndugu ulichonacho nae bwana atakuona mpaka moyoni mwako 🐒
 
Karibu vituo vyote vyakulelea YATIMA nilivyo pata nafas yakuvitembelea kanisa limepiga hatua kubwa vituo vingi vina maradhi safiiii ,, KIAFYA,,KIELIMU,,MARADHI KWA UJUMLA watoto wapo kwenye mazingira rafiki ,, SADAKA ZA ROMAN HAZIPOTEI OVYO,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…